Ni kweli waliouawa Mwanza walitoka Kibiti?

Rose Mayemba

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2012
Posts
721
Reaction score
1,017
MUNGU NIPE HEKIMA NIONGEE KIDOGO KUHUSU WAUWAJI WA KIBITI.

Zipo taarifa kwamba kwamba wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza baada ya majibizano ya risasi na askari wetu.

Pia ziko taarifa kwamba akipatikana mtu mgeni kwenye eneo fulani kwa maana ya kwamba serikali ya eneo Hilo kutokumtambua basi atauwawa.

Kama taarifa hizi ndivyo zilivyo basi tunazo sababu za kujiuliza maswali mengi.

Kwamba, kama wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza kwenye majibizano ya risasi na askari, ni nani alitoa taarifa za uwepo wa watu hao Mwanza wakitokea KIBITI?

Je, aliyetoa taarifa ya watu hao kuwa wametoka KIBITI alizithibitihaje taarifa hizo na yuko wapi mpaka sasa?

Jeshi la Polisi linasema nini juu ya mtoa taarifa huyo ambaye kimsingi atalisaidia sana Jeshi letu la Polisi kufanya upelelezi?

Je, ni sahihi kwamba mtu yeyote mgeni kwenye eneo fulani anatakiwa kuuwawa? Na kama ndivyo mbona serikali yetu imekuwa na uoga wa kiwango hiki kwa wahalifu?

Je, hakuna namna nyingine ya kushughulika na wanaodaiwa kuwa ni wageni kwenye maeneo fulani zaidi ya kuwauwa?

Hii ni Tanzania ile ile tunayoisifia kwamba inaongozwa kwa misingi ya sheria?

KIBITI KIBITI KIBITI
MCHEZO WA SINEMA USIOTABIRIKA.
Haya ni mawazo tu lakini ya mjinga mmoja.
 
MUNGU NIPE HEKIMA NIONGEE KIDOGO KUHUSU WAUWAJI WA KIBITI.

Zipo taarifa kwamba kwamba wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza baada ya majibizano ya risasi na askari wetu...

Pia ziko taarifa kwamba akipatikana mtu mgeni kwenye eneo fulani kwa maana ya kwamba serikali ya eneo Hilo kutokumtambua basi atauwawa...

Kama taarifa hizi ndivyo zilivyo basi tunazo sababu za kujiuliza maswali mengi.

Kwamba, kama wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza kwenye majibizano ya risasi na askari, ni nani alitoa taarifa za uwepo wa watu hao Mwanza wakitokea KIBITI????

Je aliyetoa taarifa ya watu hao kuwa wametoka KIBITI alizithibitihaje taarifa hizo na yuko wapi mpaka sasa?

Jeshi la Polisi linasema nini juu ya mtoa taarifa huyo ambaye kimsingi atalisaidia sana Jeshi letu la Polisi kufanya upelelezi?

Je ni sahihi kwamba mtu yeyote mgeni kwenye eneo fulani anatakiwa kuuwawa? Na kama ndivyo mbona serikali yetu imekuwa na uoga wa kiwango hiki kwa wahalifu?

Je hakuna namna nyingine ya kushughulika na wanaodaiwa kuwa ni wageni kwenye maeneo fulani zaidi ya kuwauwa?
Hii ni Tanzania ileile tunayoisifia kwamba inaongozwa kwa misingi ya sheria?

KIBITI KIBITI KIBITI
MCHEZO WA SINEMA USIOTABIRIKA.
Haya ni mawazo tu lakini ya mjinga mmoja....
Hii indiscriminate killings inahitaji international attention! Upinzani achana na kusemea ndani, paza sauti UN, AU, EU etc, vinginevyo tunakwisha.
 
Sidhani Kama kuna agizo la kuua mgeni kwenye eneo Fulani huo ni upotoshaji na pili taifa lina intelijensia hivo kuwa trace Hao watu kuwa wametoka kibiti ni kazi ya intelijensia
Na ukiwa mgeni mahali sidhani Kama utapigwa risasi tu hapana utasimamishwa utahojiwa na kuulizwa vitambulisho Ndio utaratibu ila wewe ukisimamishwa ukaanza kukimbia na kurusha risasi lazima utauawa
 
Kuna jambo haliko sawa mahali na ni vema statements zao ziwe zinaandaliwa kwa umakini.
Kama wale wa Kibiti wapo mpaka Mwanza, wengine wanashikwa Tunduru jee Dar jiji kubwa na lililo karibu na Kibiti watakuwepo wangapi?
WANATUTISHA SANA NA HIZI TAARIFA
 
kama majambazi waliouawa ni ndugu zako unakaribishwa katika postmortem halafu ukawazike kwa heshima.

Polisi ikishatangaza vita maana yake hakuna majadiliano ni action tu.

Hapa mtaani kwangu kuna wageni kibao sijaona wakiuawa na Polisi.

Wanaouawa ni Majambazi...na waendelee kuawa tu.
 
MUNGU NIPE HEKIMA NIONGEE KIDOGO KUHUSU WAUWAJI WA KIBITI.

Zipo taarifa kwamba kwamba wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza baada ya majibizano ya risasi na askari wetu...

Pia ziko taarifa kwamba akipatikana mtu mgeni kwenye eneo fulani kwa maana ya kwamba serikali ya eneo Hilo kutokumtambua basi atauwawa...

Kama taarifa hizi ndivyo zilivyo basi tunazo sababu za kujiuliza maswali mengi.

Kwamba, kama wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza kwenye majibizano ya risasi na askari, ni nani alitoa taarifa za uwepo wa watu hao Mwanza wakitokea KIBITI????

Je aliyetoa taarifa ya watu hao kuwa wametoka KIBITI alizithibitihaje taarifa hizo na yuko wapi mpaka sasa?

Jeshi la Polisi linasema nini juu ya mtoa taarifa huyo ambaye kimsingi atalisaidia sana Jeshi letu la Polisi kufanya upelelezi?

Je ni sahihi kwamba mtu yeyote mgeni kwenye eneo fulani anatakiwa kuuwawa? Na kama ndivyo mbona serikali yetu imekuwa na uoga wa kiwango hiki kwa wahalifu?

Je hakuna namna nyingine ya kushughulika na wanaodaiwa kuwa ni wageni kwenye maeneo fulani zaidi ya kuwauwa?
Hii ni Tanzania ileile tunayoisifia kwamba inaongozwa kwa misingi ya sheria?

KIBITI KIBITI KIBITI
MCHEZO WA SINEMA USIOTABIRIKA.
Haya ni mawazo tu lakini ya mjinga mmoja....
Mjumbe Rose ni wazi kuwa hujui usemalo. Mwulize mtu yeyote hata mtoto atakwambia kuwa mambo kama hayo hayaulizwi wala kujibiwa hazarani labda kama unanusanusa upate fununu uwasaidie wahusika. Endelea kuamini unachoamini, kuwaliwaza magaidi na maadui wa Taifa hili. Uyakapojazinduka utakuta meli ilishaondoka zamani.
 
Kuna jambo haliko sawa mahali na ni vema statements zao ziwe zinaandaliwa kwa umakini.
Kama wale wa Kibiti wapo mpaka Mwanza, wengine wanashikwa Tunduru jee Dar jiji kubwa na lililo karibu na Kibiti watakuwepo wangapi?
WANATUTISHA SANA NA HIZI TAARIFA
Kama unatishika endelea kuwapa ushirikiano taarifa muhimu kama unazo ili waweze kuuawa!
 
Jeshi la polisi lifanye kazi yake kwa ueledi.Lisianze kututia hofu, hao watu wa kibiti walijipanga muda mrefu kwa hiyo jeshi letu na vyombo vya usalama viende kisomi zaidi.Hizi taarifa mara tumeua wanne, mara tumeua Mwanza hazitusaidii..Tunachohitaji mauaji ya Kibiti yakomeshwe!
 
Huyu kamanda msangi ana kimbele mbele sana ,natamani apelekwe kibiti atacheza na media mpaka wauaji waishe kabisa,kila anachofanya media anao mkononi.
Ile ya ya magaidi wa mapango ya amboni tanga. KAMANDA MSANGI yeye alikuja na yake ya mwanza , Mizinga ya kuvunjia mawe na mahandaki kuuwa majambazi mwanza(polisi tangu lini watumie mizinga ). advertisement yake tu mtu unajua leo ama zetu ama zao.
naamini akipelekwa kibiti urafiki wake na vyombo vya habari utawamaliza nguvu magaidi.
 
MUNGU NIPE HEKIMA NIONGEE KIDOGO KUHUSU WAUWAJI WA KIBITI.

Zipo taarifa kwamba kwamba wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza baada ya majibizano ya risasi na askari wetu...

Pia ziko taarifa kwamba akipatikana mtu mgeni kwenye eneo fulani kwa maana ya kwamba serikali ya eneo Hilo kutokumtambua basi atauwawa...

Kama taarifa hizi ndivyo zilivyo basi tunazo sababu za kujiuliza maswali mengi.

Kwamba, kama wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza kwenye majibizano ya risasi na askari, ni nani alitoa taarifa za uwepo wa watu hao Mwanza wakitokea KIBITI????

Je aliyetoa taarifa ya watu hao kuwa wametoka KIBITI alizithibitihaje taarifa hizo na yuko wapi mpaka sasa?

Jeshi la Polisi linasema nini juu ya mtoa taarifa huyo ambaye kimsingi atalisaidia sana Jeshi letu la Polisi kufanya upelelezi?

Je ni sahihi kwamba mtu yeyote mgeni kwenye eneo fulani anatakiwa kuuwawa? Na kama ndivyo mbona serikali yetu imekuwa na uoga wa kiwango hiki kwa wahalifu?

Je hakuna namna nyingine ya kushughulika na wanaodaiwa kuwa ni wageni kwenye maeneo fulani zaidi ya kuwauwa?
Hii ni Tanzania ileile tunayoisifia kwamba inaongozwa kwa misingi ya sheria?

KIBITI KIBITI KIBITI
MCHEZO WA SINEMA USIOTABIRIKA.
Haya ni mawazo tu lakini ya mjinga mmoja....
Na wewe unaona umeandikaa, yani akili yako inajichenga yenyewe, yani umeanza vizuri "wameuwawa baada ya majibizano ya risasi" Sasa kama umeandika mwenyewe walikuwa wanajibizana risasi na askari wetu ulikuwa unata wao askari wafanyeje? Cz kama wangekuwa raia wema wasingekuwa na sababu ya kuwarushia risasi polisi. Ukimrushia askari risasi it means you r ready to kill or being killed, isn't that logical? Haya umeongelea kuhusu wamejuaje wametoka kibiti? That's called intelligence. Marekani walijuaje Osama yupo Pakistan while Makao Makuu ya CIA yapo Virginia? Anyways ndio maana kwenye mitihani wengine wanapata division 1 na wengine Division 5. Ni mambo kama haya.
 
Police wetu wajuvi sana ujue. Huenda waliwahoji wale jamaa kabla hawajakata roho na wakathibitisha bila shaka kuwa ni kweli wao ndo walikuwa wanaiterrorize Kibiti kabla ya kuhamia Mwanza. Heko Kamanda wa Mwanza🙂

hahahhah nimejkuta nacheka tu dah!
 
Rose Mayemba wewe binti una matatizo, peleka mgeni nyumbani kwako basi uone kama atapigwa risasi ?
Mmeishiwa hoja hadi mpo radhi kutetea wauaji, hivi kuna raia mwema yoyote anayeweza kurushia polisi risasi kama si jambazi ?

Majambazi wakiua watu Kibiti mnafurahia na kuanzisha nyuzi za kejeli, polisi wakiua majambazi mnaleta nyuzi za maswali ya kijinga kijinga, nyie ni binadamu wa aina gani mnaofurahia mauaji ?
Ni kweli siasa imewatoa hata utu tu wa kuheshimu uhai wa wengine ? Inaonekana amekosekana mtu wa kuwapa muongozo huko ndio maana mnaropoka ovyo ovyo.
 
Police wetu wajuvi sana ujue. Huenda waliwahoji wale jamaa kabla hawajakata roho na wakathibitisha bila shaka kuwa ni kweli wao ndo walikuwa wanaiterrorize Kibiti kabla ya kuhamia Mwanza. Heko Kamanda wa Mwanza🙂
ujue kuna uwezekano kua wapo watu wengi sana wanaondelea kuisaidia Polisi lkn polisi haisemi kwa lengo la kufanikisha Oparation , kwa hiyo sisi ties na subira tu
 
Rose Mayemba wewe binti una matatizo, peleka mgeni nyumbani kwako basi uone kama atapigwa risasi ?
Mmeishiwa hoja hadi mpo radhi kutetea wauaji, hivi kuna raia mwema yoyote anayeweza kurushia polisi risasi kama si jambazi ?

Majambazi wakiua watu Kibiti mnafurahia na kuanzisha nyuzi za kejeli, polisi wakiua majambazi mnaleta nyuzi za maswali ya kijinga kijinga, nyie ni binadamu wa aina gani mnaofurahia mauaji ?
Ni kweli siasa imewatoa hata utu tu wa kuheshimu uhai wa wengine ? Inaonekana amekosekana mtu wa kuwapa muongozo huko ndio maana mnaropoka ovyo ovyo.

hv umemwelewa alichokuliza [HASHTAG]#rose[/HASHTAG] mayemba?mbn unajibu kisiasa sana ww! huenda hufatilii haya!
 
Back
Top Bottom