danieljeneral93
Member
- Mar 22, 2021
- 18
- 20
Vp kwa upande wa MA hivi ajira zake huwa zinatangazwa? I mean inakuwa kama one of qualification?Chochote kinaweza kuwa na mchongo lakini uwe na CONNECTION
Okay, vipi kama hujaajiriwa bado?Ukiwa na masters inakupa hatua mbele, hususan kwenye baadhi ya taaluma.
Inakuaje uwe na PHd then huna dira?.Sitaki kuwa negative Sana but exam performance na mafanikio ya mtaa ni vitu viwili togauti.
One can make wonders on attempting and answering selected number if questions on a paper,
but iam telling you it's quite different ukija kwa mtaa na expectations zako!!, Huku Ina takaiwa juhudi na kujituma Sana.
hauoni school droppers Wanavyo fanya maajabu mtaani, Huku wale degree,PhD and master's holders wanavyo Sanya kupata hata job za laki 2 (ushahidi jf).
Mtaa una hitaji use smart, fast learner, mbunifu na hata mwana mageuzi ili uzipate na kuziona Fursa.
👉 I mean no malice to nobody
Gily Gru, Analyse, Glenn, Ushimen, Ms eyes, mshamba_hachekwi, KJ07, National Anthem, Mzee wa kupambania
NakaziaSitaki kuwa negative Sana but exam performance na mafanikio ya mtaa ni vitu viwili togauti.
One can make wonders on attempting and answering selected number if questions on a paper,
but iam telling you it's quite different ukija kwa mtaa na expectations zako!!, Huku Ina takaiwa juhudi na kujituma Sana.
hauoni school droppers Wanavyo fanya maajabu mtaani, Huku wale degree,PhD and master's holders wanavyo Sanya kupata hata job za laki 2 (ushahidi jf).
Mtaa una hitaji use smart, fast learner, mbunifu na hata mwana mageuzi ili uzipate na kuziona Fursa.
👉 I mean no malice to nobody
Gily Gru, Analyse, Glenn, Ushimen, Ms eyes, mshamba_hachekwi, KJ07, National Anthem, Mzee wa kupambania
Kaka ni ufahamu na Akili ya mtu, mi sijaenda hata shule ila nakomaa na mtaa💪Inakuaje uwe na PHd then huna dira?.
Mastaz nafaham zipo nyingi
Tumuite Binti Maua🤒😂Nakazia
Uzi ufungwe
Phd ana exposure kubwa sana.. hawez kusafa kama tunavyotaka. Mastaz nafaham wanasaga meno. Wengine wanalipwa laki 6 private sector. Phd kasoma na wakurugenz wengi tu. Unless asiwe social na watuKaka ni ufahamu na Akili ya mtu, mi sijaenda hata shule ila nakomaa na mtaa💪
Elimu ni ufunguo wa maisha. Hata ile ya msingi inawafungulia maisha, hakuna elimu isio na michongo.Habrini ndgu zangu wana JF mwenzenu naomba kuuliza hivi ni kipi chenye michongo mitaani kati ya master au undergraduate degree? Tujaribu kushare idea kama vijana ili tusijekupoteza muda wa kusoma Masters kumbe michongo ipo kwenye kutafta japo degree nyingne. Msaada tafadhali na hii nazungumzia hasa kwa wale ambao bado tuko mtaani labda tulikosea kufanya machaguo sahihi ya fani au lah so kipi kifanyike tusome degree nyingne au tuiongezee thamani degree tuliyonayo?? Experience ndgu zangu tupeni ramani
Wee sio hapa, ataharibu uzi wa watu😂Tumuite Binti Maua🤒😂
Mastaz za public health na behavioural science zinabamba sana Kwa sasa na wimbi la mashirika hili wakuu mziangalie sana. Yangu ni hayoHabrini ndgu zangu wana JF mwenzenu naomba kuuliza hivi ni kipi chenye michongo mitaani kati ya master au undergraduate degree? Tujaribu kushare idea kama vijana ili tusijekupoteza muda wa kusoma Masters kumbe michongo ipo kwenye kutafta japo degree nyingne. Msaada tafadhali na hii nazungumzia hasa kwa wale ambao bado tuko mtaani labda tulikosea kufanya machaguo sahihi ya fani au lah so kipi kifanyike tusome degree nyingne au tuiongezee thamani degree tuliyonayo?? Experience ndgu zangu tupeni ramani
NAKAZIAMtaa una hitaji use smart, fast learner, mbunifu na hata mwana mageuzi ili uzipate na kuziona Fursa.
Ukikusanya watanzania 1000 randomly ambao wanaingiza kipato cha 50,000/= kwa siku, 90% ni watu wenye kuanzia degree moja kwenda mbele.hauoni school droppers Wanavyo fanya maajabu mtaani, Huku wale degree,PhD and master's holders wanavyo Sanya kupata hata job za laki 2 (ushahidi jf).
Unamaanisha nn bro cjakupata kama kuna kitu unataka kusema ila umeishia njian au sioUkikusanya watanzania 1000 randomly ambao wanaingiza kipato cha 50,000/= kwa siku, 90% ni watu wenye kuanzia degree moja kwenda mbele.
Street education ni mara elfu 10 ya elimu ya darasaniKaka ni ufahamu na Akili ya mtu, mi sijaenda hata shule ila nakomaa na mtaa[emoji123]
Kibongo bongo Kusoma sana bila network na michongo ni kupoteza mda na helaHabrini ndgu zangu wana JF mwenzenu naomba kuuliza hivi ni kipi chenye michongo mitaani kati ya master au undergraduate degree? Tujaribu kushare Kusoma sana bila conidea kama vijana ili tusijekupoteza muda wa kusoma Masters kumbe michongo ipo kwenye kutafta japo degree nyingne. Msaada tafadhali na hii nazungumzia hasa kwa wale ambao bado tuko mtaani labda tulikosea kufanya machaguo sahihi ya fani au lah so kipi kifanyike tusome degree nyingne au tuiongezee thamani degree tuliyonayo?? Experience ndgu zangu tupeni ramani