Ni maandamano au ni mapinduzi?

Ni maandamano au ni mapinduzi?

KICHAKA KIMEPIGWA KIBERITI NAONA KILA DUDU LINAJISALIMISHA.
 
Sijamtisha mtu bali nimeeleza uhalisia. Fanyeni hayo mapinduzi dhen muone cha mtema kuni
Uoga tu umewajaa.....Katka historia ya mageuzi ya kiutawala umma haujawai kufanya mapinduzi,ni jeshi!!!!niambie ni nchi gani mapinduzi yalifanyika bila kuhusisha jesh au waasi ambao ni wanajesh
i?.David Ricardo anasema serikali ni mkataba kati ya wamanchi na viongozi,kwa mujibu wa mwanafalsafa huyu wananchi ndio waajiri hivy wanaweza kuwaondoa viongozi pale wanapovunja katiba au sheria zinazowaongoza.Tuache hofu na vitisho kwa waajiri wetu bali tubadili mfumo wetu wa kishamba kuongoza watu ambao ndio waajiri wetu.
 
Inategemea ilo neno Mapinduzi unaliangaliaje, Mapinduzi ilitokana na Pindua.

Pundua ni kubadili kutoka hali moja hadi nyingine.

Kwa maana hiyo kutoka kwenye mfumo wa chama kimoja kwenda vyama vingi ni Mapinduzi.

Kutoka kwenye ujinga na kujua kusoma ni Mapinduzi.

Kutoka kwenye kutumia katiba kandamizi kwenda katiba ya wananchi pia ni Mapinduzi.
 
Bora ulivyojaribu kupoteza muda kuelimisha.Mi nilihofia kupoteza muda wangu maana damu ya bendera kijani haina tofauti na heroine.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Nimefuatilia baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Instagram na Telegram kuhusu haya makundi ya watu wanaotamani kuuangusha utawala wa Rais Magufuli. Kwa kiswahili wanasema kuwa hayo ni maandamano ya Amani. Ila kwa Kiingereza wanatamka Tanzania Revolution.

Kwa uelewa wangu, Maandamano tafsiri yake kwa Kiingereza ni Demonstration au Protests. Na Revolution maana yake kwa kiswahili ni Mapinduzi. Kwa uelewa wangu finyu, busara huweza kutumika katika kudeal na maandamano ikiwa ni pamoja na matumizi kiduchu ya nguvu. Ila Mapinduzi hapo lazima ujidhatiti kukabiliana nayo. Hapo silaha za moto na nzito hutumika na ni haki ya vyombo vya dola kutumia nguvu zote ili kulinda himaya dhidi ya maadui wa ndani na nje.

Kingine, Maandamano hudhibitiwa na Jeshi la Polisi. Ila Mapinduzi hapo wanaume wa kazi, JWTZ huingia mzigoni. Hapo silaha zinazotumika ni za moto tu. Hawajafundishwa kutumia TEAR GAS hao.

Kwa hiyo, ni vema wale wanaotamani kuona utawala wa Rais Magufuli unaangushwa wakatafakari upya ni nini hasa wanataka kufanya siku hiyo na nini madhara yake. Ni vema wakaweka wazi je wanataka kuandamana ama wanataka kufanya mapinduzi? Maandamano YES ila MAPINDUZI ni BIG NO. Watu wasije kufumuliwa vichwa wakifanya mapinduzi then wakaanza kulalamika kuwa jeshi la polisi na JWTZ wametumia nguvu ya ziada.

Ndiyo maana watanzania wanahimizwa kutwa kucha, mnayo ambiwa na Mange mchanganye na akili zenu pia.
 
Chama cha mapinduzi.
Hapo neno mapinduzi katika context hiyo lilitumika kumaanisha nini?
Albamu ya Process J ya Mapinduzi halisi, katika muktadha huo neno mapinduzi lilimasnisha nini?
When we talk of Green revolution huwa tunamaanisha nini?.
Punguza woga, uongo, ujuaji na kisebusebu ndg. Jioni njema.
 
Hapa mbona mnakuza mambo saaaaana.....Malaya mmoja hawezi kutishia amani kwa kubofya simu...ila ajue na ajue sana america sio mbali...in suala la muda tu...tutamtia mkononi lazima
 
Lizaboni
Hahhaha unataka wajichanganye humu muwashugulikie
 
Kuandamana nendeni nyie mi nitakuwa kwenye tv nikiangalia kitakachowakuta
 
Hahahahahahaaaaaaa. Hapo mmeeleweka. Siku hiyo wanaume wa Kazi watakuwa na zana zote halali. subirini mkufilie mbali wakati huyo anayewahamasisha ananyonya koni huko majuu

Yeap, na tunataka wafanye kazi kweli kweli na sio kukaa tu na kuvimbisha vitambi matumbo yao utadhani....

Protest/Demostration ambayo ilibadilika na kuzaa Revolution huko Libya, Misri na Tunisia mwaka 2011 zilidhibitiwa na hawahawa unaowaita "wanaume wa shoka" lakini mwisho wake hata wao waliona kuwa ni "ushenzi na upumbavu" mtupu, mmoja mmoja akawa anavua gwanda na kutupa SMG na AK47 zao na kuungana na NGUVU YA UMMA....

Leo hao kina Muamar Ghadafi (Libya), Hosni Mubarak, baadaye Hussein Morsi (Misri) na yule wa yule wa Tunisia wanaliwa funza tu ardhini kwa sababu hawakuelewa kabisa maana ya maneno haya ktk biblia kwenye kitabu cha Muhubiri

"Nikajifanyizia kazi zilizo kubwa, nikajijengea nyumba, nikajipandia mashamba ya mizabibu, nikajifanyizia bustani na viunga, na kuipanda humo miti yenye matunda ya kila namna, nikajifanyizia birika za maji ya kunyweshea miti iliyopandwa miti michanga. Nami nikanunua watumwa na wajakazi, nikawa na wazalia nyumbani mwangu, tena nikawa na mali nyingi za Ng'ombe na kondoo kupita wote walionitangulia katika Yerusalemu. Tena nikajifanyizia fedha na dhahabu, na tunu za kifalme na za kutoka katika majimbo. Nikajipatia waimbaji, waume kwa wake ,nao wale ambao wanadamu wanawatunuka, masuria wengi sana. Basi nikawa mkuu, nikaongezeka kupita wote walionitangulia katika Yerusalemu, pia hekima yangu nikakaa nayo. Wala sikuyanyima macho yangu chochote yalichokitamani, wala sikuuzuia moyo wangu katika furaha yoyote............. Kisha nikaziangalia kazi zote zilizofanywa kwa mikono yangu, na taabu yote niliyotaabika kuzitenda, na tazama YOTE NI UBATILI NA KUJILISHA UPEPO, WALA FAIDA HAKUNA CHINI YA JUA" Muhibiri 2:4 - 11

Sasa twendeni na tutaona mshindi atakuwa ni nani
 
Hahahahahaaaaaaa. Sasa mbona wanayaita Tanzania Revolution?
Ni mapinduzi ya kifikra. Fikra za zamani zile za kidumuùuuu zipinduliwe ziwekwe fikra mpya za kushauriana na kusikilizana. Kwani hujawahi kusikia mapinduzi ya viwanda?
 
Yeap, na tunataka wafanye kazi kweli kweli na sio kukaa tu na kuvimbisha vitambi matumbo yao utadhani....

Protest/Demostration ambayo ilibadilika na kuzaa Revolution huko Libya, Misri na Tunisia mwaka 2011 zilidhibitiwa na hawahawa unaowaita "wanaume wa shoka" lakini mwisho wake hata wao waliona kuwa ni "ushenzi na upumbavu" mtupu, mmoja mmoja akawa anavua gwanda na kutupa SMG na AK47 zao na kuungana na NGUVU YA UMMA....

Leo hao kina Muamar Ghadafi (Libya), Hosni Mubarak, baadaye Hussein Morsi (Misri) na yule wa yule wa Tunisia wanaliwa funza tu ardhini kwa sababu hawakuelewa kabisa maana ya maneno haya ktk biblia kwenye kitabu cha Muhubiri

"Nikajifanyizia kazi zilizo kubwa, nikajijengea nyumba, nikajipandia mashamba ya mizabibu, nikajifanyizia bustani na viunga, na kuipanda humo miti yenye matunda ya kila namna, nikajifanyizia birika za maji ya kunyweshea miti iliyopandwa miti michanga. Nami nikanunua watumwa na wajakazi, nikawa na wazalia nyumbani mwangu, tena nikawa na mali nyingi za Ng'ombe na kondoo kupita wote walionitangulia katika Yerusalemu. Tena nikajifanyizia fedha na dhahabu, na tunu za kifalme na za kutoka katika majimbo. Nikajipatia waimbaji, waume kwa wake ,nao wale ambao wanadamu wanawatunuka, masuria wengi sana. Basi nikawa mkuu, nikaongezeka kupita wote walionitangulia katika Yerusalemu, pia hekima yangu nikakaa nayo. Wala sikuyanyima macho yangu chochote yalichokitamani, wala sikuuzuia moyo wangu katika furaha yoyote............. Kisha nikaziangalia kazi zote zilizofanywa kwa mikono yangu, na taabu yote niliyotaabika kuzitenda, na tazama YOTE NI UBATILI NA KUJILISHA UPEPO, WALA FAIDA HAKUNA CHINI YA JUA" Muhibiri 2:4 - 11

Sasa twendeni na tutaona mshindi atakuwa ni nani

Hahaha mapinduzi yenu yamedoda maboss wenu Sasa pressure iko juu baada ya kugundulika
 
Coup d'etat ndio Revolution inategemea unaongea katika angle ipi. Ila ukisema tunataka kumuondoa Rais Magufuli na Dr Shein Madarakani basi ujue hiyo ni Revolution na ni Coup D'etat. Ila kama unataka kuifanya Tanzania iwe ya viwanda hiyo inaitww Tanzania Industrial Revolution
Hujawahi kusikia wananchi wakiandamana kwa amani wakimtaka Rais au waziri mkuu ajiuzulu?
 
Hapa mbona mnakuza mambo saaaaana.....Malaya mmoja hawezi kutishia amani kwa kubofya simu...ila ajue na ajue sana america sio mbali...in suala la muda tu...tutamtia mkononi lazima

Angalieni, Uturuki wameshindwa kumnyaka Bwana Gullen alieongoza mapinduzi akiwa huko huko America, sasa mkajifanya mnaconduct mission ya kijasusi kwenye ardhi ya America halafu wawathibitishie kuwa wao ni wababe wa dunia
 
Back
Top Bottom