Ni kweli waliouawa Mwanza walitoka Kibiti?

Ni kweli waliouawa Mwanza walitoka Kibiti?

Rose, usalama wa RAIA hauko hivo unavosema. Ww ulishawahi kuwa mbunge tungetegemea uwe na uelewa mpana wa mambo lakin sio hivo.

Ukiangalia hali ilivokuwa kipindi cha kikwete utagundua kuwa waovu wengi walijijenga kipindi hicho. Na hapo namaanisha waovu wa kila aina. Wezi, mafisad wajambazi magaid nakadhalika nakadhalika.

Vita ya kupambana nao sio lelemama kama akili yako inavokutuma. Kule kibiti ni kama kulikuwa na kikosi kabisa cha majambazi au magaid. Ukikisambaratisha kile nacho kinasambaa kila kona ya nchi. Na ndo maana wengine wamekamatwa kule songea, wengine nachingwea, wengine mwanza, of course wengine watakuwa apo apo kibiti na hata dar na mikoa mingine.

Ni suala la kutumia tu akili ili uelewe kuwa hawa magaid sio wajinga kama nyie wapinzan mnavotaka ieleweke. Sasa kwa taarifa yenu hawa wote watakamatwa na kupotezwa wote. Jeshi letu sio la mzaha mzaha.
Aksante na achungulie hapa: Vifo vya watu sita vyazua taharuki Mwanza, wananchi wajifungia
 
Ayaa!! kumbe huyu aliwahi kuwa mbunge mkuu!!! Hahahaaa!! nicheke tu, sasa mbunge ndo ana hoja mfu kiasi hiki au niseme anadandia gari kwa mbele na yeye aonekane ni mchambuzi wa maswala ya kiusalam!!!
Mkuu kumbe huyu Rose alikuwa Mbunge!! Halafu anakuwa mbumbu hivi???!! Inatisha!
 
Ukisikia maelezo ya polisi mwanza kuhusu hao waliouwawa, wanasema baada ya kumkamata mmoja wao alikiri wao huwa wanawapora watu kwa nguvu, toka tumeanza kusikia mauwaji ya kibiti hatujawahi kusikia wauwaji wamechukua hata simu wao wanauwa tu, sasa hapa kinachofanyika ni uwoga wa polisi wetu tu baada ya kufeli mpango wao, kibiti mwanza ni zaidi km 1000 yaani wamesafiri na silaha zao mpaka mwanza, hawajakamatwa, je wangekuwa wanafanya mauwaji njia nzima ingekuwaje? Kama wanatoka kibiti mpaka mwanza na hawajajulikana, je walisema waingie dar itakuwaje?
 
Kwa hiyo kama sio wa kibiti basi wasiuwawe hata kama wanahatarisha maisha ya wengine?? Wakati mwingine uwe unatumia akili basi mkuu!! Natamani siku moja ukutane na hao majambazi halafu urudi hapa na uvuvuzela wako...!! Mfyuuu!!
Unajitahidi sana kunifuatafuata ili upate umaarufu kwa mgongo wangu , lakini bahati mbaya uwezo wako ni mdogo kuliko wa sisimizi .

Waliosema waliouliwa mwanza ni wale wa kibiti ni polisi , sasa sisi tunataka wathibitishe , kwani wangesema wameua majambazi tu ya huko Mwanza ingekuwaje ?

Kwanini wanaitafuta kiki ya kibiti kwa pikipiki ?

Nakutahadharisha tena , kunifuata fuata utakuja kuangukia pua , Mind your business .
 
Mkuu kumbe huyu Rose alikuwa Mbunge!! Halafu anakuwa mbumbu hivi???!! Inatisha!
Mimi mwenyewe nimeshangaa kuona post hapo juu kwamba aliwahi kuwa mbunge!!! akitu alichokieleza hapa, mbunge mstaafu sijui ni awamu gani anashangaa mharifu kukutwa mkoa/sehemu nyingine!!!
 
Unajitahidi sana kunifuatafuata ili upate umaarufu kwa mgongo wangu , lakini bahati mbaya uwezo wako ni mdogo kuliko wa sisimizi .

Waliosema waliouliwa mwanza ni wale wa kibiti ni polisi , sasa sisi tunataka wathibitishe , kwani wangesema wameua majambazi tu ya huko Mwanza ingekuwaje ?

Kwanini wanaitafuta kiki ya kibiti kwa pikipiki ?

Nakutahadharisha tena , kunifuata fuata utakuja kuangukia pua , Mind your business .
Wewe wala si size yangu kabisa na wala siwezi kutafuta umaarufu kutoka kwa mtu kama wewe ambaye muda wote unatoa nonsense comments humu JF.
 
Kuna jambo haliko sawa mahali na ni vema statements zao ziwe zinaandaliwa kwa umakini.
Kama wale wa Kibiti wapo mpaka Mwanza, wengine wanashikwa Tunduru jee Dar jiji kubwa na lililo karibu na Kibiti watakuwepo wangapi?
WANATUTISHA SANA NA HIZI TAARIFA
Ikiwa waliouawa sio wahusika wa mauaji ya Kibiti maana yake polisi inajitukanisha kwa wauaji wa Kibiti kwamba ni waongo, hiyo inawapa ujasiri wa kuendelea kuuwa kwa kuwa wanajua polisi bado haijawatambua.
 
Hii indiscriminate killings inahitaji international attention! Upinzani achana na kusemea ndani, paza sauti UN, AU, EU etc, vinginevyo tunakwisha.
Hao askari polisi na raia wanaouawa huko kibiti mbona wapinzani hamuendi kuwasemea huko UN, Au na Eu? Sahivi majambazi yameuawa mnataka kwenda kulalamika nyinyi chadema mna matatizo,,
 
kama majambazi waliouawa ni ndugu zako unakaribishwa katika postmortem halafu ukawazike kwa heshima.

Polisi ikishatangaza vita maana yake hakuna majadiliano ni action tu.

Hapa mtaani kwangu kuna wageni kibao sijaona wakiuawa na Polisi.

Wanaouawa ni Majambazi...na waendelee kuawa tu.
Akija kwenye postmortem hao ndugu zake watafufuka?
 
Rose Mayemba ni mwanachama hai wa chadema na kwa maandishi haya ni wazi chadema wanalo walo.lifahamu kuhusu kibiti na wao hufurahia polisi na Raia wetu wakiuwawa...
Maandishi yake haya ni uchochezi na uchonganishi na yana hatarisha amani na usalama wa taifa...ntalishangaa jeshi la polisi lisipomshika binti huyu na kumuhoji kuhusu hizi taarifa..

Chadema kwanini mnafurahia askari na wananchi wakiuwawa?
 
Nahisi haya mauaji yateendeshwa kisiasa, utasikia kwamba chama Fulani kinahusika na itabidi kifungiwe maisha
 
KIBITI KIBITI KIBITI
MCHEZO WA SINEMA USIOTABIRIKA.
Haya ni mawazo tu lakini ya mjinga mmoja.
 
Majambazi wa kibiti wameuawa Mwanza,kuna Sehemu zingine watauwawa pia.Kisha hao majambazi waliouwawa tuombe Mungu wasizinduke wakaua raia wema kibiti...
 
Majambazi wa kibiti wameuawa Mwanza,kuna Sehemu zingine watauwawa pia.Kisha hao majambazi waliouwawa tuombe Mungu wasizinduke wakaua raia wema kibiti...
Hopeless!
 
sio vibaya hata polisi wakikukamata na kukuhoji maana inaonekana unaguswa sana na mauaji ya hao maharamia.

Halafu usivyo hata na chembe ya aibu unatumia verified account kuwatetea wauaji.

Siro kuna huyu hapa anaweza kukusaidia.
 
"Mawazo tu ya mjinga mmoja". Ni mjinga kweli.
Na ndivyo tunavyoelewa, kwamba mtu akieleza jambo bila kulifahamu huyo ni mjinga.
Labda mtoa mada haukusikiliza taarifa iloyotolewa kwenye vyombo vya habari.
RPC kajaribu sana kueleza ni namna gani waharifu hao wametokea Kibiti.
Kaeleza kuwa kabla ya kwenda kuvamia eneo walikojificha hao majambaz, siku kama 3 nyuma walikuwa wakimshikilia suspect m1 kwa mahojiano.
Huyo suspect ndiye aliyewaeleza pia kilakitu kuhusu kundi hilo linakotokea.
Walipombana kisawasawa, akaeleza wenziye walipojificha.
Katika kwenda kuvamia hiyo alfajiri, huyo mtuhumiwa waliokuwa naye akiwaongoza, akatoa sauti ya ishara kutoa signal kwa wenzake, ndipo walipokurupuka na kuanza mapambano.
Katika kuongea na vyombo vya habari, mkuu wa mkoa pia kasisitiza uwajibikaji wa viongozi kwa ngazi za shina na vijiji, kuwa wawe na record za wageni wanaoingia maeneo yao.
Sasa ni wapi kiongozi yeyote katoa maagizo ya kuua wageni?
Halafu kinachoniudhi binafsi kipindi hiki kigumu, ni kuona kuwa baadhi ya raia wanaumia sana, hasa linapokuja suala hili la kuuawa kwa suspects wa Kibiti!
Hata habari inyooshwe vipi, lakini utakuta inapindishwa ama inajadiliwa kwa kupotosha!
Kuna kitu gani kipo nyuma ya pazia?
WaTz tujitathimini sana hasa tunapotoa michango yetu kuhusiana na ndugu zetu wanaomwaga damu bla ya hatia yoyote.
 
Rose Mayemba ni mwanachama hai wa chadema na kwa maandishi haya ni wazi chadema wanalo walo.lifahamu kuhusu kibiti na wao hufurahia polisi na Raia wetu wakiuwawa...
Maandishi yake haya ni uchochezi na uchonganishi na yana hatarisha amani na usalama wa taifa...ntalishangaa jeshi la polisi lisipomshika binti huyu na kumuhoji kuhusu hizi taarifa..

Chadema kwanini mnafurahia askari na wananchi wakiuwawa?
Vitisho vya uchawi ndiyo njia pekee iliyosalia ya Masikini na fukara wa kutupwa kubana na Tajiri .
 
Kuna jambo haliko sawa mahali na ni vema statements zao ziwe zinaandaliwa kwa umakini.
Kama wale wa Kibiti wapo mpaka Mwanza, wengine wanashikwa Tunduru jee Dar jiji kubwa na lililo karibu na Kibiti watakuwepo wangapi?
WANATUTISHA SANA NA HIZI TAARIFA
Mkuu na wewe ulimwamini kova alipo sema kuwa yule mkenya ndo aliye mpiga ulimboka kisha akaenda kutubu???....au ni yule Ramadhan Ighondu???
 
Na wewe unaona umeandikaa, yani akili yako inajichenga yenyewe, yani umeanza vizuri "wameuwawa baada ya majibizano ya risasi" Sasa kama umeandika mwenyewe walikuwa wanajibizana risasi na askari wetu ulikuwa unata wao askari wafanyeje? Cz kama wangekuwa raia wema wasingekuwa na sababu ya kuwarushia risasi polisi. Ukimrushia askari risasi it means you r ready to kill or being killed, isn't that logical? Haya umeongelea kuhusu wamejuaje wametoka kibiti? That's called intelligence. Marekani walijuaje Osama yupo Pakistan while Makao Makuu ya CIA yapo Virginia? Anyways ndio maana kwenye mitihani wengine wanapata division 1 na wengine Division 5. Ni mambo kama haya.
hahahhahhahha hajakataa wauwaji ni majambazi au magaidi hoja yake ne je kivp wametokea kibiti???? kma ni intelijensia imejuaje wako nje ya kibiti afu wauwaji waliopo kibiti wasijulikane??? yaani kibiti hawapati kitu afu wakitoka nje ndio wanawajua!!!

embu kuweni serious mtoa hoja ana swali zito sana
 
Back
Top Bottom