Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,081
- 10,455
Mdogo wwngu wanawake hawaeleweki we endelea kumtongoza taratibu ila usiache kuendelea na shughuli zake kama ni wako utampata tu so long as hakupi majibu ya karaha endelea kumtongoza kunasiku utaitiwa kitumbua.