Ni nani huandaa maigizo ya CCM?

Ni nani huandaa maigizo ya CCM?

Haya matabaka ya watawala na watwana ni mtaji mkubwa sana .
Lakini mambo haya (ambayo tukiita ya kijinga hatujakosea) huwa yanatokea kutoka maeneo yenye umasikini mkubwa?
Angalia kwa mfano mkoa kama Kilimanjaro ambako huduma za kijamii mfano maji, barabara, mashule na hospitali zimetapakaa hadi vijijini hatuoni ujinga kama huu wakati wao ndio kama ni kuonyesha furaha ndio walipaswa?
Umasikini wa sehemu kama Lindi na Mtwara ambao ukiufatilia kwa undani miaka hii 60 tokea uhuru waweza KULIA MACHOZI kwa nini CCM ndiko inatumia propaganda hizi mfu?
Ila upande mwingine UBWEGE katika hili unarudi kwa waandaaji wa hilo onyesho. Kwani huyo mama hajui kuwa hapo watu wanalipwa kuigiza mbele yake? Kwamba anadanganywa yeye kuwa wanafuraha kumbe wanafurahia kupata hivyo vitenge na hela ya sukari siku mbili tatu?
Anajua yote na alipaswa kuyakataa, kupakwa mafuta na mgongo wa chupa na unachekelea na kupiga makofi ni aina fulani ambayo jina lake halipendezi!
Vijijini ni mtaji mkubwa sana kwa politicians..
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechoka kuliko uchovu wenyewe. Ikifika mahali chama kikishindwa hata kwenye mambo mepesi kabisa! Basi tambua chama kimezeeka kuliko umri wake na kimechoka kuliko kuchokwa!

Miujiza kwa asilimia 99 inayofanywa na manabii na mitume kwenye makanisa yao ni ya uongo mkubwa na ya kutengenezwa. Shuhuda zinazotolewa na wanaoitwa waumini ni za uongo na za kutengenezwa, lakini hawa mitume na hawa manabii wana timu bora za kusaka vipaji vya waigizaji kwenye miujiza na shuhuda.

Wale waigizaji hufanya kwa usahihi sana kiasi cha kutengeneza uhalisia na kuaminika miongoni mwa wengine, kitu kinachowapa mileage kubwa mitume na manabii wasanii.

Kinachowashinda CCM ni kipi? Kwanini huwa wanashibdwa vibaya sana linapokuja suala la kutengeneza maigizo? Si wawaazime basi wale wasanii wa akina mwamposa?

Shida kubwa kongwe na sugu ya CCM ni upigaji, maokoto na kula kwa urefu wa kamba kiasi kwamba fungu linalotengwa kwa jambo fulani mpaka limfikie mlengwa linakuwa limeshapita kwenye mikono zaidi ya mitatu na kila mkono unanyofoa chake! Matokeo yake ni kufeli kwa jambo husika.

Mitume na manabii ni wakweli na waaminifu kwenye jambo moja! Kutimiza ahadi za malipo kwa waigizaji wao kwenye ibada zao. Aisee huwa hawawapunji hata senti tano. Wanalipa walichoahidi na kukubaliana na kwakuwa malipo ni mazuri na hayana ubabaishaji basi waigizaji nao hujitahidi sana kufanya kwa usahihi bila kukosea!
  • Hii huwezi kuita ni coincidence hata siku moja
  • Wamama watu wazima wote
  • Wenye sare mpya wote na zinazofanana
  • Waliowekwa sehemu moja
  • Wainuke kwa pamoja kama kwaya
  • Wasogee eneo moja
  • Walale chini kwa pamoja na kwa mfanano
  • Kisha waanze kupiga kelele mfano wa watu wanaolia nknk
  • Yaani utadhani ni maroboti yamesetiwa na kuendeshwa kwa rimoti
Aaaah jamani CCM this is too much bwana! Mnamdhalilisha mno Mwenyekiti wenu mjue, au mmemchoka?!

Maadam mwenyekiti hakukemea basi ni wazi aliidhinisha, hata hivyo haukuwa mkutano wa CCM.
 
Chief Mshana ukute hapo kuna Sista au Bimkubwa wako sasa afu upo na Wanao mnatazama kwa Tv😅
 
Hiyo ndio CCM,chukua chako mapema 😂😂😂🍀🍀🍀🤸🤸🤸
 
Ila ndigu zangu mie nina muono tofauti, pamoja na huo ujinga wa hao kina mama masikini kudanganywa kwa kitu kidogo kisha kujidhalilisha ila kuna la huyu Rais.
Hata kama hajachaguliwa kuwa Rais na Watanzania, lakini hii katiba yetu ambayo yeye haiheshimu anaiita "kitabu tuu" ndio imemuweka ofisini hivyo tunapaswa kumheshimu na yeye ATUHESHIMU.
Kitendo cha kukubali kudhalilishwa na hao ccm wenzake kwa maigizo ya uongo kisha anachekelea huku ni kujidhalilisha na kudhalilisha wengine wanaompa heshima ya Urais.
Hii ni sawa na ile hadhithi ya mfalme Juha aliyevàa Joho la uongo akawa anapita mitaani akishangiliwa hadi mtoto mmoja asiyejua tabia ya uongo na kupiga kelele 'Mfalme yuko uchi!'
Ni aibu kwa Rais kukubali mipango ya uongo kumsifia huku akijua ni uongo maana hata hao wanaomsifu wanamdharau.
Mratibu mkuu wa uongo huu ni Nape akidhani dunia hii ni ile ile ya 2013/14 kutokana na upeo wa akili yake
 
mwaka wa 60 tangu uhuru bado umaskini na ujinga ni mtaji wa ccm, raisi nii mtumishi yeye ndo alitakiwa kulia na kugaragara ili kutetea ajira yake maana sisi ndo maboss.. sasa kura nipige mimi, kodi nilipe mimi, bado nigaregare mimi, au wanatuona sisi manyani 🤣 🤣 🤣
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechoka kuliko uchovu wenyewe. Ikifika mahali chama kikishindwa hata kwenye mambo mepesi kabisa! Basi tambua chama kimezeeka kuliko umri wake na kimechoka kuliko kuchokwa!

Miujiza kwa asilimia 99 inayofanywa na manabii na mitume kwenye makanisa yao ni ya uongo mkubwa na ya kutengenezwa. Shuhuda zinazotolewa na wanaoitwa waumini ni za uongo na za kutengenezwa, lakini hawa mitume na hawa manabii wana timu bora za kusaka vipaji vya waigizaji kwenye miujiza na shuhuda.

Wale waigizaji hufanya kwa usahihi sana kiasi cha kutengeneza uhalisia na kuaminika miongoni mwa wengine, kitu kinachowapa mileage kubwa mitume na manabii wasanii.

Kinachowashinda CCM ni kipi? Kwanini huwa wanashibdwa vibaya sana linapokuja suala la kutengeneza maigizo? Si wawaazime basi wale wasanii wa akina mwamposa?

Shida kubwa kongwe na sugu ya CCM ni upigaji, maokoto na kula kwa urefu wa kamba kiasi kwamba fungu linalotengwa kwa jambo fulani mpaka limfikie mlengwa linakuwa limeshapita kwenye mikono zaidi ya mitatu na kila mkono unanyofoa chake! Matokeo yake ni kufeli kwa jambo husika.

Mitume na manabii ni wakweli na waaminifu kwenye jambo moja! Kutimiza ahadi za malipo kwa waigizaji wao kwenye ibada zao. Aisee huwa hawawapunji hata senti tano. Wanalipa walichoahidi na kukubaliana na kwakuwa malipo ni mazuri na hayana ubabaishaji basi waigizaji nao hujitahidi sana kufanya kwa usahihi bila kukosea!
  • Hii huwezi kuita ni coincidence hata siku moja
  • Wamama watu wazima wote
  • Wenye sare mpya wote na zinazofanana
  • Waliowekwa sehemu moja
  • Wainuke kwa pamoja kama kwaya
  • Wasogee eneo moja
  • Walale chini kwa pamoja na kwa mfanano
  • Kisha waanze kupiga kelele mfano wa watu wanaolia nknk
  • Yaani utadhani ni maroboti yamesetiwa na kuendeshwa kwa rimoti
Aaaah jamani CCM this is too much bwana! Mnamdhalilisha mno Mwenyekiti wenu mjue, au mmemchoka?!

Mkuu naheshimu nyuzi zako ila hapo kwa Manabii watu kuigiza nakukatalia ingawa wapo wanaofanya hivyo.
Mimi nishakwenda kwa Nabii Malisa bila ushawishi wa mtu yoyote na niliombewa mambo yangu yapo sawa na vilevile Mwamposa nimeshatumia maji yake tena sijaonana nae,maji ya chupa aliyaombea kwa njia ya TV Mimi nikiwa Mkoani na Yale maji nilinyunyiza ndani kwangu,kesho yake nilishuhudia mambo ya kishirikina kuanzia getini mpaka ndani kwangu.
Masuala ya Imani za watu tuyaache kama wewe vile unavyoanini mambo Yako ya mlingotini Kuna mwingine haamini pia.
 
Mam Abdul na yeye amekaa jukwaani huku anachekelea wanawake wenzake wakimlilia na kugaragara.
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechoka kuliko uchovu wenyewe. Ikifika mahali chama kikishindwa hata kwenye mambo mepesi kabisa! Basi tambua chama kimezeeka kuliko umri wake na kimechoka kuliko kuchokwa!

Miujiza kwa asilimia 99 inayofanywa na manabii na mitume kwenye makanisa yao ni ya uongo mkubwa na ya kutengenezwa. Shuhuda zinazotolewa na wanaoitwa waumini ni za uongo na za kutengenezwa, lakini hawa mitume na hawa manabii wana timu bora za kusaka vipaji vya waigizaji kwenye miujiza na shuhuda.

Wale waigizaji hufanya kwa usahihi sana kiasi cha kutengeneza uhalisia na kuaminika miongoni mwa wengine, kitu kinachowapa mileage kubwa mitume na manabii wasanii.

Kinachowashinda CCM ni kipi? Kwanini huwa wanashibdwa vibaya sana linapokuja suala la kutengeneza maigizo? Si wawaazime basi wale wasanii wa akina mwamposa?

Shida kubwa kongwe na sugu ya CCM ni upigaji, maokoto na kula kwa urefu wa kamba kiasi kwamba fungu linalotengwa kwa jambo fulani mpaka limfikie mlengwa linakuwa limeshapita kwenye mikono zaidi ya mitatu na kila mkono unanyofoa chake! Matokeo yake ni kufeli kwa jambo husika.

Mitume na manabii ni wakweli na waaminifu kwenye jambo moja! Kutimiza ahadi za malipo kwa waigizaji wao kwenye ibada zao. Aisee huwa hawawapunji hata senti tano. Wanalipa walichoahidi na kukubaliana na kwakuwa malipo ni mazuri na hayana ubabaishaji basi waigizaji nao hujitahidi sana kufanya kwa usahihi bila kukosea!
  • Hii huwezi kuita ni coincidence hata siku moja
  • Wamama watu wazima wote
  • Wenye sare mpya wote na zinazofanana
  • Waliowekwa sehemu moja
  • Wainuke kwa pamoja kama kwaya
  • Wasogee eneo moja
  • Walale chini kwa pamoja na kwa mfanano
  • Kisha waanze kupiga kelele mfano wa watu wanaolia nknk
  • Yaani utadhani ni maroboti yamesetiwa na kuendeshwa kwa rimoti
Aaaah jamani CCM this is too much bwana! Mnamdhalilisha mno Mwenyekiti wenu mjue, au mmemchoka?!

Hawa wapumbavu hakuna F4 hata mmoja wote la 7 kushuka chini, CCM ndiyo inataka watu wajinga kama hawa
 
Back
Top Bottom