Ni nani yuko nyuma ya Polepole?

Hafrey kapiga kwa kushtukiza halafu kwenye chembe ya moto😀
ilikua atumbuliwe akiwa anakula bata Los Angeles USA alipokua akifuja mali za umma kwa ufuska na anasa kila wikiendi, hata hivyo aanze amazoezi ya kusota korokoroni kwa makosa ya matumizi mabaya ya ofisi huko havana
 
Bro
Bro mshana.
Polepole ni mnafiki tu. Kumjadili huyu ni kumpaisha bila sababu
 
ilikua atumbuliwe akiwa anakula bata Los Angeles USA alipokua akifuja mali za umma kwa ufuska na anasa kila wikiendi, hata hivyo aanze amazoezi ya kusota korokoroni kwa makosa ya matumizi mabaya ya ofisi huko havana
Ndio mkapost hii?
 
Umeanza kuunda bambiko hapo,hivi sasa sijui litakuwa la nyara sirikali ama ya kuwafukuza wahuni mapangonii hata sijui?
 
Hivi tushajua hawa wazee walizungumza nini hii siku??
 
Taratibu ni mtu wa kushangaza sana. Kipindi kilichopita kabla ya hiki alikuwa katika mfumo uliopingwa na wengine. Mfumo ambao ndani yake wameumia wengine!
Huyu mtu haikuwahi kuinua mdomo kukemea moto aliopelekewa Lisu nk. Ni mengi alitakiwa kupigania kabla ya hili la Leo!
Lazima tujiulize je mfumo huu una tofauti gani na ule,? Na kwanini aukimbie licha ya kuwa na
 
Uhakika Hadi Sasa ni kwamba hakuna picha ya mteuzi hapa Tanganyika!

Na haijaulikana alipo !

Pia mkutano wa barza la mawaziri ni spinning TU ya pole pole hatujajua Nini has kinaendelea!!

Naendelea kuchangia uchumi wa bando!
 
Kilichotokea January ndiyo kimeleta yote haya inawezekana maza asingefanya vile asingetoboa May.......kila kitu kitafahamika tu, dunia hakuna siri ni suala la muda tu
 
ilikua atumbuliwe akiwa anakula bata Los Angeles USA alipokua akifuja mali za umma kwa ufuska na anasa kila wikiendi, hata hivyo aanze amazoezi ya kusota korokoroni kwa makosa ya matumizi mabaya ya ofisi huko havana
Si tulikubaliana tunakula kwa urefu wa mamba!? By the way asingeweza kutumbuliwa kwa kipindi hiki
 
Kilichotokea January ndiyo kimeleta yote haya inawezekana maza asingefanya vile asingetoboa May.......kila kitu kitafahamika tu, dunia hakuna siri ni suala la muda tu
Kilitokea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…