Ni mara ya pili sasa nakaa kimya bila mafanikio

Ni mara ya pili sasa nakaa kimya bila mafanikio

Ila we si umeoa...? Tulia naye uliyemuoa magonjwa mengi sana
 
Leo mtumie msg sasa hivi kwamba mchana unataka mtoke wote kwenda kupata chakula hapo kwenye mgahawa wa jirani na ofisini kwenu
Then weka nae miadi ya kuonana nae week end hii uone kama atachomoa
HALAFU KITU KINGINE HEBU JITAHIDI BASI KUWA MWANAUME INAONYESHA UNALEMBA SANA
 
Back
Top Bottom