Duh hizi story za Familia ya Nyerere na familia ya Mbowe hizi...!. Hebu tutafutie profile picha ya Mzee Mbowe, Nyerere na Freeman, kwa ajili tuu ya kumbukumbu maana..., kumbe hadi kupeana makochi!.
Yaani mnataka kusema kama sio Mzee Mbowe, Familia ya Nyerere wangekaa chini?!.
P
Ingekalia makochi ya EATV/EA Radio.Duh hizi story za Familia ya Nyerere na familia ya Mbowe hizi...!. Hebu tutafutie profile picha ya Mzee Mbowe, Nyerere na Freeman, kwa ajili tuu ya kumbukumbu maana..., kumbe hadi kupeana makochi!.
Yaani mnataka kusema kama sio Mzee Mbowe, Familia ya Nyerere wangekaa chini?!.
PView attachment 1786471View attachment 1786487View attachment 1786489
..Mzee Aikaeli Mbowe ndiye aliyepeleka posa ya Makongoro Nyerere wakati anachumbia Machame.
..Pia Mzee Aikaeli aliwahi kugombea ubunge kupitia Tanu akashindwa na Bw.Solomon Nkya Eliufoo.
..Zaidi, pale mtaa wa Samora lilipojengwa jengo la extelcoms kulikuwa na hoteli ya Mzee Aikaeli ambayo ilitaifishwa.
NB:
..Kila mahali ambapo Tanu ilibisha hodi kuna wenyeji ambao walifanya kazi ya kufungua milango. Kwa upande wa Uchagani ilikuwa watu kama Solomon Eliufoo na Aikaeli Mbowe. Kwa maeneo ya Usukumani kulikuwa na Paul Bomani "kishamapanda " ambaye alifanya kazi kubwa Tanu ikakubaliwa na Watemi wa Kisukuma.
Ni zawadi wakati wa dhiki, akupaye wa kwanza kumbukumbu zake hubaki milele uzuri ni kwamba aliyesimulia si mtoaji bali mpokeajiDuh hizi story za Familia ya Nyerere na familia ya Mbowe hizi...!. Hebu tutafutie profile picha ya Mzee Mbowe, Nyerere na Freeman, kwa ajili tuu ya kumbukumbu maana..., kumbe hadi kupeana makochi!.
Yaani mnataka kusema kama sio Mzee Mbowe, Familia ya Nyerere wangekaa chini?!.
PView attachment 1786471View attachment 1786487View attachment 1786489
mzee wetu mohamed said hana interest ya kuzungumzia wazee wa imani tofauti na ile yetu ambao walisaidiana na nyerere katika harakati za kutafuta uhuru.Mohamed Said bingwa wa historia ya maswala ya uhuru, utakapokua na muda, tafadhali tuna kuhitaji huku uje kutupa madini kuhusu hili swala.
Zimeanza kuwa kama stori za Mohamed Said na wazee wake.Duh hizi story za Familia ya Nyerere na familia ya Mbowe hizi...!. Hebu tutafutie profile picha ya Mzee Mbowe, Nyerere na Freeman, kwa ajili tuu ya kumbukumbu maana..., kumbe hadi kupeana makochi!.
Yaani mnataka kusema kama sio Mzee Mbowe, Familia ya Nyerere wangekaa chini?!.
PView attachment 1786471View attachment 1786487View attachment 1786489
Hawezi kwa vile ni mkristoMohamed Said bingwa wa historia ya maswala ya uhuru, utakapokua na muda, tafadhali tuna kuhitaji huku uje kutupa madini kuhusu hili swala.
Duh hizi story za Familia ya Nyerere na familia ya Mbowe hizi...!. Hebu tutafutie profile picha ya Mzee Mbowe, Nyerere na Freeman, kwa ajili tuu ya kumbukumbu maana..., kumbe hadi kupeana makochi!.
Yaani mnataka kusema kama sio Mzee Mbowe, Familia ya Nyerere wangekaa chini?!.
PView attachment 1786471View attachment 1786487View attachment 1786489
Naona kama mbowe anafanana na nyerere au macho yangu🤔🤔🤔Duh hizi story za Familia ya Nyerere na familia ya Mbowe hizi...!. Hebu tutafutie profile picha ya Mzee Mbowe, Nyerere na Freeman, kwa ajili tuu ya kumbukumbu maana..., kumbe hadi kupeana makochi!.
Yaani mnataka kusema kama sio Mzee Mbowe, Familia ya Nyerere wangekaa chini?!.
PView attachment 1786471View attachment 1786487View attachment 1786489
Tatizo diniMohamed Said atatupatia majibu...