Ni nani yuko nyuma ya Polepole?

Mzee ambaye hana mke wala mtoto mtu wa ulawiti nani atakuwa nyuma yake zaidi ya laaana. Cuba kumemfaa dawa ameacha kupauka pauka
Basi sawa...! Kwahiyo wahuni na wenye tabia chafu wanaweza kuteuliwa kwenye nafasi nyeti kimataifa kama ubalozi?
 
polepole ni stupidy na kayakanyaga, this time atatesema sana, wasiomfahamu wanamsifia, huyo ni SNITCH

View: https://youtu.be/A-YN8un7Dco?t=179
 
Mla mla jana,mla leo kala nini?Maswali mengine utashindwa kutetewa hata na roboti Mushaambaa& co
Swali langu mkuu kwa bwana Taratibu ni je ameona Nini Cha tofauti kati ya mfumo uliopita wa Mshua Joh na huu wa Leo? Coz mifumo yote ya yule na huyu tabia mbaya zimeendelea kupotea, kuuawa, nk?
 
Kumbuka enzi za utawala wa JIWE alikuwa ni mwasisi wa UCHAWA, akina baba LEVO ni graduates wake
Your browser is not able to display this video.
 
Alitolewa kwenye bustani ya asali a maziwa akapelekwa nje.lazima awe na hasira kwani haipendi ile bustani ya akina NDIOOOOOOO huku unagonga meza
 
Hakika sinema ni zile zile wanabadilika wahusika,chadema watasusia uchaguzi utatengenezwa upinzani hewa na hawa wana CCM wanainanga sirikali na wananchi kuwaona wazalendo kumbe ni mipango ya mfumo.
Marehemu mchungaji mtikila aliona mbali kuleta hoja ya mgombea binafsi hii ingekata maslahi ya hivi vikundi na magenge kwa majina ya vyama vya siasa.
 
the end shall justify the means
 
umeona mbali.. .. !
habar ziwafikie ndugu jamaa na marafiki khususan.. .. CDM!
 
Kaomba hifadhi ya ukimbizi Sweden
 
ilikua atumbuliwe akiwa anakula bata Los Angeles USA alipokua akifuja mali za umma kwa ufuska na anasa kila wikiendi, hata hivyo aanze amazoezi ya kusota korokoroni kwa makosa ya matumizi mabaya ya ofisi huko havana
Kuna mtu Tz anayependa anasa kama bibi wa Morden Taarabu na mipasho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…