Mzee Kijana
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 1,442
- 1,145
Ww unahamu ya kuolewa bila shaka.. Jiangalie
Another instance of your stupidity and idiocy!!! Too childish and shameless!
Ww unahamu ya kuolewa bila shaka.. Jiangalie
Kama huamini ripoti zao basi nenda na evidence zako Wizara ya Mambo ya Ndani na pia unaweza hata kupitia kwenye media. Mbona wakina Zombe na Bageni waliumbuliwa, cha msingi uwe unasema ukweli.ok boss then can u prove beyind reasonable doubt that those criminals who where gunned down in mwanza are connected to the extermist terrorists who are causing havoc in kibiti??? do you have enough proof or its just hearsay from so called POLICE INTELIGENCE???
Kibiti imetuletea balaa!!!!!MUNGU NIPE HEKIMA NIONGEE KIDOGO KUHUSU WAUWAJI WA KIBITI.
Zipo taarifa kwamba kwamba wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza baada ya majibizano ya risasi na askari wetu.
Pia ziko taarifa kwamba akipatikana mtu mgeni kwenye eneo fulani kwa maana ya kwamba serikali ya eneo Hilo kutokumtambua basi atauwawa.
Kama taarifa hizi ndivyo zilivyo basi tunazo sababu za kujiuliza maswali mengi.
Kwamba, kama wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza kwenye majibizano ya risasi na askari, ni nani alitoa taarifa za uwepo wa watu hao Mwanza wakitokea KIBITI?
Je, aliyetoa taarifa ya watu hao kuwa wametoka KIBITI alizithibitihaje taarifa hizo na yuko wapi mpaka sasa?
Jeshi la Polisi linasema nini juu ya mtoa taarifa huyo ambaye kimsingi atalisaidia sana Jeshi letu la Polisi kufanya upelelezi?
Je, ni sahihi kwamba mtu yeyote mgeni kwenye eneo fulani anatakiwa kuuwawa? Na kama ndivyo mbona serikali yetu imekuwa na uoga wa kiwango hiki kwa wahalifu?
Je, hakuna namna nyingine ya kushughulika na wanaodaiwa kuwa ni wageni kwenye maeneo fulani zaidi ya kuwauwa?
Hii ni Tanzania ile ile tunayoisifia kwamba inaongozwa kwa misingi ya sheria?
KIBITI KIBITI KIBITI
MCHEZO WA SINEMA USIOTABIRIKA.
Haya ni mawazo tu lakini ya mjinga mmoja.
Kwa hiyo ukikimbia NDO UNAKUWA UNATOKA KIBITI..?? Kwani wa kibiti hawana vitambulisho?Sidhani Kama kuna agizo la kuua mgeni kwenye eneo Fulani huo ni upotoshaji na pili taifa lina intelijensia hivo kuwa trace Hao watu kuwa wametoka kibiti ni kazi ya intelijensia
Na ukiwa mgeni mahali sidhani Kama utapigwa risasi tu hapana utasimamishwa utahojiwa na kuulizwa vitambulisho Ndio utaratibu ila wewe ukisimamishwa ukaanza kukimbia na kurusha risasi lazima utauawa
Kama wale (majambazi) wafanya biashara wa ulangakama majambazi waliouawa ni ndugu zako unakaribishwa katika postmortem halafu ukawazike kwa heshima.
Polisi ikishatangaza vita maana yake hakuna majadiliano ni action tu.
Hapa mtaani kwangu kuna wageni kibao sijaona wakiuawa na Polisi.
Wanaouawa ni Majambazi...na waendelee kuawa tu.
Mkuu hatukatai na wala hakuna anaepinga kuuawa kwa majambazi hata kdg. wanachosema watu humu ni ile connection ya kibiti na Mza haijakaa sawa.Tatizo inayoongea ni Divisheni four ya kumi na nane, watu wana silaha na risasi... wananchi wema wametoa taarifa zikafanyiwa kazi ila kwa kuwa habari hasi ni mlo wako wa lazima kila siku huwezi kuona mema.....when the room is full of light clown like you pull down the curtain.....shameless evilView attachment 538735
Mkuu hatukatai na wala hakuna anaepinga kuuawa kwa majambazi hata kdg. wanachosema watu humu ni ile connection ya kibiti na Mza haijakaa sawa.
Kuja na matokeo ya mtu eti alipata div.4 ni ujinga, umbea na inaonyesha kuwa hukuelimika kabisa! kupata div 1 or 2 sio kwamba wewe ktk kila kitu utakuwa juu. Mfano huenda wewe una div 1 lkn kuleta matokeo ya mtu huku kisa ametoa maoni tofauti na wewe ni kuonyesha hujaelimika hadi leo.
Matusi nitakutukana maana sioni sababu ya kusema wanaume zenu. nitakutukana nifungiwe.mbona wale viongozi wanaouawa kibiti hamuwasemei huko UN, AU, na kwa waume zenu EU.
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Mimi siyo CDM, ni mpenda amani, haki. Huwezi kwenda kijijini ukaua watu eti kwa vile wauaji wametokea humo.Hao askari polisi na raia wanaouawa huko kibiti mbona wapinzani hamuendi kuwasemea huko UN, Au na Eu? Sahivi majambazi yameuawa mnataka kwenda kulalamika nyinyi chadema mna matatizo,,
Kweli mie ni 'mjinga' ila naona wewe ni 'mpumbavu'Wewe pia nina mashaka na akili yako, chapisho lake kwa mtu yeyote mwenye akili lazima atalidharau
"Pia ziko taarifa kwamba akipatikana mtu mgeni kwenye eneo fulani kwa maana ya kwamba serikali ya eneo Hilo kutokumtambua basi atauwawa" this is bullshit, malicious, misinformation and disinformation of highest degree wageni wapo kila sehemu
Kama taarifa hizi ndivyo zilivyo basi tunazo sababu za kujiuliza maswali mengi.
Kwamba, kama wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza kwenye majibizano ya risasi na askari, ni nani alitoa taarifa za uwepo wa watu hao Mwanza wakitokea KIBITI? "Kwa hio she wants police to reveal who gave them the information,?this is ridiculous"
Je, aliyetoa taarifa ya watu hao kuwa wametoka KIBITI alizithibitihaje taarifa hizo na yuko wapi mpaka sasa? "real this is ridiculous even FBI are never questioned or obligated to reveal that......... ever heard of witness protection policy?
Jeshi la Polisi linasema nini juu ya mtoa taarifa huyo ambaye kimsingi atalisaidia sana Jeshi letu la Polisi kufanya upelelezi?
"bunch of crap really ulitaka waseme nini?"
Je, ni sahihi kwamba mtu yeyote mgeni kwenye eneo fulani anatakiwa kuuwawa? Na kama ndivyo mbona serikali yetu imekuwa na uoga wa kiwango hiki kwa wahalifu? "rubbish malicious, ill intent, fear monger, wageni wangapi wameuwawa? karibu na kwako wageni wangapi wameuwawa? hapa shida nimegundua si elimu tu bali ni ujinga wa hali ya juu na wewe ukiwemo"
Je, hakuna namna nyingine ya kushughulika na wanaodaiwa kuwa ni wageni kwenye maeneo fulani zaidi ya kuwauwa?
"Wangeshughulikaje na armed bandits waliokutwa na silaha na risasi? Wangekuwa wageni raia wema wangekutwa na silaha au wangetiliwa mashaka na kuripotiwa?"
Hii ni Tanzania ile ile tunayoisifia kwamba inaongozwa kwa misingi ya sheria? "stupid arguments and facts lead to stupid conclusion and questions"
KIBITI KIBITI KIBITI
MCHEZO WA SINEMA USIOTABIRIKA. "So when these bandits kill our fellow countrymen you have the audacity to call this cinema? wtf? when kids have been orphaned by these bandits , bread winners killed, you call this a movie? rightfully I am very correct to despise her and all her faculties, she is indeed a failure to the Nation, a waste, and division four of 18 points is a glimpse of her mighty stupidness"
Na wewe uliyenijibu pia coz mtu akisema ujinga wewe ukaona ni akili basi nawe ni mjinga
Are you fully informed that these organs have only complimentary jurisdiction to the municipal legal systems?Hii indiscriminate killings inahitaji international attention! Upinzani achana na kusemea ndani, paza sauti UN, AU, EU etc, vinginevyo tunakwisha.
Mbumbumbu ni wewe, nadhani nakuzidi in all aspects of law and the like. I am not a politician, but an academician, a scientist with minimal interest in politics, but I read a lot of political publication and law ( by the way I am a part time scholar of law and therefore conversant with the very basics of law)There is no where I HAVE MENTIONED ICC IN MY POST!Are you fully informed that these organs have only complimentary jurisdiction to the municipal legal systems?
Do u know the ingredients, both contextual and substantive ones, which constitute international crimes?
And are you fully informed of the crimes under international law which, due to their nature, may attract international intervention?
Are you fully informed, to the best of your knowledge, of when and what is the international legal machinery which, either pro motu(sua moto) or by another person (juristic or natural), can intervene into a municipal situation of a State?
Nimekuuliza haya yote kwa sababu kuna wanasiasa kama wewe huwa, ama kwa kujua au kwa kutojua, wanaongelea suala la Ku - refer maswala yahusuyo kama vile uchaguzi was kisiasa (rigged elections) to the ICC!
Hatari sana kwa watu mbumbumbu kama nyie?
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
you are pathetic fool.....your brain is an average of an amoeba and protozoaKweli mie ni 'mjinga' ila naona wewe ni 'mpumbavu'