mkulungu mkuyengo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2015
- 786
- 566
Hapana mkuu...
Ile nyingine dizain kama vidole viwili vya kati kavikunja, gumba, kinachofuata na cha mwisho kaviachia!
Niliona kwenye tuzo za AMMA akifanya hivyo...duuh nilichoka!
kalikua na sura nzuri sana na model figure ila kalikosa chura tu na hips na boobs.kadada kalikuwa karembo kwel kwel
eh kumbe kana hips na boobs kiaina!
Haaa haaaTumalizane hapa hapa buana[emoji23]
Sio wewe mkuu naongea na QUIGLEYNijee?
Yes hiyo hiyo mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 594607View attachment 594608
inaitwa 'mano cornuto' au horned hand,sasa ona watu wenyewe wanaotumia hizo satanic signatures unaweza kudhani ni 'swag' tu ila uhalisia wake hatari sana.
Na nahisi nalo ni sharti...utaona wabongo wanaiga kusalimia hivyoView attachment 594607View attachment 594608
inaitwa 'mano cornuto' au horned hand,sasa ona watu wenyewe wanaotumia hizo satanic signatures unaweza kudhani ni 'swag' tu ila uhalisia wake hatari sana.
Anataka kudandia tren eeSio wewe mkuu naongea na QUIGLEY
Mwenzangu!Anataka kudandia tren ee
Urembo bila kichuguu ni sawa na gari kutembea na tyre tatu.niliwahi kusikia anaitwa mrembo kweli kweli huyu Dada sasa ninapoiona hii picha nashindwa kuelewa vigezo gani vilitumika,kwa jinsi anavyoonekana vikalio kama dereva wa magari ya mwendokasi aaaaah!! Kila mtu na macho yake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ze kokuyo,The Rocket Man.
hiyo vidole viwili nayo ni walewale tu mkuu ni 'code' za hao mashetani,ila MJ aliacha kutumia baada ya kuachana nao,2pac nae alivyoachana nao akabuni ya kwake 'W' means ,'Westcoast'.Na nahisi nalo ni sharti...utaona wabongo wanaiga kusalimia hivyo
Ila MJ alikuwa hasalimii hivyo ye vidole viwili mean " peace" or nayo ina utata mkuu?
Duuuh!hiyo vidole viwili nayo ni walewale tu mkuu ni 'code' za hao mashetani,ila MJ aliacha kutumia baada ya kuachana nao,2pac nae alivyoachana nao akabuni ya kwake 'W' means ,'Westcoast'.
huyo ni papa wa vatican,kwa kifupi vatican inamilikiwa na illuminati popes wote wapo kwa ajili ya illuminati na wanatekeleza orders from them kupitia 'the black pope'.Yes hiyo hiyo mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hee hadi papa Vatican au ni nani huyo?
Hii dunia ina maajabu
Tatizo mmezoea chura zimejaa maviniliwahi kusikia anaitwa mrembo kweli kweli huyu Dada sasa ninapoiona hii picha nashindwa kuelewa vigezo gani vilitumika,kwa jinsi anavyoonekana vikalio kama dereva wa magari ya mwendokasi aaaaah!! Kila mtu na macho yake.
Aisee...nilishasikia hii kituhuyo ni papa wa vatican,kwa kifupi vatican inamilikiwa na illuminati popes wote wapo kwa ajili ya illuminati na wanatekeleza orders from them kupitia 'the black pope'.
ndio maana Fidel aliwai mtambia JK kwamba yeye hata akiwa anahutubia anakuwaga free hata bullet proof havai na anamaliza salama kabisa teh teh teh
Fidel alikuwa na jeuri sana kumbe alikuwa anamdukua JK through Monroe.....aiseee..!!!