Mkuu kuna baadhi ya Watanzania ambao ni vigumu kuwaelewa - mleta mada ameanza na pre-amble nzuri akiwa na lengo la kuchoka akili za wasomoji kwanza, kumbe hidden agenda yake ni kujenga hoja ya kuwalahumu Polisi!! Sijui wanaishi Dunia gani - hawajui waharifi hawa ni tishio la usalama wa Taifa letu, wanacho kusudia ni kuvuruga amani yetu tuliyo zoea kwani wahenga walio sema vita haina macho ni wajinga, hapa wanajitia kubeza beza juhudi za jeshi letu la Polisi hawajali askali wetu wanavyo ji-sucrifice kwa ajili yetu - tuna roho za aina gani lakini - Taifa tunapaswa kushikamana na kusaidiana na Jeshi letu kutokomeza hatari inayo tunyemelea.
Hapa Polisi wanatumia diplomatic language wanapo sema wahusika ni waharifu, lakini deep down Polisi wanajua wana deal na kundi la type gani - binafsi sijali hata Polisi waki-shoot first na ku- ask questions later kwani najua Polisi hawakurupuki wana intelligensia mahili, kwanza naona kamanda aliye ongoza operation ya Mwanza ana huruma za Kipadri Padri ingekuwa vizuri kama jengo lingelipuliwa na anti tank missiles, hilo likawa fundisho kwa waharifu waliobaki kwamba crime does not pay.
Polisi wa Mwanza wamesema kwamba wame identify waharifu wawili kwamba wametoka Kibiti lakini watu wenye ajenda zao wanawapigia debe waarifu eti Polisi hawasemi ukweli!!