Ni nani alimuua Marilyn Monroe?

Atakuwa aliuawa na watu wasiojulikana, ndugu moja na hawa waliotaka kumuua mwana mwema wetu Lissu!

Chadema anzishen basi Group letu muwe mnaongea ujinga wenu huko,hapa tunajifunza tusjiyoyajua nyie mnaleta ujinga wenu!
 
Yafuatayo ni mahojiano kati ya Jimmy Marrs na James Files - muuaji wa JF Kennedy.. swali (Q) ameuliza Jimmy na Jibu (A) ametoa James Files

Q- Just to interject, , was it the Kennedy’s or the mob that hit Marilyn?

A- The mob hit her, but they had done, they did it on the request of the Kennedys
 
Mchepuko wa rais anakuwaje tishio kwa usalama wa Taifa?
Usimeze kila kilichoandikwa..
Tuliza akili kitafakari kwanza..

Baada ya kifo cha JFK viliandikwa vitabu maelfu kadhaa..
Na vyote vikiwa kwenye 'nadharia za njama - conspiracy theories'.
Ni jukumu lako kutafuta ukweli..
 
Ni wapi waliwahi kuthibitisha kuwa James Files alimuua JFK naomba link
 
Nadhani kuna umuhimu wa kujuzana nini kilikuwa kinaendelea USA kipindi hicho..
Kuna maandiko mengi ya Udaku ila kiukweli JFK mwenyewe alikuwa disaster, hakuweza kuongoza nchi, hakujua vipaumbele vya makundi mbalimbali katika nchi na hakuweza kujiongoza mwenyewe..

Kulikuwa na operesheni kibao zilizokuwa zikiendelea kusini mashariki mwa Asia na yeye wala hakuzifahamu, mafia na CIA + FBI walikuwa 'wameoana' na yeye hakujua.. hata tu kuuawa kwake ilikuwa sehemu ya ubishi wake pamoja na kuwa alizingua sana kwenye 'jaribio la mapinduzi Cuba - lililokuja kuitwa Bay of pigs invasion'.
 
'Waliwahi' - kina nani hao unaowaulizia?
1. Vyombo vya habari?
2. Vyombo vya usalama?
3. Mafia?
4. James Files mwenyewe?
5. Mashuhuda waliokuwa Delay Plaza?
E.c.t

Mtaje unayemtaka na nitakwambia msimamo wake ni upi!
Ni wapi waliwahi kuthibitisha kuwa James Files alimuua JFK naomba link
 
'Waliwahi' - kina nani hao unaowaulizia?
1. Vyombo vya habari?
2. Vyombo vya usalama?
3. Mafia?
4. James Files mwenyewe?
5. Mashuhuda waliokuwa Delay Plaza?
E.c.t

Mtaje unayemtaka na nitakwambia msimamo wake ni upi!
🚮🚮🚮
 
[emoji706][emoji706][emoji706]
Nimekuuliza hivyo kwasababu kuna interested parties nyingi na kila moja ina maelezo yake kwa interest zake..

As for James Files, kuna vitabu na makala.
Ila kusoma alichoelezea mwenyewe - google 'JFK assassin James Files UNEDITED interview' ..
Interview hii ipo kwa video -youtube na kwa maandishi...
Pambana
 
niliwahi kusikia anaitwa mrembo kweli kweli huyu Dada sasa ninapoiona hii picha nashindwa kuelewa vigezo gani vilitumika,kwa jinsi anavyoonekana vikalio kama dereva wa magari ya mwendokasi aaaaah!! Kila mtu na macho yake.
Nyota tu
 
Hilo la kutembelewa na Kasisi na kukutwa kaoza ni uongo mtupu. Acha kutudanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…