Ni ndugu yako!

Ni ndugu yako!

Najua ni sana, sema unanionea wivu kuona nachekelea kupendwa sana ndo maana unanibania.

unaelewa kabisa wivu ninao sababu staki mtu akupende zaidi yangu teh teh teh teh lol
Na nikikwambia nakupenda sana utaanza kuringa .. ngoja niendelee kukubania..
 
unaelewa kabisa wivu ninao sababu staki mtu akupende zaidi yangu teh teh teh teh lol
Na nikikwambia nakupenda sana utaanza kuringa .. ngoja niendelee kukubania..
Kwahiyo nikijinyonga utalia?
Hehehehehe narudisha kamba dukani nipate refund alafu nikununulie pipi.
 
Mi nilishamhisi ndugu yangu na kumuibukia.
Sasa hivi tukitaniana humu watu wanadhani tuna ugomvi.

Hahahaha. . .
Hatuwachanganyi bali wanajichanganya wenyewe.
Mungefaa muwe kama mtu na mke mwenzie mimi mwanzo nilikuwa ninafikiri hamupendani lakini nilipofuatilia kwa muda mrefu nikagunduwa wewe lizy na mwenzako afrodenzi ni marafiki wakubwa na mie huwa naona furaha mukiwa wote online nafuatilia sana mazungumzo yenu huwa yananifurahisha sana.
 
Kwahiyo nikijinyonga utalia?
Hehehehehe narudisha kamba dukani nipate refund alafu nikununulie pipi.

Staki , acha kujipendekeza pendekeza basi ..
nimesema kidogo nakupenda ......
 
Mungefaa muwe kama mtu na mke mwenzie mimi mwanzo nilikuwa ninafikiri hamupendani lakini nilipofuatilia kwa muda mrefu nikagunduwa wewe lizy na mwenzako afrodenzi ni marafiki wakubwa na mie huwa naona furaha mukiwa wote online nafuatilia sana mazungumzo yenu huwa yananifurahisha sana.
Hahahahaha. . . Eti tungefaa tuwe wake wenza. Tumsubirie jG alete posa maana kasema kwao wanaruhusiwa kuoa ndugu.

Asante MM. . .
 
Haya ngoja nikanushe vizuri ..
Mimi na Lizzy si marafiki bali ni ..........
asante sana kwa comment yako ..
 
Hahahaha. . . embu kubali bana.
Otherwise sikusubirii kule. . .

acha kunidhulumu maisha basi ..
nikikubali si utaringa mpaka nihame dunia..
Haya bana ngoja nikimbie ntachelewa..
(USISAHAU KUJA BASI , sawa ae)
 
Mi nilishamhisi ndugu yangu na kumuibukia.
Sasa hivi tukitaniana humu watu wanadhani tuna ugomvi.

Haya ngoja nikanushe vizuri ..
Mimi na Lizzy si marafiki bali ni .......... Ni????
asante sana kwa comment yako ..
mimi namalizia bali ni wapenzi wawili... mnaopendana. mimi laiti ningelikuwa huko nyumbani ningeomba siku moja niwakutanishe wawili nione jinsi mnavyozungumza uso kwa uso hakuna kugomban bali mazungumzo tu mazuri.
 
Mi nahisi nna undugu na FF na MMM! Nahisi ni wazazi wangu manake nyumbani wanavyojibizana kama huku jamvini!
 
Na cha ziada katika agenda mliyonayo mezani, mimi sijaelewa yawaje kila unapoangalia "user name" ya membar plus na miondoko ya uchangiaji, utiririshaji wake wa maudhui utakuta kichwa kinaanza kukupa imaginable image ya mtu.
Mf. Yaweza kujia image ya :
- Huyu Mnene, Mwembamba, Mpole, Mkali, Mweusi, Mweupe, Chotara, Mkorofi, Mkarimu n.k sijajua kama hii kitu na kwa membar wenzangu inawatokea au ni mie tu.
 
Hahahahaha. . . Eti tungefaa tuwe wake wenza. Tumsubirie jG alete posa maana kasema kwao wanaruhusiwa kuoa ndugu.

Asante MM. . .

Akha mwenzangu, mi sitaki balaa la mapacha kwakweli.......
Nilikuwa na washutua wale wa kumyetu wasio jua utamaduni wetu
 
Back
Top Bottom