Ukweli mchungu, Adui namba moja wa maisha yako ni ndugu au rafiki anaekutafuta akiwa na shida

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Nasema hivi kama una rafiki ,ndugu au jamaa wako wa karibu ambaye hukukumbuka na kukutafuta kipindi akiwa na shida tambua ya kwanza huyo ndo adui wako wa kwanza wa maisha yako.

Watu namna hii hutumia madhaifu yako kukumiza na kukukandamiza ili mradi mambo yaweze kwenda ili kutimiza wanachokitaka kutoka kwako waweze na wakishapata hutowaona tena na wala hawajali ulivyo risk na kujiumiza ili kuwatatulia shida zao

Sasa watu namna hii huanza kugeuka maadui zako pale unaposhidwa kuwasaidia huanza kukuchukia always watakuombea mabaya tuu na hii inatokana mazoea waliojijengea kwako wewe kama sehemu ya wao kutatulia matatizo yao ila inapotokea umeshidwa au kujitenga mbali nao .
 
"The most dangerous enemy in your life is your closer friends, be careful of whom you chose to be your friend."
 
Nasema hivi kama una rafiki ,ndugu au jamaa wako wa karibu ambaye hukukumbuka na kukutafuta kipindi akiwa na shida tambua ya kwanza huyo ndo adui wako wa kwanza wa maisha yako.

Watu namna hii hutumia madhaifu yako kukumiza na kukukandamiza ili mradi mambo yaweze kwenda ili kutimiza wanachokitaka kutoka kwako waweze na wakishapata hutowaona tena na wala hawajali ulivyo risk na kujiumiza ili kuwatatulia shida zao

Sasa watu namna hii huanza kugeuka maadui zako pale unaposhidwa kuwasaidia huanza kukuchukia always watakuombea mabaya tuu na hii inatokana mazoea waliojijengea kwako wewe kama sehemu ya wao kutatulia matatizo yao ila inapotokea umeshidwa au kujitenga mbali nao .
* Mungu vs Lucifer (kabla ya kuasi) = Shetani.

* Yuda Iskariote vs Yesu.

* Yusufu vs Ndugu zake 11.

* Ever (Hawa) vs Adam.

* Samsoni vs Delila.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ipo hivi msaada kwa mtu mara ya kwanza anashukuru sana na wote mnafurahia

Ukimsaidia tena anashukuru ila anakuwa tegemezi, hapa anafurahia aliyepokea peke yake.

Usipomsaidia tena atalalamika sababu anahisi na kuamini ni wajibu wako kumsaidia na ni haki yake kusaidiwa na hapo usipomsaidia wewe unaetoa msaada unakuwa adui yake.

Badala ya kumpa samaki hakikisha unamfundisha kuvua samaki na unampa ndoano na nyavu.
 
Back
Top Bottom