Ni ndugu yako!

Ni ndugu yako!

Ukiruka PM hunipati
mie niko busy napiga mbizi kwenye sredi
PM nilidisable afu sijui kuactivate.
Nikipata mtaalam ntakukaribisha

hahahahaha
Jamaniii Sports Hammer??
Akha mwenzangu, mi nataka lift kwenye huo mgari...
ila serious "Kong..." hiyo avartar yako mi hoi, full kunikumbusha yule binti wa kisarawe....
niruhusu niruke PM
 
Tena makubwa sana
kuanzia magotini kushuka chini
na kuanzia kiwiliwili kupanda kichwani.

Yaani makubwa mno.
mh kweli makubwa pia hayana tiba, bas naomba undugu maana mi watu kama ninyi ndo nawapenda
 
hujui hapa jf nina madugu 4?
Unataka kuwa wa 5?

Tuna cv, ukiona siku 7 zimepita kimya jua hukuwa shortlisted.

mh kweli makubwa pia hayana tiba, bas naomba undugu maana mi watu kama ninyi ndo nawapenda
 
Back
Top Bottom