Ni nani yuko nyuma ya huu ujinga!?

Ni nani yuko nyuma ya huu ujinga!?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,869
Reaction score
828,386
Shirika la Haki za binadamu Duniani la Amnesty International imeikana barua iliyodaiwa kuwa yao iliyokwenda kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), iliyokuwa ikilaani na kukemea kuhusu baadhi ya wanachama wao walioingia nchini Kenya, kujitambulisha kama wakimbizi wa kisiasa na baadae kurejea Tanzania bila ya kutoa taarifa na kulisababishia hasara shirika hilo kutokana na malipo waliyokuwa wakilipwa wahusika.

Shirika hilo limekanusha kuhusika na barua hiyo kupitia mtandao wake wa ‘X’ na kueleza kuwa barua hiyo ni bandia ‘fake’ na kuutaka umma kutohadaika kwa kuwa imelenga kuchafua taswira ya viongozi wa Chadema.

Barua hiyo iliyotengenezwa kwa lengo la kuonekana kuwa imesainiwa na Tigere Chagutah, ilidai kuwa Brenda Rupia, Gervas Lyenda, Zacharia Obad na Lucas Ngoto walifanya tukio hilo baada ya kudai kuwa hawapo salama nchini Tanzania na kisha kupewa hifadhi na kuanza kulipwa Shilingi 1,800,000 kwa kila mwezi.

Barua hiyo ya Amnesty International imesambaa mitandaoni na baadhi ya watu, akiwemo mfuasi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Yericko Nyerere ambaye amekuwa akikishambulia Chadema na viongozi wake.

Ofisa mmoja wa Amnesty ameiambia MwanaHALISI kuwa jambo hilo halina ukweli na siasa ya kukichafua Chadema “Sio kweli na hiyo barua sio yetu na kwamba tayari tumeshakanusha suala hilo” .

Kama ingekuwa barua yetu sisi tunajua itifaki za kisiasa tungemuandikia katibu mkuu wa chama na sio kumuandikia John Pambalu ambaye ni mkurugenzi wa mafunzo “

Basi hawa watu wangekuwa wanaakili angalau kidogo wangemuandikia barua mkurugenzi wa mambo ya nje tungesema wamejaribu lakini kwa suala hili linawahusu viongozi wa Chadema limekigusa chama hicho moja kwa moja wangemuandikia katibu mkuu” alisema ofisa huyo.
1770260249280.jpg
 
Haya majina wanayopewa watoto, inabidi yatazamwe sana. Moja kati ya mji ulipata anguko kubwa ukalaaniwa na ikatangazwa laana pia kwa atakaye ujenga ni Yeriko. Huyu jamaa amepewa jina la sehemu iliyolaaniwa hata sasa na amebeba laana za kufanana na mji huo.

In short the guy is cursed from his name and whomever will help him to rise again shall lost his valuable people.
 
Shirika la Haki za binadamu Duniani la Amnesty International imeikana barua iliyodaiwa kuwa yao iliyokwenda kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), iliyokuwa ikilaani na kukemea kuhusu baadhi ya wanachama wao walioingia nchini Kenya, kujitambulisha kama wakimbizi wa kisiasa na baadae kurejea Tanzania bila ya kutoa taarifa na kulisababishia hasara shirika hilo kutokana na malipo waliyokuwa wakilipwa wahusika.

Shirika hilo limekanusha kuhusika na barua hiyo kupitia mtandao wake wa ‘X’ na kueleza kuwa barua hiyo ni bandia ‘fake’ na kuutaka umma kutohadaika kwa kuwa imelenga kuchafua taswira ya viongozi wa Chadema.

Barua hiyo iliyotengenezwa kwa lengo la kuonekana kuwa imesainiwa na Tigere Chagutah, ilidai kuwa Brenda Rupia, Gervas Lyenda, Zacharia Obad na Lucas Ngoto walifanya tukio hilo baada ya kudai kuwa hawapo salama nchini Tanzania na kisha kupewa hifadhi na kuanza kulipwa Shilingi 1,800,000 kwa kila mwezi.

Barua hiyo ya Amnesty International imesambaa mitandaoni na baadhi ya watu, akiwemo mfuasi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Yericko Nyerere ambaye amekuwa akikishambulia Chadema na viongozi wake.

Ofisa mmoja wa Amnesty ameiambia MwanaHALISI kuwa jambo hilo halina ukweli na siasa ya kukichafua Chadema “Sio kweli na hiyo barua sio yetu na kwamba tayari tumeshakanusha suala hilo” .

Kama ingekuwa barua yetu sisi tunajua itifaki za kisiasa tungemuandikia katibu mkuu wa chama na sio kumuandikia John Pambalu ambaye ni mkurugenzi wa mafunzo “

Basi hawa watu wangekuwa wanaakili angalau kidogo wangemuandikia barua mkurugenzi wa mambo ya nje tungesema wamejaribu lakini kwa suala hili linawahusu viongozi wa Chadema limekigusa chama hicho moja kwa moja wangemuandikia katibu mkuu” alisema ofisa huyo.View attachment 3539386
Ni BAKAWATA na UVCCM ndiyo wenye ujinga huo
 
Chadomo ndio chanzo cha huu ujinga wa kuandika uongo na kuchafua sasa watulie dawa iingie ,na bado

USSR
 
JASUSI la bamia naye ni mtu wa kukupotezea muda?View attachment 3539401
Najutia kabisa kuwa nilinunua vitabu 2 vya huyu boya. Nilikuja kujua rangi yake halisi wakati wa vuguvugu la uchaguzi wa mwenyekiti Chadema mwaka jana. Chadema walikuwa na mapandikizi/magugu mengi sana na huenda hata sasa bado yapo ya kutosha.
 
Hii nchi kuna vichaa tu ndo wanaweza kuwaelewa hao viongozi haramu yaan ukiangalia wale jamaa wanaongelea utekaji unafanywa na chadema na wanatamba kabisa fb huko ila tcra wala hawana mda na polisi wala hawana shida nao ila wajitokeze watu waiseme ccm km wale jamaa chap mtasikia wamekufa ama wamepotea hawajulikani walipo.. Njoo tena hawa wakatoliki wa buza kwa mparange hujakaa vizuri hiyo barua feki bado tu hujui ni kina nani wako nyuma ...!???
 
Shirika la Haki za binadamu Duniani la Amnesty International imeikana barua iliyodaiwa kuwa yao iliyokwenda kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), iliyokuwa ikilaani na kukemea kuhusu baadhi ya wanachama wao walioingia nchini Kenya, kujitambulisha kama wakimbizi wa kisiasa na baadae kurejea Tanzania bila ya kutoa taarifa na kulisababishia hasara shirika hilo kutokana na malipo waliyokuwa wakilipwa wahusika.

Shirika hilo limekanusha kuhusika na barua hiyo kupitia mtandao wake wa ‘X’ na kueleza kuwa barua hiyo ni bandia ‘fake’ na kuutaka umma kutohadaika kwa kuwa imelenga kuchafua taswira ya viongozi wa Chadema.

Barua hiyo iliyotengenezwa kwa lengo la kuonekana kuwa imesainiwa na Tigere Chagutah, ilidai kuwa Brenda Rupia, Gervas Lyenda, Zacharia Obad na Lucas Ngoto walifanya tukio hilo baada ya kudai kuwa hawapo salama nchini Tanzania na kisha kupewa hifadhi na kuanza kulipwa Shilingi 1,800,000 kwa kila mwezi.

Barua hiyo ya Amnesty International imesambaa mitandaoni na baadhi ya watu, akiwemo mfuasi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Yericko Nyerere ambaye amekuwa akikishambulia Chadema na viongozi wake.

Ofisa mmoja wa Amnesty ameiambia MwanaHALISI kuwa jambo hilo halina ukweli na siasa ya kukichafua Chadema “Sio kweli na hiyo barua sio yetu na kwamba tayari tumeshakanusha suala hilo” .

Kama ingekuwa barua yetu sisi tunajua itifaki za kisiasa tungemuandikia katibu mkuu wa chama na sio kumuandikia John Pambalu ambaye ni mkurugenzi wa mafunzo “

Basi hawa watu wangekuwa wanaakili angalau kidogo wangemuandikia barua mkurugenzi wa mambo ya nje tungesema wamejaribu lakini kwa suala hili linawahusu viongozi wa Chadema limekigusa chama hicho moja kwa moja wangemuandikia katibu mkuu” alisema ofisa huyo.View attachment 3539386
kumbe wale vijana wa chadema waliobebwa ufala wa kifikra na kufafanywa mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi walikua chini ya m.sarung pale kenya wamerudi nchini Tanzania?

kwani fursa za kazi walizoahidiwa ubeligiji hawajapatiwa?:pedroP:
 
Hii ndio Think tank inayoaminiwa na ccm.. What a loss!
 
Haya majina wanayopewa watoto, inabidi yatazamwe sana. Moja kati ya mji ulipata anguko kubwa ukalaaniwa na ikatangazwa laana pia kwa atakaye ujenga ni Yeriko. Huyu jamaa amepewa jina la sehemu iliyolaaniwa hata sasa na amebeba laana za kufanana na mji huo.

In short the guy is cursed from his name and whomever will help him to rise again shall lost his valuable people.
kabla ya kumjadili yerico kwanza tujiulize ANA AKILI TIMAMU? alimuita mbowe ALPHA NA OMEGA
Yerico alisema chadema ingekufa kama ingemchagua LISU leo mwaka umekwisha yerico ndiyo anahangaika na chadema
 
Back
Top Bottom