Ni nani huandaa maigizo ya CCM?

Ni nani huandaa maigizo ya CCM?

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechoka kuliko uchovu wenyewe. Ikifika mahali chama kikishindwa hata kwenye mambo mepesi kabisa! Basi tambua chama kimezeeka kuliko umri wake na kimechoka kuliko kuchokwa!

Miujiza kwa asilimia 99 inayofanywa na manabii na mitume kwenye makanisa yao ni ya uongo mkubwa na ya kutengenezwa. Shuhuda zinazotolewa na wanaoitwa waumini ni za uongo na za kutengenezwa, lakini hawa mitume na hawa manabii wana timu bora za kusaka vipaji vya waigizaji kwenye miujiza na shuhuda.

Wale waigizaji hufanya kwa usahihi sana kiasi cha kutengeneza uhalisia na kuaminika miongoni mwa wengine, kitu kinachowapa mileage kubwa mitume na manabii wasanii.

Kinachowashinda CCM ni kipi? Kwanini huwa wanashibdwa vibaya sana linapokuja suala la kutengeneza maigizo? Si wawaazime basi wale wasanii wa akina mwamposa?

Shida kubwa kongwe na sugu ya CCM ni upigaji, maokoto na kula kwa urefu wa kamba kiasi kwamba fungu linalotengwa kwa jambo fulani mpaka limfikie mlengwa linakuwa limeshapita kwenye mikono zaidi ya mitatu na kila mkono unanyofoa chake! Matokeo yake ni kufeli kwa jambo husika.

Mitume na manabii ni wakweli na waaminifu kwenye jambo moja! Kutimiza ahadi za malipo kwa waigizaji wao kwenye ibada zao. Aisee huwa hawawapunji hata senti tano. Wanalipa walichoahidi na kukubaliana na kwakuwa malipo ni mazuri na hayana ubabaishaji basi waigizaji nao hujitahidi sana kufanya kwa usahihi bila kukosea!
  • Hii huwezi kuita ni coincidence hata siku moja
  • Wamama watu wazima wote
  • Wenye sare mpya wote na zinazofanana
  • Waliowekwa sehemu moja
  • Wainuke kwa pamoja kama kwaya
  • Wasogee eneo moja
  • Walale chini kwa pamoja na kwa mfanano
  • Kisha waanze kupiga kelele mfano wa watu wanaolia nknk
  • Yaani utadhani ni maroboti yamesetiwa na kuendeshwa kwa rimoti
Aaaah jamani CCM this is too much bwana! Mnamdhalilisha mno Mwenyekiti wenu mjue, au mmemchoka?!

kuonesha hii ni sinema iliyoandaliwa humo ndani kila mwana mama kavaa suruali ili mambo yasije haribika
 
Tunayo safari kuelekea nchi ya ahadi. Hivi unaweza kuandikishwa kadi ya CCM bila kuomba?
 
Mkuu naheshimu nyuzi zako ila hapo kwa Manabii watu kuigiza nakukatalia ingawa wapo wanaofanya hivyo.
Mimi nishakwenda kwa Nabii Malisa bila ushawishi wa mtu yoyote na niliombewa mambo yangu yapo sawa na vilevile Mwamposa nimeshatumia maji yake tena sijaonana nae,maji ya chupa aliyaombea kwa njia ya TV Mimi nikiwa Mkoani na Yale maji nilinyunyiza ndani kwangu,kesho yake nilishuhudia mambo ya kishirikina kuanzia getini mpaka ndani kwangu.
Masuala ya Imani za watu tuyaache kama wewe vile unavyoanini mambo Yako ya mlingotini Kuna mwingine haamini pia.
Imani ndio kila kitu mkuu wangu na hayo sio maji ya baraka bali ni maji ya kishirikina yenye nguvu bandia. Trust me naheshimu mno imani za watu lakini hawa manabii na mitume nawajua kinyumembele kwakuwa baadhi yao wameshawahi kunialika kwenye ibada zao na wengi tushaongea private.. Ningekuwa mtu wa tamaa........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechoka kuliko uchovu wenyewe. Ikifika mahali chama kikishindwa hata kwenye mambo mepesi kabisa! Basi tambua chama kimezeeka kuliko umri wake na kimechoka kuliko kuchokwa!

Miujiza kwa asilimia 99 inayofanywa na manabii na mitume kwenye makanisa yao ni ya uongo mkubwa na ya kutengenezwa. Shuhuda zinazotolewa na wanaoitwa waumini ni za uongo na za kutengenezwa, lakini hawa mitume na hawa manabii wana timu bora za kusaka vipaji vya waigizaji kwenye miujiza na shuhuda.

Wale waigizaji hufanya kwa usahihi sana kiasi cha kutengeneza uhalisia na kuaminika miongoni mwa wengine, kitu kinachowapa mileage kubwa mitume na manabii wasanii.

Kinachowashinda CCM ni kipi? Kwanini huwa wanashibdwa vibaya sana linapokuja suala la kutengeneza maigizo? Si wawaazime basi wale wasanii wa akina mwamposa?

Shida kubwa kongwe na sugu ya CCM ni upigaji, maokoto na kula kwa urefu wa kamba kiasi kwamba fungu linalotengwa kwa jambo fulani mpaka limfikie mlengwa linakuwa limeshapita kwenye mikono zaidi ya mitatu na kila mkono unanyofoa chake! Matokeo yake ni kufeli kwa jambo husika.

Mitume na manabii ni wakweli na waaminifu kwenye jambo moja! Kutimiza ahadi za malipo kwa waigizaji wao kwenye ibada zao. Aisee huwa hawawapunji hata senti tano. Wanalipa walichoahidi na kukubaliana na kwakuwa malipo ni mazuri na hayana ubabaishaji basi waigizaji nao hujitahidi sana kufanya kwa usahihi bila kukosea!
  • Hii huwezi kuita ni coincidence hata siku moja
  • Wamama watu wazima wote
  • Wenye sare mpya wote na zinazofanana
  • Waliowekwa sehemu moja
  • Wainuke kwa pamoja kama kwaya
  • Wasogee eneo moja
  • Walale chini kwa pamoja na kwa mfanano
  • Kisha waanze kupiga kelele mfano wa watu wanaolia nknk
  • Yaani utadhani ni maroboti yamesetiwa na kuendeshwa kwa rimoti
Aaaah jamani CCM this is too much bwana! Mnamdhalilisha mno Mwenyekiti wenu mjue, au mmemchoka?!

hii kazi huwa inafanywa kwa usahihi kabisa na DSOs na RCOs
viongozi wa ccm wenyewe wakishirikiana na watumishi wa serikali
 
Maza nikimuona apo namkata maksi kazaa kwenye zile pasenteji za heshima,,,,
 
Back
Top Bottom