Ni nani huandaa maigizo ya CCM?

Ni nani huandaa maigizo ya CCM?

Kaka Mshana, maandiko yako mazuri and on point always, pongeslzi sana comred.
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechoka kuliko uchovu wenyewe.. Ikifika mahali chama kikishindwa hata kwenye mambo mepesi kabisa! Basi tambua chama kimezeeka kuliko umri wake na kimechoka kuliko kuchokwa!

Miujiza kwa asilimia 99 inayofanywa na manabii na mitume kwenye makanisa yao ni ya uongo mkubwa na ya kutengenezwa. Shuhuda zinazotolewa na wanaoitwa waumini ni za uongo na za kutengenezwa.. Lakini hawa mitume na hawa manabii wana timu bora za kusaka vipaji vya waigizaji kwenye miujiza na shuhuda
Wale waigizaji hufanya kwa usahihi sana kiasi cha kutengeneza uhalisia na kuaminika miongoni mwa wengine, kitu kinachowapa mileage kubwa mitume na manabii wasanii

Kinachowashinda CCM ni kipi? Kwanini huwa wanashibdwa vibaya sana linapokuja suala la kutengeneza maigizo? Si wawaazime basi wale wasanii wa akina mwamposa?

Shida kubwa kongwe na sugu ya ccm ni upigaji! Maokoto na kula kwa urefu wa kamba.. Kiasi kwamba fungu linalotengwa kwa jambo fulani mpaka limfikie mlengwa linakuwa limeshapita kwenye mikono zaidi ya mitatu na kila mkono unanyofoa chake! Matokeo yake ni kufeli kwa jambo husika

Mitume na manabii ni wakweli na waaminifu kwenye jambo moja! Kutimiza ahadi za malipo kwa waigizaji wao kwenye ibada zao.. Aisee huwa hawawapunji hata senti tano.. Wanalipa walichoahidi na kukubaliana na kwakuwa malipo ni mazuri na hayana ubabaishaji basi waigizaji nao hujitahidi sana kufanya kwa usahihi bila kukosea..!

Hii huwezi kuita ni coincidence hata siku moja
Wamama watu wazima wote
Wenye sare mpya wote na zinazofanana
Waliowekwa sehemu moja
Wainuke kwa pamoja kama kwaya
Wasogee eneo moja
Walale chini kwa pamoja na kwa mfanano
Kisha waanze kupiga kelele mfano wa watu wanaolia nknk
Yaani utadhani ni maroboti yamesetiwa na kuendeshwa kwa rimoti

Aaaah jamani CCM this is too much bwana! Mnamdhalilisha mno mwenyekiti wenu mjue.. Au mmemchoka!?View attachment 2755360
Kamati ya propaganda na uenezi ndiyo kazi yao....

CCM ni ng'ombe
 
Halafu yanatuona sisi manyani tu
8ca9b48fa33a3c0bb9082fcd03996df9.jpg
bb62eefcda06a2e1f326563532f614a3.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechoka kuliko uchovu wenyewe.. Ikifika mahali chama kikishindwa hata kwenye mambo mepesi kabisa! Basi tambua chama kimezeeka kuliko umri wake na kimechoka kuliko kuchokwa!

Miujiza kwa asilimia 99 inayofanywa na manabii na mitume kwenye makanisa yao ni ya uongo mkubwa na ya kutengenezwa. Shuhuda zinazotolewa na wanaoitwa waumini ni za uongo na za kutengenezwa.. Lakini hawa mitume na hawa manabii wana timu bora za kusaka vipaji vya waigizaji kwenye miujiza na shuhuda
Wale waigizaji hufanya kwa usahihi sana kiasi cha kutengeneza uhalisia na kuaminika miongoni mwa wengine, kitu kinachowapa mileage kubwa mitume na manabii wasanii

Kinachowashinda CCM ni kipi? Kwanini huwa wanashibdwa vibaya sana linapokuja suala la kutengeneza maigizo? Si wawaazime basi wale wasanii wa akina mwamposa?

Shida kubwa kongwe na sugu ya ccm ni upigaji! Maokoto na kula kwa urefu wa kamba.. Kiasi kwamba fungu linalotengwa kwa jambo fulani mpaka limfikie mlengwa linakuwa limeshapita kwenye mikono zaidi ya mitatu na kila mkono unanyofoa chake! Matokeo yake ni kufeli kwa jambo husika

Mitume na manabii ni wakweli na waaminifu kwenye jambo moja! Kutimiza ahadi za malipo kwa waigizaji wao kwenye ibada zao.. Aisee huwa hawawapunji hata senti tano.. Wanalipa walichoahidi na kukubaliana na kwakuwa malipo ni mazuri na hayana ubabaishaji basi waigizaji nao hujitahidi sana kufanya kwa usahihi bila kukosea..!

Hii huwezi kuita ni coincidence hata siku moja
Wamama watu wazima wote
Wenye sare mpya wote na zinazofanana
Waliowekwa sehemu moja
Wainuke kwa pamoja kama kwaya
Wasogee eneo moja
Walale chini kwa pamoja na kwa mfanano
Kisha waanze kupiga kelele mfano wa watu wanaolia nknk
Yaani utadhani ni maroboti yamesetiwa na kuendeshwa kwa rimoti

Aaaah jamani CCM this is too much bwana! Mnamdhalilisha mno mwenyekiti wenu mjue.. Au mmemchoka!?View attachment 2755360
Johnthebaptist na bi MKORA Faizafoxy wanakuja kulitolea ufafanuzi!!
 
Kura zikihesabiwakwa haki kabisa CCM haitoboi
 
Chama cha hovyo sana
 
Wangekua wanatuwekea jina la director kwenye kila muvi yao tungekua tunamchamba sana aisee
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechoka kuliko uchovu wenyewe. Ikifika mahali chama kikishindwa hata kwenye mambo mepesi kabisa! Basi tambua chama kimezeeka kuliko umri wake na kimechoka kuliko kuchokwa!

Miujiza kwa asilimia 99 inayofanywa na manabii na mitume kwenye makanisa yao ni ya uongo mkubwa na ya kutengenezwa. Shuhuda zinazotolewa na wanaoitwa waumini ni za uongo na za kutengenezwa, lakini hawa mitume na hawa manabii wana timu bora za kusaka vipaji vya waigizaji kwenye miujiza na shuhuda.

Wale waigizaji hufanya kwa usahihi sana kiasi cha kutengeneza uhalisia na kuaminika miongoni mwa wengine, kitu kinachowapa mileage kubwa mitume na manabii wasanii.

Kinachowashinda CCM ni kipi? Kwanini huwa wanashibdwa vibaya sana linapokuja suala la kutengeneza maigizo? Si wawaazime basi wale wasanii wa akina mwamposa?

Shida kubwa kongwe na sugu ya CCM ni upigaji, maokoto na kula kwa urefu wa kamba kiasi kwamba fungu linalotengwa kwa jambo fulani mpaka limfikie mlengwa linakuwa limeshapita kwenye mikono zaidi ya mitatu na kila mkono unanyofoa chake! Matokeo yake ni kufeli kwa jambo husika.

Mitume na manabii ni wakweli na waaminifu kwenye jambo moja! Kutimiza ahadi za malipo kwa waigizaji wao kwenye ibada zao. Aisee huwa hawawapunji hata senti tano. Wanalipa walichoahidi na kukubaliana na kwakuwa malipo ni mazuri na hayana ubabaishaji basi waigizaji nao hujitahidi sana kufanya kwa usahihi bila kukosea!
  • Hii huwezi kuita ni coincidence hata siku moja
  • Wamama watu wazima wote
  • Wenye sare mpya wote na zinazofanana
  • Waliowekwa sehemu moja
  • Wainuke kwa pamoja kama kwaya
  • Wasogee eneo moja
  • Walale chini kwa pamoja na kwa mfanano
  • Kisha waanze kupiga kelele mfano wa watu wanaolia nknk
  • Yaani utadhani ni maroboti yamesetiwa na kuendeshwa kwa rimoti
Aaaah jamani CCM this is too much bwana! Mnamdhalilisha mno Mwenyekiti wenu mjue, au mmemchoka?!

Kweli haya ni maigizo. Hiki ni chama cha maigizo(CCM)
 
Back
Top Bottom