Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,602
- Thread starter
- #21
Yaani sijiskii hata. Yaani ni kama nimeuhama ubinadamuKwa hiyo mkuu unarudi kuzichakata tu sasa maana hakuna namna
Yaani sijiskii hata. Yaani ni kama nimeuhama ubinadamuKwa hiyo mkuu unarudi kuzichakata tu sasa maana hakuna namna
Jazia nyama mkuu au ikiwezekana fungua uziKatika chakra mojayawapo ni hiyo ya kwenye via vya uzazi ndo maana hapa duniani hauwezi ukakutana na mzinzi ambaye ni genius
Na ukalala?Mkuu pole sana mimi sijamaliza hata dak20 hivi navyokwambia . Na siko sawa juu sijatosheka vizuri nimepewa nikaambiwa nikalale kwanza
Kwashida sana ukidate na mwanamke anayekuzidi umri anakubalancea kama huyu ananipaga kidogokidogo kama mwanae vileNa ukalala?
Acha kupotosha watuAkili ishasahau kitu kinachoitwa kufanya mapenzi
Wiki mbili baada ya kufanya mapenzi, nilianza rasmi kunyetuka karibu mara 2 kwa siku, baadae mara moja, kisha mara tatu kwa wiki, ikafikia kipindi hata sheria mkononi sizihitaji kabisa.
Dr manyau nyau acha uongo ....Albert eisten alikuwa kicheche .....Katika chakra mojayawapo ni hiyo ya kwenye via vya uzazi ndo maana hapa duniani hauwezi ukakutana na mzinzi ambaye ni genius