kwetu mtama
Senior Member
- Feb 5, 2015
- 160
- 25
Habari wana jamvi.
Ni msichana mrembo niliyemuona kwa mara ya kwanza kabisa akitokea Sekei kuja kufanya kazi Mrombo.Nilishawishika kutafuta namba yake ya simu kwa kadri niwezavyo ili nipate kumwambia nia yangu ya dhati ya kumpenda, nilifanikiwa na kuongea nae.
Hakunimbia kama amekubali licha ya kutumia kila aina maneno matamu.Nilijipa moyo kwakuwa niliamn wapo ambao hawapendi kusema nimekubali.
Nilichat nae nilimpigia simu na kuna wakati mpaka nyakati za usiku mnene. Nashindwa kuelewa mara nyingi simu upokea anapojickia na ata message nikimuuliza majibu yake rahisi sana.
Nilijaribu kuwa kimya kama wiki mbili niaangalie nn kitatokea,alikuwa kimya bila msg ila rafiki yake alikuja kuniambia kwann uko kimya kwa fulani.
Kumbe walikutana na kulalamika kwa ukimya wangu,kinachonifanya nirudie tena kuwa kimya karudia yaleyale namzigo sijamega.Means hanipendi au ndivyo alivyo cause leo siku ya tatu ata ashituki na uwa ananiona cause tuko karibu na ofisini kwake.