Ni kweli waliouawa Mwanza walitoka Kibiti?

Ni kweli waliouawa Mwanza walitoka Kibiti?

Mjumbe Rose ni wazi kuwa hujui usemalo. Mwulize mtu yeyote hata mtoto atakwambia kuwa mambo kama hayo hayaulizwi wala kujibiwa hazarani labda kama unanusanusa upate fununu uwasaidie wahusika. Endelea kuamini unachoamini, kuwaliwaza magaidi na maadui wa Taifa hili. Uyakapojazinduka utakuta meli ilishaondoka zamani.


Heshimu maoni yake . Don't attack her personality cause won't earn you anything . Soma then chukua hatua . Ni maoni yake tu .
 
Mleta maada unajua ukweli wa yote yaliyo tokea iwe mwanza au kibiti, unachofanya hapa mtandaon ni kutaka watu waone kuwa polisi ni waonevu ama selikari mbaya. Unajitahidi kueneza propaganda chafu ili serikali ichukiwe!!!!! Mbona polisi wakifa hamjitokez kuwasemea badala yake mnapongeza magaidi kuwaua. Naamini kwa 100% wewe ni miongoni mwa wauaji au mjinga kiwango cha rami

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Inabidi tukubaliane tu kua kama ukikutwa na silaha na huna maelezo ya kutosheleza then u deserve to die..thats all
 
Police politics.

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Kuna kila ninaposikia polisi wameua roho yanienda mbio sana. IPO siku. inamaa utwala Wa sheria ndo basi ni kuuwa tuuu. Ukuu Wa kanda maalum utatumaliza
 
Tatizo inayoongea ni Divisheni four ya kumi na nane, watu wana silaha na risasi... wananchi wema wametoa taarifa zikafanyiwa kazi ila kwa kuwa habari hasi ni mlo wako wa lazima kila siku huwezi kuona mema.....when the room is full of light clown like you pull down the curtain.....shameless evil
rose.JPG
 
Ukikutwa na SMG lazima tukulize ulikuwa na lengo gani?

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kuna baadhi ya Watanzania ambao ni vigumu kuwaelewa - mleta mada ameanza na pre-amble nzuri akiwa na lengo la kuchoka akili za wasomoji kwanza, kumbe hidden agenda yake ni kujenga hoja ya kuwalahumu Polisi!! Sijui wanaishi Dunia gani - hawajui waharifi hawa ni tishio la usalama wa Taifa letu, wanacho kusudia ni kuvuruga amani yetu tuliyo zoea kwani wahenga walio sema vita haina macho ni wajinga, hapa wanajitia kubeza beza juhudi za jeshi letu la Polisi hawajali askali wetu wanavyo ji-sucrifice kwa ajili yetu - tuna roho za aina gani lakini - Taifa tunapaswa kushikamana na kusaidiana na Jeshi letu kutokomeza hatari inayo tunyemelea.

Hapa Polisi wanatumia diplomatic language wanapo sema wahusika ni waharifu, lakini deep down Polisi wanajua wana deal na kundi la type gani - binafsi sijali hata Polisi waki-shoot first na ku- ask questions later kwani najua Polisi hawakurupuki wana intelligensia mahili, kwanza naona kamanda aliye ongoza operation ya Mwanza ana huruma za Kipadri Padri ingekuwa vizuri kama jengo lingelipuliwa na anti tank missiles, hilo likawa fundisho kwa waharifu waliobaki kwamba crime does not pay.

Polisi wa Mwanza wamesema kwamba wame identify waharifu wawili kwamba wametoka Kibiti lakini watu wenye ajenda zao wanawapigia debe waarifu eti Polisi hawasemi ukweli!!
Pole kwa Aman unayozani ipo kumbe woga

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
MKUU, hawa walisema mwanaume kuvaa hijabu si kosa. wanajua kinachoendelea ndo maana wanawatetea wahalifu. viongozi wasio na hatia wanauawa, hawaona kama ni tatizo. ila wakiuawa wanaume waliovaa hijabu na kukataa kutii amri ya polisi, utawasikia wanalalamika. NI AJABU!!

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app

duh!
so yule aliyeuliwa uhamiaji pale kurasini alikuwa kava aHijabu au ndevu zake ndio zilimponza?
 
Mie nimepata ukakasi sana kwani RPC alisema walimkamata jambazi 1 na baada ya mahojiano alikubali kwenda kuonyesha walipo wenzake. walipofika hao watu(majambazi) walianza kumimina risasi.
Kwa kesi za Kibiti inasemwa hawa WAUAJI hawaibi chochote zaidi ya kudhuru watu. HAPO NDIO NIMEBAKI NA MASWALI.
 
Rose Mayemba wewe binti una matatizo, peleka mgeni nyumbani kwako basi uone kama atapigwa risasi ?
Mmeishiwa hoja hadi mpo radhi kutetea wauaji, hivi kuna raia mwema yoyote anayeweza kurushia polisi risasi kama si jambazi ?

Majambazi wakiua watu Kibiti mnafurahia na kuanzisha nyuzi za kejeli, polisi wakiua majambazi mnaleta nyuzi za maswali ya kijinga kijinga, nyie ni binadamu wa aina gani mnaofurahia mauaji ?
Ni kweli siasa imewatoa hata utu tu wa kuheshimu uhai wa wengine ? Inaonekana amekosekana mtu wa kuwapa muongozo huko ndio maana mnaropoka ovyo ovyo.
Uu timamu kweli kichwani wewe? umesoma vzr alichoandika? Uwe na kawaida ya kusoma ukiwa umetulia ndugu.
 
kama majambazi waliouawa ni ndugu zako unakaribishwa katika postmortem halafu ukawazike kwa heshima.
Polisi ikishatangaza vita maana yake hakuna majadiliano ni action tu.
Hapa mtaani kwangu kuna wageni kibao sijaona wakiuawa na Polisi.
Wanaouawa ni Majambazi...na waendelee kuawa tu.
Mkuu hapo umekomelea jibu
watu wamekutwa na SMG mavazi ya kijeshi
watu wanatetea majambazi na magaidi
 
Yes the proof is available but not for share! How do we know you are not among them , please allow our intelligence and security systems to do their home work our main objective is to crack down the criminals
When the mission is accomplished every item will be available for you and others but now it is still premature

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Nice you have admitted proof is thr but not for sharing!!! then how are you sure its there??? if you are also not sure till then the motion from the thread still stands!!!! because no one here has been able to prove her wrong or at least sensitize us abt the connection btn the mwanza bandits and kibiti terrorists!!!!

motion still stands
 
Askari hiyo ndio kazi yao na wana ujuzi wa utambuzi, kama hawana ujuzi kwanini hawakukufuata wewe wakasema umetokea Kibiti? Kama wewe una utaalam zaidi kwa nini usijiunge za jeshi la polisi ili kuleta ufanisi zaidi? Tatizo jeshi linafanya kazi kwa umakini ili lisiharibu uwezekano wa kuwakosa wengine. Ikiwa wewe unahimiza wataje waliwajuaje unatia shaka, labda na wewe ni mhusika unataka kujua kuwa watawezaje kukupata? Kama sio mhalifu acha kazi ifanyike, ila ukiendelea kuhoji ambayo hata ukijua waliwajuaje haikusaidii unatia shaka kidogo
mkuu kelele nyingi ila mbona hamleti ushahidi au hata jinsi mlivyowafaham?? yaani hta hamtoe elimu mnaanza kejeli kma osama tu tulielezwa mwanzo mwisho walivyompata hao wa kibiti wana kipi cha maana sana wakati mmeshawaua??? si mseme tu ''Tulijua majambazi wa mwanza ni wale wa kibiti pia maana walikuwa wamefanya uhalifu weekend iliopita na walisafiri kwenda mwanza kwa ushahidi A B na C'' whats so hard???? eti oooh siri siri basi kma ni siri iweje waseme wameua wa kibiti afu hamtaki tuhoji si wangetunza siri na wenyewe!!!!!

Mleta mada bado ana hoja sana maana wote mmeshindwa kumprove wrong zaidi ya mipasho tu
 
Mkuu hapo umekomelea jibu
watu wamekutwa na SMG mavazi ya kijeshi
watu wanatetea majambazi na magaidi
nani aliyetetea??? tunajua kuwa ni magaidi sawa je connection ya kibiti ni ipi hilo ndilo swali la mtoa mada the rest mnakuwa hamsaidii kwa mipasho bora mtoe jibu au msubiri wajuaji waje ila sio lazma kucomment kma hufaham kitu
 
Uelezwe ww nani?
Unatuletea mambo ya Ben saanane wakat amejiteka.

Ww ukijua yatakusaidia nn?
Mambo yasiyokuhusu waachie wanaohusika nayo

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
kajiteka??? kwahiyo mwigulu nchemba alidanganya Bunge kuwa wanamtafuta na kuwa taarifa za kutekwa zipo verified ama?? bashe kadanganya?? mbona waliomba kamati iundwe walete ushahidi mkambwela walisema ushahidi upo kuwa aliomteka ni usalaam wa taifa mbona hamkumkamata kwa uchochezi??? mnakuja kukejeli tu humu so funny??

yaani kwenye kibiti mnaamini polisi afu kwenye flow meter,makinikia,makontena yaliyokwepa kodi sijui meno ya tembo ndio hamna imani na polisi hivi hii nchi nani katuroga
 
Back
Top Bottom