Ni mikoa ipi hapa Tanzania ambayo ukienda kusaka fursa ukiwa mgeni utapata changamoto kunufaika kiuchumi ?

Ni mikoa ipi hapa Tanzania ambayo ukienda kusaka fursa ukiwa mgeni utapata changamoto kunufaika kiuchumi ?

Ila kilimanjaro wakazi wake wengi wanaotafuta vipato huwa wapo mikoa mingine kurudi hadi December,

wengi wanaobaki ni watu wa kukaa majumbani, wazee, wanafunzi, wagonjwa, wastaafu, n.k. labda kwa mbali watumishi wa umma
Walevi hujawataja
 
Back
Top Bottom