jogoo wa maajabu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 782
- 1,627
kwani amelazimishwa kuwachaguaa wewe vp...mama hafaiLakini mkuu kumbuka wengi wa mawaziri waliopo na wabunge waliopo aliwakuta?

Lini ccm ilibadilika? Miaka yoote iko hivyo,upigaji kwenda mbeleLakini mkuu kumbuka wengi wa mawaziri waliopo na wabunge waliopo aliwakuta?
Tulia WW huna maadili yoyote unayosimamia, bali huyu bi tozo kakutoa kwenye ulaji ndio unajiliza. Kama miradi yako ilikuwa haijakamilika baada ya dhalimu kuelekea motoni, uzia wanaopata migao Sasa ili waendeleze ulipoishia.Bado unateseka na mimba ya Magufuli tu?
Mimi sizuiwi kusema na mtu yeyote yule!
Ninachoongelea sio nguo ya ndani ya mama yenu bali naongelea ufisadi unaohusu pesa za Umma.
Wewe kaa na msongo wako wa Magufuli na uendelee kuteseka nao.
Wenhine tutaendelea kupiga kila mshono usio halali.
Sasa kama lenyewe ni li zero brain watu wafanyeje sasa! Lianguke tu!Kuna mambo yanaendelea nchini unajiiza hizi Habari kwanini zinatoka sasa bila maelezo?
Mawaziri viburi na majibu ya rejareja kwenye mambo mazito yanayohitaji utulivu wa akili.
Mambo haya yafuatayo yanamfanya Rais aonekane anatoa maelekezo kwa manufaa ya wachache wasio na uchungu na taifa hili hata kidogo.
Kitu ambacho ni uhakika pengine Rais lazima asisitiziwe na wasaidizi wake ni kwamba Tanzania ni nchi masikini na watu wake ni masikini mno.
Karibu asilimia 50% ya watanzania wote wanaishi chini ya USD 2 kwa siku.... hawa watu lazima maamuzi yeyote yawe yanawazingatia sana.
Habari zifuatazo zitamchafua sana Mh Rais kuelekea uchaguzi mkuu wa 2024/25.
1. Nyongeza ya karibu 40% ya Mishahara ya wabunge? Kulikuwa na haja gani kufanya jambo hilo sasa?
2. Kupanda bei za nishati ya mafuta na kuadimika bila maelezo yanayojitosheleza, awali ilisemekana ni kukosekana kwa $ sasa imegeuka imekuwa kupanda bei kwenye soko la dunia... bado shutuma hizi zinaelekezwa kwa teuzi za Mh Rais kwamba mume wa Spika anaesimamia EWURA wanakula njama na wafanyabiashara. (Rejea hotuba ya Mbunge Tabasam bungeni iliyozimwa na Spika?)
3. Kukatika umeme bila maelezo wala taarifa za kutosha nchi nzima.( Watu wanajiuliza Magufuli aliwezaje? Kalemani alifanyq kitu gani? Majibu hayatolewi.
4. Kuna mgao wa maji unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo maeneo ya Dar, Arusha na Tabora....
5. Kuondoa Bima za Afya kwa watoto kwa kisingizio cha gharama, huku NHIF wakilipana posho na Mkopo binafsi na matumiz mabaya ya kias cha zaid ya 129B bila maelezo yakueleweka.(Report ya CAG)
6. Kuongezeka matamasha na warsha nchi nzima bila kutatua matatizo halis ya wananchi wa kipato cha chini.
7. Miradi ya kilimo isiyomnufaisha mkulima wa kijijini moja kwa moja.., kama BBT, Kumbuka kilimo ni maisha ya watu huko kijijini na sio agenda.
8. Kuongezeka maradufu kwa matumizi ya serikali bila kuongeza tija...hii ni pamoja na upanuzi wa Baraza la mawaziri pamoja na uwepo wa tume nyingi zinazozunguka bila matokeo ya utendaji wa tume hizo kuonekana kuleta mabadiliko kwa umma.
9. Kudumaa kwa demokrasia, kulinganisha na Mwaka mmoja wa utawala wako..., hisia zinatawala ukwel kuliko uhalisia, mfano... Katiba mpya nk.
10. Kaa la moto la DP world, na shutuma za Rushwa ambazo hazijajibiwa kwa ufasaha hadi leo.
11. Kuna hili la Cartels (madalali biashara) kuwepo kila kona ya mambo yanayohusu maslahi ya nchi moja kwamoja, ikiwemo mafuta, Gas nk.
Mtiririko wa haya mambo ni mrefu sana, lakini watendaji wako walikuwa na nafasi kutafuta ukwel na kuuweka hadharani au hata kwenye baadhi ya mikutano ya Chama kwa ajili ya ufafanuzi.
Namsikitikia Mh. Rais kwamba pengine wasaidizi wake aliowaamini hawamsaidii ipasavyo??
Kwa hiyo na Ccm aliikuta? Tuombe Mungu tu;tumalize siku zetu salamaLakini mkuu kumbuka wengi wa mawaziri waliopo na wabunge waliopo aliwakuta?
Ninakuelewa unachoandika hapa, lakini hicho kifungu unakinakiri kwa makosa.Nakumbuka ibara hiyo ya 15 sijui kama nimeinukuu vizuri ndio iliyoanza kuleta uzembe makazini Serikalini na kwenye mashirika ya Umma !
Unyapara ni lazima uwepo makazini ndio kazi zitafanyika kwa ufanisi !!
Ni kweli Mkuu Kalamu nia ya ile ibara ilikuwa ni nzuri sana na ilikuwa ya kiungwana sana lakini mapokeo yake ndio yalileta kizaazaa makazini !Ninakuelewa unachoandika hapa, lakini hicho kifungu unakinakiri kwa makosa.
Maana ya kifungu hicho haikuwa kutetea uzembe kazini, lakini kama ilivyo kwa mambo mengi ambayo watu hawakuelewa malengo yake yalikuwa yapi, hapa nawe unashiriki (najua siyo kwa maksudi yako) katika upotoshaji huo.
Wafanya kazi kunyanyaswa kazini haina maana ndiyo ufanisi wa utendaji kazi utaongezeka.
Baada ya kuyaeleza haya mkuu 'mzeewaSHY', usinishangae nami nikisema kuwa kwa hali tuliyo nayo hapa nchini katika maeneo mengi, tunachohitaji ni DIKTETA mmoja mwenye uzalendo, na mtu aliye na akili tulivu kuliko Magufuli.
Tabia za waTanzania zinaonyesha dhahiri kuwa aina ya mtu wa namna hiyo anahitajika sana iwapo Tanzania itaweza kupiga hatua mbele kimaendeleo.
WaTanzania wengi ni watu wanaopenda kusukumwa sukumwa sana ndipo waweze kustuka kufanya mambo.
Ndiyo maana CCM imetumia udhaifu huo wa wananchi wetu kujimilikisha kila kitu, ikiwa ni pamoja na watu hao hao (raia wasiostuka kwa lelemama).
.... hapa!8. Kuongezeka maradufu kwa matumizi ya serikali bila kuongeza tija...hii ni pamoja na upanuzi wa Baraza la mawaziri pamoja na uwepo wa tume nyingi zinazozunguka bila matokeo ya utendaji wa tume hizo kuonekana kuleta mabadiliko kwa umma.
Huyu rais nilipomuona na yule jambazi Rostam wakifunga mkataba basi nilikata Tamara.Kuna mambo yanaendelea nchini unajiiza hizi Habari kwanini zinatoka sasa bila maelezo?
Mawaziri viburi na majibu ya rejareja kwenye mambo mazito yanayohitaji utulivu wa akili.
Mambo haya yafuatayo yanamfanya Rais aonekane anatoa maelekezo kwa manufaa ya wachache wasio na uchungu na taifa hili hata kidogo.
Kitu ambacho ni uhakika pengine Rais lazima asisitiziwe na wasaidizi wake ni kwamba Tanzania ni nchi masikini na watu wake ni masikini mno.
Karibu asilimia 50% ya watanzania wote wanaishi chini ya USD 2 kwa siku.... hawa watu lazima maamuzi yeyote yawe yanawazingatia sana.
Habari zifuatazo zitamchafua sana Mh Rais kuelekea uchaguzi mkuu wa 2024/25.
1. Nyongeza ya karibu 40% ya Mishahara ya wabunge? Kulikuwa na haja gani kufanya jambo hilo sasa?
2. Kupanda bei za nishati ya mafuta na kuadimika bila maelezo yanayojitosheleza, awali ilisemekana ni kukosekana kwa $ sasa imegeuka imekuwa kupanda bei kwenye soko la dunia... bado shutuma hizi zinaelekezwa kwa teuzi za Mh Rais kwamba mume wa Spika anaesimamia EWURA wanakula njama na wafanyabiashara. (Rejea hotuba ya Mbunge Tabasam bungeni iliyozimwa na Spika?)
3. Kukatika umeme bila maelezo wala taarifa za kutosha nchi nzima.( Watu wanajiuliza Magufuli aliwezaje? Kalemani alifanyq kitu gani? Majibu hayatolewi.
4. Kuna mgao wa maji unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo maeneo ya Dar, Arusha na Tabora....
5. Kuondoa Bima za Afya kwa watoto kwa kisingizio cha gharama, huku NHIF wakilipana posho na Mkopo binafsi na matumiz mabaya ya kias cha zaid ya 129B bila maelezo yakueleweka.(Report ya CAG)
6. Kuongezeka matamasha na warsha nchi nzima bila kutatua matatizo halis ya wananchi wa kipato cha chini.
7. Miradi ya kilimo isiyomnufaisha mkulima wa kijijini moja kwa moja.., kama BBT, Kumbuka kilimo ni maisha ya watu huko kijijini na sio agenda.
8. Kuongezeka maradufu kwa matumizi ya serikali bila kuongeza tija...hii ni pamoja na upanuzi wa Baraza la mawaziri pamoja na uwepo wa tume nyingi zinazozunguka bila matokeo ya utendaji wa tume hizo kuonekana kuleta mabadiliko kwa umma.
9. Kudumaa kwa demokrasia, kulinganisha na Mwaka mmoja wa utawala wako..., hisia zinatawala ukwel kuliko uhalisia, mfano... Katiba mpya nk.
10. Kaa la moto la DP world, na shutuma za Rushwa ambazo hazijajibiwa kwa ufasaha hadi leo.
11. Kuna hili la Cartels (madalali biashara) kuwepo kila kona ya mambo yanayohusu maslahi ya nchi moja kwamoja, ikiwemo mafuta, Gas nk.
Mtiririko wa haya mambo ni mrefu sana, lakini watendaji wako walikuwa na nafasi kutafuta ukwel na kuuweka hadharani au hata kwenye baadhi ya mikutano ya Chama kwa ajili ya ufafanuzi.
Namsikitikia Mh. Rais kwamba pengine wasaidizi wake aliowaamini hawamsaidii ipasavyo??
Rais hana uwezo wa kuongoza nchi.Kuna mambo yanaendelea nchini unajiiza hizi Habari kwanini zinatoka sasa bila maelezo?

Mkuu unamtafuta Nini Lucas mwashambwa ?!Rais hana uwezo wa kuongoza nchi.
Wewe muache huyo mlevi aendelee kuropoka hapa kama mgonjwa wa malariaMkuu unamtafuta Nini Lucas mwashambwa ?!
You nailed itKuna mambo yanaendelea nchini unajiiza hizi Habari kwanini zinatoka sasa bila maelezo?
Mawaziri viburi na majibu ya rejareja kwenye mambo mazito yanayohitaji utulivu wa akili.
Mambo haya yafuatayo yanamfanya Rais aonekane anatoa maelekezo kwa manufaa ya wachache wasio na uchungu na taifa hili hata kidogo.
Kitu ambacho ni uhakika pengine Rais lazima asisitiziwe na wasaidizi wake ni kwamba Tanzania ni nchi masikini na watu wake ni masikini mno.
Karibu asilimia 50% ya watanzania wote wanaishi chini ya USD 2 kwa siku.... hawa watu lazima maamuzi yeyote yawe yanawazingatia sana.
Habari zifuatazo zitamchafua sana Mh Rais kuelekea uchaguzi mkuu wa 2024/25.
1. Nyongeza ya karibu 40% ya Mishahara ya wabunge? Kulikuwa na haja gani kufanya jambo hilo sasa?
2. Kupanda bei za nishati ya mafuta na kuadimika bila maelezo yanayojitosheleza, awali ilisemekana ni kukosekana kwa $ sasa imegeuka imekuwa kupanda bei kwenye soko la dunia... bado shutuma hizi zinaelekezwa kwa teuzi za Mh Rais kwamba mume wa Spika anaesimamia EWURA wanakula njama na wafanyabiashara. (Rejea hotuba ya Mbunge Tabasam bungeni iliyozimwa na Spika?)
3. Kukatika umeme bila maelezo wala taarifa za kutosha nchi nzima.( Watu wanajiuliza Magufuli aliwezaje? Kalemani alifanyq kitu gani? Majibu hayatolewi.
4. Kuna mgao wa maji unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo maeneo ya Dar, Arusha na Tabora....
5. Kuondoa Bima za Afya kwa watoto kwa kisingizio cha gharama, huku NHIF wakilipana posho na Mkopo binafsi na matumiz mabaya ya kias cha zaid ya 129B bila maelezo yakueleweka.(Report ya CAG)
6. Kuongezeka matamasha na warsha nchi nzima bila kutatua matatizo halis ya wananchi wa kipato cha chini.
7. Miradi ya kilimo isiyomnufaisha mkulima wa kijijini moja kwa moja.., kama BBT, Kumbuka kilimo ni maisha ya watu huko kijijini na sio agenda.
8. Kuongezeka maradufu kwa matumizi ya serikali bila kuongeza tija...hii ni pamoja na upanuzi wa Baraza la mawaziri pamoja na uwepo wa tume nyingi zinazozunguka bila matokeo ya utendaji wa tume hizo kuonekana kuleta mabadiliko kwa umma.
9. Kudumaa kwa demokrasia, kulinganisha na Mwaka mmoja wa utawala wako..., hisia zinatawala ukwel kuliko uhalisia, mfano... Katiba mpya nk.
10. Kaa la moto la DP world, na shutuma za Rushwa ambazo hazijajibiwa kwa ufasaha hadi leo.
11. Kuna hili la Cartels (madalali biashara) kuwepo kila kona ya mambo yanayohusu maslahi ya nchi moja kwamoja, ikiwemo mafuta, Gas nk.
Mtiririko wa haya mambo ni mrefu sana, lakini watendaji wako walikuwa na nafasi kutafuta ukwel na kuuweka hadharani au hata kwenye baadhi ya mikutano ya Chama kwa ajili ya ufafanuzi.
Namsikitikia Mh. Rais kwamba pengine wasaidizi wake aliowaamini hawamsaidii ipasavyo??
Alijua umeenda kuvuta bangi kama kawaida yako, ndio akauweka ukweli mungu wako hapa.Wewe muache huyo mlevi aendelee kuropoka hapa kama mgonjwa wa malaria
Hili nalo watalitizamaKuna mambo yanaendelea nchini unajiiza hizi Habari kwanini zinatoka sasa bila maelezo?