Ka jinsi tangazo lao lilivyo ni wazi wanataka kuendesha mapinduzi. Na wategemee kukutana na wazee wa kazi itawagarimu, Maana mnakurupuka tuTunataka kuandamana ili kufanya mapinduzi. Unaonaje hiyo imekaa vizuri?
Poa mkuu,sio mbaya,wewe kaa kwenye sofa na remote yako angalia matokeo ya manamano,acha wanaume wakapambane,wewe msubiri Kiringo akuletee sharbatiKuandamana nendeni nyie mi nitakuwa kwenye tv nikiangalia kitakachowakuta
We huna dalili ya kuwa muandamanajiPoa mkuu,sio mbaya,wewe kaa kwenye sofa na remote yako angalia matokeo ya manamano,acha wanaume wakapambane,wewe msubiri Kiringo akuletee sharbati
USHAJIULIZA KWANN ANAYECHOCHEA YUPO MAREKANI?Acha kutisha watu mkuu na wala usijisahau kuwa na wewe ulizaliwa kama sisi tulivyozaliwa,ndio maana sote hatujui kwa nn tumezaliwa na kuwa watanzania ama wao wamezaliwa kuwa waarabu ama wazungu.tumejikuta tu tupo tena baada ya makuuzi ya kiakili na kifikra.ikitokea mtu ana madhara na ukuaji wafikra zako ama "anazikengeuza"akili zako,wewe kama lizaboni unafanya nn!!!?haya ya "kupeperushana"mihemko yanaanzia kwa "jua"kisha "mwezi" unaakisi.jua likigoma na mwezi nao utagoma na si dhani kama na nyota nazo "zitawaka"la hasha.mkuu kuna muda watawala wanatembea kwa miguu lakini wanaangalia juu kisha wakijikwaa hawasemi kama wanaangalia juu tyu bali hutafutwa kijiwe kilicho waangusha."kimya kingi kina mshindo.......lakini mtakuja sema mshindo una kimya kingi"
baada ya kufa je wa libya wamepata niniGadafi alitisha hivyo hivyo mwisho wa siku alifia kwenye mtaro
Mkuu naona unahanyahanya tu!Wadau, amani iwe kwenu.
Nimefuatilia baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Instagram na Telegram kuhusu haya makundi ya watu wanaotamani kuuangusha utawala wa Rais Magufuli. Kwa kiswahili wanasema kuwa hayo ni maandamano ya Amani. Ila kwa Kiingereza wanatamka Tanzania Revolution.
Kwa uelewa wangu, Maandamano tafsiri yake kwa Kiingereza ni Demonstration au Protests. Na Revolution maana yake kwa kiswahili ni Mapinduzi. Kwa uelewa wangu finyu, busara huweza kutumika katika kudeal na maandamano ikiwa ni pamoja na matumizi kiduchu ya nguvu. Ila Mapinduzi hapo lazima ujidhatiti kukabiliana nayo. Hapo silaha za moto na nzito hutumika na ni haki ya vyombo vya dola kutumia nguvu zote ili kulinda himaya dhidi ya maadui wa ndani na nje.
Kingine, Maandamano hudhibitiwa na Jeshi la Polisi. Ila Mapinduzi hapo wanaume wa kazi, JWTZ huingia mzigoni. Hapo silaha zinazotumika ni za moto tu. Hawajafundishwa kutumia TEAR GAS hao.
Kwa hiyo, ni vema wale wanaotamani kuona utawala wa Rais Magufuli unaangushwa wakatafakari upya ni nini hasa wanataka kufanya siku hiyo na nini madhara yake. Ni vema wakaweka wazi je wanataka kuandamana ama wanataka kufanya mapinduzi? Maandamano YES ila MAPINDUZI ni BIG NO. Watu wasije kufumuliwa vichwa wakifanya mapinduzi then wakaanza kulalamika kuwa jeshi la polisi na JWTZ wametumia nguvu ya ziada.
AaahAcha kutisha watu mkuu na wala usijisahau kuwa na wewe ulizaliwa kama sisi tulivyozaliwa,ndio maana sote hatujui kwa nn tumezaliwa na kuwa watanzania ama wao wamezaliwa kuwa waarabu ama wazungu.tumejikuta tu tupo tena baada ya makuuzi ya kiakili na kifikra.ikitokea mtu ana madhara na ukuaji wafikra zako ama "anazikengeuza"akili zako,wewe kama lizaboni unafanya nn!!!?haya ya "kupeperushana"mihemko yanaanzia kwa "jua"kisha "mwezi" unaakisi.jua likigoma na mwezi nao utagoma na si dhani kama na nyota nazo "zitawaka"la hasha.mkuu kuna muda watawala wanatembea kwa miguu lakini wanaangalia juu kisha wakijikwaa hawasemi kama wanaangalia juu tyu bali hutafutwa kijiwe kilicho waangusha."kimya kingi kina mshindo.......lakini mtakuja sema mshindo una kimya kingi"
Safari moja ina anzisha nyingineWadau, amani iwe kwenu.
Nimefuatilia baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Instagram na Telegram kuhusu haya makundi ya watu wanaotamani kuuangusha utawala wa Rais Magufuli. Kwa kiswahili wanasema kuwa hayo ni maandamano ya Amani. Ila kwa Kiingereza wanatamka Tanzania Revolution.
Kwa uelewa wangu, Maandamano tafsiri yake kwa Kiingereza ni Demonstration au Protests. Na Revolution maana yake kwa kiswahili ni Mapinduzi. Kwa uelewa wangu finyu, busara huweza kutumika katika kudeal na maandamano ikiwa ni pamoja na matumizi kiduchu ya nguvu. Ila Mapinduzi hapo lazima ujidhatiti kukabiliana nayo. Hapo silaha za moto na nzito hutumika na ni haki ya vyombo vya dola kutumia nguvu zote ili kulinda himaya dhidi ya maadui wa ndani na nje.
Kingine, Maandamano hudhibitiwa na Jeshi la Polisi. Ila Mapinduzi hapo wanaume wa kazi, JWTZ huingia mzigoni. Hapo silaha zinazotumika ni za moto tu. Hawajafundishwa kutumia TEAR GAS hao.
Kwa hiyo, ni vema wale wanaotamani kuona utawala wa Rais Magufuli unaangushwa wakatafakari upya ni nini hasa wanataka kufanya siku hiyo na nini madhara yake. Ni vema wakaweka wazi je wanataka kuandamana ama wanataka kufanya mapinduzi? Maandamano YES ila MAPINDUZI ni BIG NO. Watu wasije kufumuliwa vichwa wakifanya mapinduzi then wakaanza kulalamika kuwa jeshi la polisi na JWTZ wametumia nguvu ya ziada.
Ningekuona wa maana kama ungemshauri uchwara aheshimu katiba aliyo aapa kuilindaWadau, amani iwe kwenu.

Mabomu ya moshi
Paper spray (mace)
Teasers (nyaya za kushitua za umeme)
Maji ya washa washa
Maji ya magari ya zimamoto (water cannons) wenye nguvu
Risasi za mpira - rubber bullets
Mbwa wa polisi
Kelele elekezi - directional sirens (kelele kali za ving'ora zinazoelekezwa kwa waandamanaji tu)Watanzania wengi, hasa vijijini hawana smart phones au computers. Hii ina maana hawamo kwenye social media.Haya sio maandamano ya chama fulani,ni maanadamano yaliyoandaliwa na watanzania kutoka vyama tafauti vya siasa na visivyo vya siasa,sasa hao uliowataja ni akina nani??!
Sio watu. Ni viongozi walafi wa upinzani wanaoona kuwa huko tunakoelekea vyama vya vitakufa, kama havijakufa bado.Mbona watu kama wameichoka hii serikali mapema namna hii?
HAHAAHA AHAANdiyo shida ya ccm, watakwambia hilo ni jambo dogo haliwasumbui lakini they will lose their shit every second.
Mara huyu alete list ya watu hatari.
Wengine ndiyo mpo humu kuanzisha nyuzi kila siku.
Relax wazee
Wabongo bwana, kweli CCM imewafifisha akili! Sasa kwa nini serikali itumie nguvu zote hizi wakati tumeaminishwa kuwa serikali ya awamu hii inapendwa sana kuliko awamu zilizotangulia. Na je hao 'wachache' wasioipenda wakiachwa waandamane na kuongozwa na poilisi ili waeleze wanachotaka kueleza kuna ubaya au hasara gani? Mimi ningekuwa ninamshauri mtukufu asiyejaribiwa, ningesema atoe amri kwa poiliccm kuhakikisha wanatoa ulinzi wa kutosha kwa waandamanaji po pote pale maandamano yanapopangwa kufanyika ili tusikie wanataka serikali ifanye nini. Sijui kwa nini CCm inaogopa mikutano ya hadhara na maandamano?Kama kutakua na atakaediriki kuandamana nashauri kusitumike risasi za moto kuwatawanya. Badala yake watumie zana mbadala kama:
Mabomu ya moshi
Paper spray (mace)
Teasers (nyaya za kushitua za umeme)
Maji ya washa washa
Maji ya magari ya zimamoto (water cannons) wenye nguvu
Risasi za mpira - rubber bullets
Mbwa wa polisi
Kelele elekezi - directional sirens (kelele kali za ving'ora zinazoelekezwa kwa waandamanaji tu)
Hivi vitawatia temporary ulemavu lakini hakuna atakaekufa.
AU
Kwa uoga ninaoujua wa waTZ, njia effective ya kuyafanya haya maandamano hata yasianze ni kufanya kama walivyofanya kipindi kile kuelekea UKUTA.
Wiki moja au mbili kabla ya D-DAY, Polisi, FFU, JWTZ, JKT, Mgambo wafanye kwata kwenye viwanja vya michezo, open spaces mitaani, na drills kwenye misitu inayozunguuka makazi.
Nguvu kubwa iwekwe kwenye zile ngome kuu za upinzani. Kama walivyofanya kuelekea hukumu ya Sugu vile.
I can guarantee you watu wataweka makopo ya kukojolea vyumbani mwao ili wasitoke nje usiku.
Just play mind games with them.