Huko mwanzo kabisa, alipoingia JF alijifanya ndio Samia mwenyewe anayeingia jukwaani!Hii ndio Think tank inayoaminiwa na ccm.. What a loss!
Huyo ni Mzanzibari mmoja hohehahe sana.
Siku hizi kapuuzwa, hata maandishi yake hayana maana yoyote!
Huko mwanzo kabisa, alipoingia JF alijifanya ndio Samia mwenyewe anayeingia jukwaani!Hii ndio Think tank inayoaminiwa na ccm.. What a loss!
Huyo ni Mzanzibari mmoja hohehahe sana.😀😀😀Huko mwanzo kabisa, alipoingia JF alijifanya ndio Samia mwenyewe anayeingia jukwaani!
Huyo ni Mzanzibari mmoja hohehahe sana.
Siku hizi kapuuzwa, hata maandishi yake hayana maana yoyote!
Mbona kalipokuwa chadema kakiandika vijitabu vyake vya "ujasusi" mlikasifia sana?
Cc: Mimi Wewe Yule
Hakuna jarida ambalo hajafanya plagiarism.Kuna kitabu kimoja alikopi kwa wakili Matojo.
Sue him.
Hapa JF pia kuna muandishi mmoja alim plagiarize.Hakuna jarida ambalo hajafanya plagiarism.
Kuna siku kaliandika "mpango wa siri wa US dhidi ya Russia.." nikacheka sana sasa unajiuliza yaani mpango wa siri wa US uvuke mipaka hadi yeye aliyepo Kigamboni umfikie huo hauwezi kuwa mpango wa siri tena.
Kwa hapa JF alicopy makala za Habibu Anga [The Bold].Hapa JF pia kuna muandishi mmoja alim plagiarize.
Kwa hapa JF alicopy makala za Habibu Anga [The Bold].
View: https://x.com/i/status/1873661917342155004
View: https://x.com/i/status/1872743426208538698
Bekitatu wa Freeman Mbowe huyu.JASUSI la bamia naye ni mtu wa kukupotezea muda?View attachment 3539401
Kwa hapa JF alicopy makala za Habibu Anga [The Bold].
View: https://x.com/i/status/1873661917342155004
View: https://x.com/i/status/1872743426208538698