Kwani Yale Ya TAHRIR SQUARE Yaliyomtoa MUBARAK wa MISRI Yalikuwa Yanaitwaje? Ukipata Jibu Hapo Fanya Kubold Na Kisha Pigia MstariWadau, amani iwe kwenu.
Nimefuatilia baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Instagram na Telegram kuhusu haya makundi ya watu wanaotamani kuuangusha utawala wa Rais Magufuli. Kwa kiswahili wanasema kuwa hayo ni maandamano ya Amani. Ila kwa Kiingereza wanatamka Tanzania Revolution.
Kwa uelewa wangu, Maandamano tafsiri yake kwa Kiingereza ni Demonstration au Protests. Na Revolution maana yake kwa kiswahili ni Mapinduzi. Kwa uelewa wangu finyu, busara huweza kutumika katika kudeal na maandamano ikiwa ni pamoja na matumizi kiduchu ya nguvu. Ila Mapinduzi hapo lazima ujidhatiti kukabiliana nayo. Hapo silaha za moto na nzito hutumika na ni haki ya vyombo vya dola kutumia nguvu zote ili kulinda himaya dhidi ya maadui wa ndani na nje.
Kingine, Maandamano hudhibitiwa na Jeshi la Polisi. Ila Mapinduzi hapo wanaume wa kazi, JWTZ huingia mzigoni. Hapo silaha zinazotumika ni za moto tu. Hawajafundishwa kutumia TEAR GAS hao.
Kwa hiyo, ni vema wale wanaotamani kuona utawala wa Rais Magufuli unaangushwa wakatafakari upya ni nini hasa wanataka kufanya siku hiyo na nini madhara yake. Ni vema wakaweka wazi je wanataka kuandamana ama wanataka kufanya mapinduzi? Maandamano YES ila MAPINDUZI ni BIG NO. Watu wasije kufumuliwa vichwa wakifanya mapinduzi then wakaanza kulalamika kuwa jeshi la polisi na JWTZ wametumia nguvu ya ziada.
Mbona wanaokatwa mapanga hujawahi kuwatahadhirisha?Huu upendo kwa watanzania leo umeutoa wapi?Sina hofu yoyote. Ila nawatahadhalisha maana wengine watakaoingia barabarani ni michepuko yetu. tusije kuwapoteza mapema
Mbona Unawashwa washwa? tulieni niko huku natiki kalenda tu halafu nakukumbusha tu kuna wale vijana waliopita Kwa mujibu wako mtaani wa kutoshaSijamtisha mtu bali nimeeleza uhalisia. Fanyeni hayo mapinduzi dhen muone cha mtema kuni
Wadau, amani iwe kwenu.
Nimefuatilia baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Instagram na Telegram kuhusu haya makundi ya watu wanaotamani kuuangusha utawala wa Rais Magufuli. Kwa kiswahili wanasema kuwa hayo ni maandamano ya Amani. Ila kwa Kiingereza wanatamka Tanzania Revolution.
Kwa uelewa wangu, Maandamano tafsiri yake kwa Kiingereza ni Demonstration au Protests. Na Revolution maana yake kwa kiswahili ni Mapinduzi. Kwa uelewa wangu finyu, busara huweza kutumika katika kudeal na maandamano ikiwa ni pamoja na matumizi kiduchu ya nguvu. Ila Mapinduzi hapo lazima ujidhatiti kukabiliana nayo. Hapo silaha za moto na nzito hutumika na ni haki ya vyombo vya dola kutumia nguvu zote ili kulinda himaya dhidi ya maadui wa ndani na nje.
Kingine, Maandamano hudhibitiwa na Jeshi la Polisi. Ila Mapinduzi hapo wanaume wa kazi, JWTZ huingia mzigoni. Hapo silaha zinazotumika ni za moto tu. Hawajafundishwa kutumia TEAR GAS hao.
Kwa hiyo, ni vema wale wanaotamani kuona utawala wa Rais Magufuli unaangushwa wakatafakari upya ni nini hasa wanataka kufanya siku hiyo na nini madhara yake. Ni vema wakaweka wazi je wanataka kuandamana ama wanataka kufanya mapinduzi? Maandamano YES ila MAPINDUZI ni BIG NO. Watu wasije kufumuliwa vichwa wakifanya mapinduzi then wakaanza kulalamika kuwa jeshi la polisi na JWTZ wametumia nguvu ya ziada.
Yale ni mapinduzi yaliyofanikiwa hahahaha lakini haya yenu hayatafanikiwa maana majeshi yako tayari kuyadhibitiKwani Yale Ya TAHRIR SQUARE Yaliyomtoa MUBARAK wa MISRI Yalikuwa Yanaitwaje? Ukipata Jibu Hapo Fanya Kubold Na Kisha Pigia Mstari
Kwa uwelewa wako mdogo nakuongezea kuwa mapinduzi hupangwa kwa siri hayatangazwi.ref yale mnayoyatukuza ya unguja. Kwa uelewa wako mdogo kinachotangazwa ni maandamano ya amani neno revolution pale linatumiwa kwa maana ya kutaka kubadili baadhi ya mambo mfano sheria za uchaguzi. Kwa huo uelewa wako mdogo akwilina alifumuliwa kichwa sio kuwa alikuwa anataka kupindua serikali lahasha.alikua abiria na lwa huo uelewa wako mdogo serikali ilipeleka viroba vya mchele huku ikijua imeua raiya asiye na hatia. Kwa uelewa wako mdogo adhabu ya kuandamana sio kuua.kwa uelewa huo mdogo ndo mana unashindwa kuhoji kwann kina mbowe waitwe polisi na wale 40 wapo jela huku hakuna polisi hata mmoja aliyefikishwa mahakamani hali ya kuwa mambo sasa ameshasema polisi walirusha risasi.Wadau, amani iwe kwenu.
Nimefuatilia baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Instagram na Telegram kuhusu haya makundi ya watu wanaotamani kuuangusha utawala wa Rais Magufuli. Kwa kiswahili wanasema kuwa hayo ni maandamano ya Amani. Ila kwa Kiingereza wanatamka Tanzania Revolution.
Kwa uelewa wangu, Maandamano tafsiri yake kwa Kiingereza ni Demonstration au Protests. Na Revolution maana yake kwa kiswahili ni Mapinduzi. Kwa uelewa wangu finyu, busara huweza kutumika katika kudeal na maandamano ikiwa ni pamoja na matumizi kiduchu ya nguvu. Ila Mapinduzi hapo lazima ujidhatiti kukabiliana nayo. Hapo silaha za moto na nzito hutumika na ni haki ya vyombo vya dola kutumia nguvu zote ili kulinda himaya dhidi ya maadui wa ndani na nje.
Kingine, Maandamano hudhibitiwa na Jeshi la Polisi. Ila Mapinduzi hapo wanaume wa kazi, JWTZ huingia mzigoni. Hapo silaha zinazotumika ni za moto tu. Hawajafundishwa kutumia TEAR GAS hao.
Kwa hiyo, ni vema wale wanaotamani kuona utawala wa Rais Magufuli unaangushwa wakatafakari upya ni nini hasa wanataka kufanya siku hiyo na nini madhara yake. Ni vema wakaweka wazi je wanataka kuandamana ama wanataka kufanya mapinduzi? Maandamano YES ila MAPINDUZI ni BIG NO. Watu wasije kufumuliwa vichwa wakifanya mapinduzi then wakaanza kulalamika kuwa jeshi la polisi na JWTZ wametumia nguvu ya ziada.
Mabadiliko ya kimageuzi.Maandamano Mapinduzi?
Kamanda uta andamana au utafanya mapinduzi?Acha kutisha watu!!kwanza hata maandamano ya amani mara ya mwisho kuruhusiwa ilikuwa ni lini?
Kwa mujibu wa hao walioratibu, Malengo ya Tanzania Revolution nikwani umeambiwa lengo kuu la maandamano ni kumtoa JPM madarakani,akili yako haina akili,tunahitaji apate ujumbe kuwa watz tumechoka kuuliwa kama kuku,kuongozwa kama bata au nguruwe,tunahitaji asikilize ushauri wa watu,asiwe ye ndio alpha na omega,ajue kwamba mataifa ya nje yanamuangalia vibaya,ajue kuwa anatukosanisha na majirani pia mataifa ya nje,ajue kuwa demokrasia inatakiwa ihubiriwe na sio udikteta,ajue kuwa hali za maisha yetu ni ngumu na tunaishi kwa hofu,ajue kuwa uongozi ni bora kuliko utawala,ajue kuwa wapnzani nao ni watu ktk nchi yao,ajue kuwa kauli zake ni mmbaya na watu wanazihifadhi vibaya ktkt mioyo yao,ajue kuwa nchi hii si ya ccm peke yake,ajue kuwa hata kabla yake kulikuwa na maraisi na pia baada yake watakuwepo wengine,ajue kuwa asitaje bure jina la bwana MUNGU wakati anamfanyia dhihaka na unafiki,MUNGU HADHIHAKIWI.AJUE KUWA WATZ WANALIA NA KILIO CHAO HATA SIKU MOJA HAKITAENDA BURE,TUNATAKA AJUE HVY,MAANA KATUZIBA MIDOMO AKASAHAU KUWA KUNA WATZ WANAISHI NJE KASAHAU KUWA KUNA MEDIA ZA KUFIKISHA UJUMBE,KASAHAU KUWA TZ ni mji mkubwa sana tofauti na Rwanda hvy huwezi kuongoza nchi km hii utadhan unaongoza chato au misungwi,kila kitu kina mwisho,hakuna kitu kibaya kama kumzuia mtu asitoe dukuduku lake kwani akizidiwa atalitoa kwa vitendo na hutoweza kumzuia,uvumilivu una mwisho.
Mimi Nipo Chato Najenga AirportKumbe ndo hivyo! Basi subirini cha Mtema kuni.
Kuliko kuendelea kutisha watu humu ni kheri ungeenda kuvitawaza vibabu vya kizungu upate helaNipo shule ndugu tena huku nchi za watu. Nimeibuka kwenye hii ishu kutokana na jinsi inavyotaraji kuzaa vilema watarajiwa na marehemu watarajiwa. Ni vema hawa wanaotaraji kufanya hivyo tukawapa somo la kutosha. Maana wengine wanaendeshwa na akili za Wanyonya Koni huko ng'ambo