Ni kweli yametokea, Please advise

Ni kweli yametokea, Please advise

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,007
Reaction score
168,597
UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE Babu yako ni mgonjwa sana na wewe ni mjukuu pekee unaependwa kuliko hata wanawe , babu anasema anataka kuongea na wewe neon la mwisho la Moyoni kabla hajakata roho , watu wote wanatoka chumbani mnabaki wenyewe babu anakuambia nini milioni 800 mahali na nataka wewe ndio urithi hiyo pesa , anaendelea nimeitunza nimeitunzaaaaaaaaa Mara anakata kauli ( roho)
 
piga maombi kwa nguvu zote hadi afufuke na ikishindikana unampeleka kwa mzee wa upako au kanisa la ufufuo na uzima yaani ikiwezekana muahidi mungu amfufue kwa dakika 20 tuu ili amalizie huo urithi alipouweka kisha unamuambia mungu 10% kama kawa so please sir God fanya mambo 10% ya milioni mia nane si mchezo sir God usiachie dili hilo.
Kisha atafufuka tuu si unajua mapene heheheheheheeeeeee, pole kwa yaliyokukuta.
Kwa maneno mengine hii inaitwa ng'ombe wa masikini hazai.
 
itakuwa tena ni bahat mbaya tena hiyo!
au arudi kama mzimu / ndotoni kama kweli vipo vitu hivi vipo, anielekeze zilipo hizo pea!
 
Hivi kwenye avatar yako ndio mfalme Suleiman?

Mfalme Suleyman hakuwa mtu mweusi......Huyo ni Mansa Kankan Musa I.....the richest man on record.......he was worth about $400bn (in todays money) at the time of his SONGAY empire in West Africa
 
What will you do if your grandfather was on sick bed and you are there with him,after a while he started praying for you for about 10 minutes and his last word was my son i left 10 million US Dollar for you in in in in..............and he die.Please advice if your in that position

source frank johnson jokes/ ENJOY JOKES
 
hakuna cha kujifikirisha hapo, huyo si babu yake, basi kamuachia ujumbe ambao utadumisha upendo wao, daima na huyo mjukuu yampasa ajitahidi ,ajitume ili atengeneze hiyo 800/=M, kingine baada ya usia huo hhiyo si siri teena, aitoe huenda mmoja wa jamaa/jirani au mtumishi au chumbani kwake bibi anajua wapi? palikuwa hapaguswi, mzee ukigusa tu, unashukiwa kama mwewe na babu hivyo bibi ataelekeza pale kamua babu.
 
Ni vyema sana kufikiria nje ya box
hakuna cha kujifikirisha hapo, huyo si babu yake, basi kamuachia ujumbe ambao utadumisha upendo wao, daima na huyo mjukuu yampasa ajitahidi ,ajitume ili atengeneze hiyo 800/=M, kingine baada ya usia huo hhiyo si siri teena, aitoe huenda mmoja wa jamaa/jirani au mtumishi au chumbani kwake bibi anajua wapi? palikuwa hapaguswi, mzee ukigusa tu, unashukiwa kama mwewe na babu hivyo bibi ataelekeza pale kamua babu.
 
mh mimi nitalia kupita mtu yoyote kwa kukosa kujua location ya hiyo hela. nitalia nitaliaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Uenda hyo mil800 labda ni kama ile mil10 ya lema aliyotaka kumpa nassari.
 
Back
Top Bottom