Hiyo ndio CCM, Full burudani.Yaani utadhani ni maroboti yamesetiwa na kuendeshwa kwa rimoti![]()
![]()
![]()
Akamvunja mmoja kiuno akaenda mahakamani kudai fidiaUmeshau ya nape kuwakanyaga viunoni eti wamelala MBunGE wao apite juu ya makario yao

The most ni 10K na T-shirt au khangaWanauhakika wa per diem ya 30K, usafiri wa kwenda na kurudi eneo la tukio, chakula cha mchana na pombe ya kienyeji jioni.
Wachagga watupu waliohamia kusini😂🐼Ni kabila gani hilo ?
Anajua yote na alipaswa kuyakataa, kupakwa mafuta na mgongo wa chupa na unachekelea na kupiga makofi ni aina fulani ambayo jina lake halipendezi!Lakini mambo haya (ambayo tukiita ya kijinga hatujakosea) huwa yanatokea kutoka maeneo yenye umasikini mkubwa?
Angalia kwa mfano mkoa kama Kilimanjaro ambako huduma za kijamii mfano maji, barabara, mashule na hospitali zimetapakaa hadi vijijini hatuoni ujinga kama huu wakati wao ndio kama ni kuonyesha furaha ndio walipaswa?
Umasikini wa sehemu kama Lindi na Mtwara ambao ukiufatilia kwa undani miaka hii 60 tokea uhuru waweza KULIA MACHOZI kwa nini CCM ndiko inatumia propaganda hizi mfu?
Ila upande mwingine UBWEGE katika hili unarudi kwa waandaaji wa hilo onyesho. Kwani huyo mama hajui kuwa hapo watu wanalipwa kuigiza mbele yake? Kwamba anadanganywa yeye kuwa wanafuraha kumbe wanafurahia kupata hivyo vitenge na hela ya sukari siku mbili tatu?
Anajua yote na alipaswa kuyakataa, kupakwa mafuta na mgongo wa chupa na unachekelea na kupiga makofi ni aina fulani ambayo jina lake halipendezi!
Thubutuuuu,pamoja na kupenda hela kwa Mchaga kamwe hawezi kufanya ujuha kama huo.Wachagga watupu waliohamia kusini😂🐼
Wachagga waigizaji sana 😀Thubutuuuu,pamoja na kupenda hela kwa Mchaga kamwe hawezi kufanya ujuha kama huo.
Nje ntiti ndani ntiti
kama haya, itakua huyo mwenyewe koti kubwa 😂Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechoka kuliko uchovu wenyewe.. Ikifika mahali chama kikishindwa hata kwenye mambo mepesi kabisa! Basi tambua chama kimezeeka kuliko umri wake na kimechoka kuliko kuchokwa!
Miujiza kwa asilimia 99 inayofanywa na manabii na mitume kwenye makanisa yao ni ya uongo mkubwa na ya kutengenezwa. Shuhuda zinazotolewa na wanaoitwa waumini ni za uongo na za kutengenezwa.. Lakini hawa mitume na hawa manabii wana timu bora za kusaka vipaji vya waigizaji kwenye miujiza na shuhuda
Wale waigizaji hufanya kwa usahihi sana kiasi cha kutengeneza uhalisia na kuaminika miongoni mwa wengine, kitu kinachowapa mileage kubwa mitume na manabii wasanii
Kinachowashinda CCM ni kipi? Kwanini huwa wanashibdwa vibaya sana linapokuja suala la kutengeneza maigizo? Si wawaazime basi wale wasanii wa akina mwamposa?
Shida kubwa kongwe na sugu ya ccm ni upigaji! Maokoto na kula kwa urefu wa kamba.. Kiasi kwamba fungu linalotengwa kwa jambo fulani mpaka limfikie mlengwa linakuwa limeshapita kwenye mikono zaidi ya mitatu na kila mkono unanyofoa chake! Matokeo yake ni kufeli kwa jambo husika
Mitume na manabii ni wakweli na waaminifu kwenye jambo moja! Kutimiza ahadi za malipo kwa waigizaji wao kwenye ibada zao.. Aisee huwa hawawapunji hata senti tano.. Wanalipa walichoahidi na kukubaliana na kwakuwa malipo ni mazuri na hayana ubabaishaji basi waigizaji nao hujitahidi sana kufanya kwa usahihi bila kukosea..!
Hii huwezi kuita ni coincidence hata siku moja
Wamama watu wazima wote
Wenye sare mpya wote na zinazofanana
Waliowekwa sehemu moja
Wainuke kwa pamoja kama kwaya
Wasogee eneo moja
Walale chini kwa pamoja na kwa mfanano
Kisha waanze kupiga kelele mfano wa watu wanaolia nknk
Yaani utadhani ni maroboti yamesetiwa na kuendeshwa kwa rimoti
Aaaah jamani CCM this is too much bwana! Mnamdhalilisha mno mwenyekiti wenu mjue.. Au mmemchoka!?View attachment 2755360
Mwanzo nlipowaona tu nlijua ni msiba Sasa kuangalia vizuri Wana sare za kijani eti hawakutegemea mwenyekitii kufika kwao duuh. Maigizo Yao low qualityChama cha Mapinduzi (CCM) kimechoka kuliko uchovu wenyewe.. Ikifika mahali chama kikishindwa hata kwenye mambo mepesi kabisa! Basi tambua chama kimezeeka kuliko umri wake na kimechoka kuliko kuchokwa!
Miujiza kwa asilimia 99 inayofanywa na manabii na mitume kwenye makanisa yao ni ya uongo mkubwa na ya kutengenezwa. Shuhuda zinazotolewa na wanaoitwa waumini ni za uongo na za kutengenezwa.. Lakini hawa mitume na hawa manabii wana timu bora za kusaka vipaji vya waigizaji kwenye miujiza na shuhuda
Wale waigizaji hufanya kwa usahihi sana kiasi cha kutengeneza uhalisia na kuaminika miongoni mwa wengine, kitu kinachowapa mileage kubwa mitume na manabii wasanii
Kinachowashinda CCM ni kipi? Kwanini huwa wanashibdwa vibaya sana linapokuja suala la kutengeneza maigizo? Si wawaazime basi wale wasanii wa akina mwamposa?
Shida kubwa kongwe na sugu ya ccm ni upigaji! Maokoto na kula kwa urefu wa kamba.. Kiasi kwamba fungu linalotengwa kwa jambo fulani mpaka limfikie mlengwa linakuwa limeshapita kwenye mikono zaidi ya mitatu na kila mkono unanyofoa chake! Matokeo yake ni kufeli kwa jambo husika
Mitume na manabii ni wakweli na waaminifu kwenye jambo moja! Kutimiza ahadi za malipo kwa waigizaji wao kwenye ibada zao.. Aisee huwa hawawapunji hata senti tano.. Wanalipa walichoahidi na kukubaliana na kwakuwa malipo ni mazuri na hayana ubabaishaji basi waigizaji nao hujitahidi sana kufanya kwa usahihi bila kukosea..!
Hii huwezi kuita ni coincidence hata siku moja
Wamama watu wazima wote
Wenye sare mpya wote na zinazofanana
Waliowekwa sehemu moja
Wainuke kwa pamoja kama kwaya
Wasogee eneo moja
Walale chini kwa pamoja na kwa mfanano
Kisha waanze kupiga kelele mfano wa watu wanaolia nknk
Yaani utadhani ni maroboti yamesetiwa na kuendeshwa kwa rimoti
Aaaah jamani CCM this is too much bwana! Mnamdhalilisha mno mwenyekiti wenu mjue.. Au mmemchoka!?View attachment 2755360
Kama Nape kamwambia anakataliwa na 16% tu ya wapiga Kura na wako mtandaoni(Yaani wanaishi mtandaoni) na kakubali unategemea akatae haya maigizo?Lakini mambo haya (ambayo tukiita ya kijinga hatujakosea) huwa yanatokea kutoka maeneo yenye umasikini mkubwa?
Angalia kwa mfano mkoa kama Kilimanjaro ambako huduma za kijamii mfano maji, barabara, mashule na hospitali zimetapakaa hadi vijijini hatuoni ujinga kama huu wakati wao ndio kama ni kuonyesha furaha ndio walipaswa?
Umasikini wa sehemu kama Lindi na Mtwara ambao ukiufatilia kwa undani miaka hii 60 tokea uhuru waweza KULIA MACHOZI kwa nini CCM ndiko inatumia propaganda hizi mfu?
Ila upande mwingine UBWEGE katika hili unarudi kwa waandaaji wa hilo onyesho. Kwani huyo mama hajui kuwa hapo watu wanalipwa kuigiza mbele yake? Kwamba anadanganywa yeye kuwa wanafuraha kumbe wanafurahia kupata hivyo vitenge na hela ya sukari siku mbili tatu?
Anajua yote na alipaswa kuyakataa, kupakwa mafuta na mgongo wa chupa na unachekelea na kupiga makofi ni aina fulani ambayo jina lake halipendezi!
Hao wamelipwa kwa kodi zetu ili wamburudishe mfalme ju*aChama cha Mapinduzi (CCM) kimechoka kuliko uchovu wenyewe.. Ikifika mahali chama kikishindwa hata kwenye mambo mepesi kabisa! Basi tambua chama kimezeeka kuliko umri wake na kimechoka kuliko kuchokwa!
Miujiza kwa asilimia 99 inayofanywa na manabii na mitume kwenye makanisa yao ni ya uongo mkubwa na ya kutengenezwa. Shuhuda zinazotolewa na wanaoitwa waumini ni za uongo na za kutengenezwa.. Lakini hawa mitume na hawa manabii wana timu bora za kusaka vipaji vya waigizaji kwenye miujiza na shuhuda
Wale waigizaji hufanya kwa usahihi sana kiasi cha kutengeneza uhalisia na kuaminika miongoni mwa wengine, kitu kinachowapa mileage kubwa mitume na manabii wasanii
Kinachowashinda CCM ni kipi? Kwanini huwa wanashibdwa vibaya sana linapokuja suala la kutengeneza maigizo? Si wawaazime basi wale wasanii wa akina mwamposa?
Shida kubwa kongwe na sugu ya ccm ni upigaji! Maokoto na kula kwa urefu wa kamba.. Kiasi kwamba fungu linalotengwa kwa jambo fulani mpaka limfikie mlengwa linakuwa limeshapita kwenye mikono zaidi ya mitatu na kila mkono unanyofoa chake! Matokeo yake ni kufeli kwa jambo husika
Mitume na manabii ni wakweli na waaminifu kwenye jambo moja! Kutimiza ahadi za malipo kwa waigizaji wao kwenye ibada zao.. Aisee huwa hawawapunji hata senti tano.. Wanalipa walichoahidi na kukubaliana na kwakuwa malipo ni mazuri na hayana ubabaishaji basi waigizaji nao hujitahidi sana kufanya kwa usahihi bila kukosea..!
Hii huwezi kuita ni coincidence hata siku moja
Wamama watu wazima wote
Wenye sare mpya wote na zinazofanana
Waliowekwa sehemu moja
Wainuke kwa pamoja kama kwaya
Wasogee eneo moja
Walale chini kwa pamoja na kwa mfanano
Kisha waanze kupiga kelele mfano wa watu wanaolia nknk
Yaani utadhani ni maroboti yamesetiwa na kuendeshwa kwa rimoti
Aaaah jamani CCM this is too much bwana! Mnamdhalilisha mno mwenyekiti wenu mjue.. Au mmemchoka!?View attachment 2755360
Pathetic!! Inahuzunisha, inasikitisha, inatia uchungu. Inakumbushia enzi za utumwa ndugu zetu walivyokuwa wakiteswa na kudhalilishwa. Huu ni udhalilishaji. Ni unyama!!Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechoka kuliko uchovu wenyewe.. Ikifika mahali chama kikishindwa hata kwenye mambo mepesi kabisa! Basi tambua chama kimezeeka kuliko umri wake na kimechoka kuliko kuchokwa!
Miujiza kwa asilimia 99 inayofanywa na manabii na mitume kwenye makanisa yao ni ya uongo mkubwa na ya kutengenezwa. Shuhuda zinazotolewa na wanaoitwa waumini ni za uongo na za kutengenezwa.. Lakini hawa mitume na hawa manabii wana timu bora za kusaka vipaji vya waigizaji kwenye miujiza na shuhuda
Wale waigizaji hufanya kwa usahihi sana kiasi cha kutengeneza uhalisia na kuaminika miongoni mwa wengine, kitu kinachowapa mileage kubwa mitume na manabii wasanii
Kinachowashinda CCM ni kipi? Kwanini huwa wanashibdwa vibaya sana linapokuja suala la kutengeneza maigizo? Si wawaazime basi wale wasanii wa akina mwamposa?
Shida kubwa kongwe na sugu ya ccm ni upigaji! Maokoto na kula kwa urefu wa kamba.. Kiasi kwamba fungu linalotengwa kwa jambo fulani mpaka limfikie mlengwa linakuwa limeshapita kwenye mikono zaidi ya mitatu na kila mkono unanyofoa chake! Matokeo yake ni kufeli kwa jambo husika
Mitume na manabii ni wakweli na waaminifu kwenye jambo moja! Kutimiza ahadi za malipo kwa waigizaji wao kwenye ibada zao.. Aisee huwa hawawapunji hata senti tano.. Wanalipa walichoahidi na kukubaliana na kwakuwa malipo ni mazuri na hayana ubabaishaji basi waigizaji nao hujitahidi sana kufanya kwa usahihi bila kukosea..!
Hii huwezi kuita ni coincidence hata siku moja
Wamama watu wazima wote
Wenye sare mpya wote na zinazofanana
Waliowekwa sehemu moja
Wainuke kwa pamoja kama kwaya
Wasogee eneo moja
Walale chini kwa pamoja na kwa mfanano
Kisha waanze kupiga kelele mfano wa watu wanaolia nknk
Yaani utadhani ni maroboti yamesetiwa na kuendeshwa kwa rimoti
Aaaah jamani CCM this is too much bwana! Mnamdhalilisha mno mwenyekiti wenu mjue.. Au mmemchoka!?View attachment 2755360
Sare walipata wapi sasaMwanzo nlipowaona tu nlijua ni msiba Sasa kuangalia vizuri Wana sare za kijani eti hawakutegemea mwenyekitii kufika kwao duuh. Maigizo Yao low quality