Ni nani yuko nyuma ya Polepole?

Mla mla jana,mla leo kala nini?Maswali mengine utashindwa kutetewa hata na roboti Mushaambaa& co
 
Kilitokea nini?
Siasa za ndani ya Chama umewahi kushuhudia hakuna kuchukua Fomu watu wanapitishwa juu kwa juu? Japo wa kulaumiwa ni Jakaya maana pale yeye ndiyo alikuwa senior, lakini anatengeneza njia ya kina Ridhione basi akaunga mkono hoja........ile movement iliyofanyika pale,kwa maoni yangu ndiyo inachemka chini kwa chini,maana wengi ilikuwa surprise πŸ˜€
 
Mzee ambaye hana mke wala mtoto mtu wa ulawiti nani atakuwa nyuma yake zaidi ya laaana. Cuba kumemfaa dawa ameacha kupauka pauka
 
Kwenye hii ngoma hayuko peke yake hata Osama mwenyewe pamoja na ubandidu wake hakuwahi kuunda Jeshi la peke yake, wote akina Fidel Castro, Che Guevara walishindwa kupigana peke yao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…