Ni kweli waliouawa Mwanza walitoka Kibiti?

Kawaida ya mtu mwenye narrow mind silaha yake kubwa ni matusi goodbyee

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Wala hujatukanwa ndiko mnakokimbiliaga kusema, tusi lipi hapo mkuu au kizunguzungu.ok by

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
MAMA
MUNGU NIPE HEKIMA NIONGEE KIDOGO KUHUSU WAUWAJI WA KIBITI.

Zipo taarifa kwamba kwamba wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza baada ya majibizano ya risasi na askari wetu.

Pia ziko taarifa kwamba akipatikana mtu mgeni kwenye eneo fulani kwa maana ya kwamba serikali ya eneo Hilo kutokumtambua basi atauwawa.

Kama taarifa hizi ndivyo zilivyo basi tunazo sababu za kujiuliza maswali mengi.

Kwamba, kama wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza kwenye majibizano ya risasi na askari, ni nani alitoa taarifa za uwepo wa watu hao Mwanza wakitokea KIBITI?

Je, aliyetoa taarifa ya watu hao kuwa wametoka KIBITI alizithibitihaje taarifa hizo na yuko wapi mpaka sasa?

Jeshi la Polisi linasema nini juu ya mtoa taarifa huyo ambaye kimsingi atalisaidia sana Jeshi letu la Polisi kufanya upelelezi?

Je, ni sahihi kwamba mtu yeyote mgeni kwenye eneo fulani anatakiwa kuuwawa? Na kama ndivyo mbona serikali yetu imekuwa na uoga wa kiwango hiki kwa wahalifu?

Je, hakuna namna nyingine ya kushughulika na wanaodaiwa kuwa ni wageni kwenye maeneo fulani zaidi ya kuwauwa?

Hii ni Tanzania ile ile tunayoisifia kwamba inaongozwa kwa misingi ya sheria?

KIBITI KIBITI KIBITI
MCHEZO WA SINEMA USIOTABIRIKA.
Haya ni mawazo tu lakini ya mjinga mmoja.
PUMBAVU MKUBWA WEWE ULITAKA POLISI WASEME BABA YAKO NDIYE ALIYEWAPA TAARIFA ?? KAMA TAARIFA ZA POLISI KWAKO NI UWONGO TUPE TAARIFA SAHIHI ULIZO NAZO ILI TUACHANE NA TAARIFA ZA POLISI SHETANI MKUBWA WEWE, WAGENI WANGAPI WAMESHAUAWA NA POLISI KWAKUWA NI WAGENI MAENEO HUSIKA WASIO WAHALIFU KAMA WEWE??? NAANDIKA HAPA NIKO BUKOBA NIMETOKA MBEYA SIJAONA HATA POLISI MMOJA ANAYEHANGAKA NA MIMI, LEO HII YULE MHALIFU ALIYESADIA KUPATIKANA KWA WAHALIFU NA SILAHA ZAO BADO UNASEMA NI UWONGO JE, UKWELI ANAO BABA YAKO?
 
Wala hujatukanwa ndiko mnakokimbiliaga kusema, tusi lipi hapo mkuu au kizunguzungu.ok by

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
I never argue with a fool

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
mkuu ngonjera kibao na kutuita akili ndogo ila sijaona popote unatupa kielelezo ni kivp wameprove hao walikuwa ndio wauwaji kibiti??? tunaweza kuwa akili ndogo labda kwa sababu hatujapewa taarifa za kutosha wwe unaleta tu mitazamo yalo cjui ooh intelijensua sijui safe heaven ila hujatupa verification

kwa faida ya sisi wote humu je ukiombwa utoe ushahidi kuhusu hayo yote unayodai unaweza kuutoa??? ni hayo tu
Tatizo upo against na serikali inayoyafanya kwa hiyo maelezo yeyote hayatokusaidia, kuna kazi kubwa na nzuri inayofanywa na majeshi yetu bila kuonea watu, kuna mtu alikimbia Kibiti akakamatwa Morogoro si mharifu ila alilimbia kwa usalama wake, alikamatwa na askari akahojiwa na wakathibitisha alipotoka akaachiwa. Kwa hiyo msione polisi hawajui kazi yao. Kama kura mtapata kwa njia nyingi tu, sio kubeza kazi zinazofanywa na majeahi
 
Aiseee!! Kumbe alikuwa mbunge!!?? Ndio mbunge gani mpumbavu kiasi hiki?
Hawa ndio wabunge njaa . na kiuhalisia wale wauaji wa kibiti wanaudhamini mkubwa sana . huyu bwege anatakiwa achunguzwe kwa ukaribu sana

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
kma ni mpumbavu je unaweza mprove wrong?? unaweza leta ushahidi wa hayo unayodai?? wwe ulie mwerevu tupe hapa connection ya hao majambazi wa mwanza na wauaji wa kibiti?? leteni ushahidi kwa faida ya sisi akili ndogo ila kupayuoa tu na kumtukana mtoa mada inakuwa haitusaidiii kabisa kma hamna ushahidi na nyie kaeni kimya wajuaji wa mambo watakuja kumprove wrong ila matusi hayana tija kabisa
 
Tatizo upo against na serikali inayoyafanya kwa hiyo maelezo yeyote hayatokusaidia, kuna kazi kubwa na nzuri inayofanywa na majeshi yetu bila kuonea watu, kuna mtu alikimbia Kibiti akakamatwa Morogoro si mharifu ila alilimbia kwa usalama wake, alikamatwa na askari akahojiwa na wakathibitisha alipotoka akaachiwa. Kwa hiyo msione polisi hawajui kazi yao. Kama kura mtapata kwa njia nyingi tu, sio kubeza kazi zinazofanywa na majeahi
Wale ni wahalifu hakuna anayekataa swali langu ni unaweza leta ushahidi wa hayo unayodai kuwa wametokea kibiti?? je mmegundua kwanni wanauwa watu kibiti au kuua mhusika ndio kumaliza tatizo??? leta ushahidi mkuu sio kutukejeli kma unatuona akili ndogo au tunapingana na serikali basi tuumbue kwa ushahidi ili tufumbe mdomo ila kejeli haisaidiii lolote
 
I never argue with a fool

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Ww tumia hata kireno au kiparestine nashanga kumbe mzungu unaingilia mambo ya watanzania puuzi kweli ww bichwa kubwa akili ndogo.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
kma ni mpumbavu je unaweza mprove wrong?? unaweza leta ushahidi wa hayo unayodai?? wwe ulie mwerevu tupe hapa connection ya hao majambazi wa mwanza na wauaji wa kibiti?? leteni ushahidi kwa faida ya sisi akili ndogo ila kupayuoa tu na kumtukana mtoa mada inakuwa haitusaidiii kabisa kma hamna ushahidi na nyie kaeni kimya wajuaji wa mambo watakuja kumprove wrong ila matusi hayana tija kabisa
Kama unajielewa na akili timamu utawezaje kutaka kujua taarifa za kiitelijensia wakat ww hauhusiki na fani hyo?

Usalama wa mtoa taarifa aliyethibitisha uwepo wa wauaji was kibiti mwanza utakuwaje iwapo itaelezwa kwa mbunge njaa kama huyu?

Ww pamoja na huyo nawaona ni wapumbavu kwasababu ww kama nani unataka upewe taarifa hizo wakati unaona wale majambazi wamekutwa na siraha na walikuwa wanajibizana na polisi kwa risasi??
Acheni ujinga kwenye mambo usalama wa nchi.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Jeshi.linalo handle hii ishu wamesema wanatoka kibiti wewe unayebisha prove otherwise

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Hahhahaah ndipo maswali yanapoanza!!! hao polisi mnaoamini intelijensia yao eti hawajui alipo saanane?? hawajui majangili wenye mtandao wa watu 42 kma alivyodai kikwete??? ndio wameshindwa kujua mpaka leo waliozima flow meter bandarini na kuwakamata?? wameshindwa kujua hata waliotorosha kontena za madini kwa miaka 17 eti mnaexpect ndio tukubaliane na so called INTELIJENSIA

msitulaumu ila shida ni historia ya intelijensia ya polisi hawaaminiki
 
Ww tumia hata kireno au kiparestine nashanga kumbe mzungu unaingilia mambo ya watanzania puuzi kweli ww bichwa kubwa akili ndogo.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
You are not my type

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Hahhahaah ndipo maswali yanapoanza!!! hao polisi mnaoamini intelijensia yao eti hawajui alipo saanane?? hawajui majangili wenye mtandao wa watu 42 kma alivyodai kikwete??? ndio wameshindwa kujua mpaka leo waliozima flow meter bandarini na kuwakamata?? wameshindwa kujua hata waliotorosha kontena za madini kwa miaka 17 eti mnaexpect ndio tukubaliane na so called INTELIJENSIA

msitulaumu ila shida ni historia ya intelijensia ya polisi hawaaminiki
Don't mix up issues man you are losing the focus, deal with the thread on table otherwise nobody can attend all these at once! Hope you get my point man!

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Kama unajielewa na akili timamu utawezaje kutaka kujua taarifa za kiitelijensia wakat ww hauhusiki na fani hyo?

Usalama wa mtoa taarifa aliyethibitisha uwepo wa wauaji was kibiti mwanza utakuwaje iwapo itaelezwa kwa mbunge njaa kama huyu?

Ww pamoja na huyo nawaona ni wapumbavu kwasababu ww kama nani unataka upewe taarifa hizo wakati unaona wale majambazi wamekutwa na siraha na walikuwa wanajibizana na polisi kwa risasi??
Acheni ujinga kwenye mambo usalama wa nchi.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Hii nchi bwana kwahyo mmeweka wazi kuwa muuaji wa kibiti ndio hao wa mwanza ila hamtaki kusema mmejuaje?? hahahhahahahah kma ni hivo basi swali la mtoa mada lina mashiko sana kma hakuna kati yenu anayeweza kuelezea kivp mtandao umejulikana basi kivp ssi tuwe wapumbavu nyie muwe waerevu???

yaani mnaamini taarifa za intelijensia ambazo zimeshindwa jua haya

ben saanane yukwapi
muuaji wa mvungi
waliozima flow meter
watoroshaju twiga
wakiochukua lumbesa stanbic
wauza madawa list ya makonda

afu eti leo mnaiaminu hii tena kwa kigezo cha msamaria mwema
 
Jeshi la polisi lifanye kazi yake kwa ueledi.Lisianze kututia hofu, hao watu wa kibiti walijipanga muda mrefu kwa hiyo jeshi letu na vyombo vya usalama viende kisomi zaidi.Hizi taarifa mara tumeua wanne, mara tumeua Mwanza hazitusaidii..Tunachohitaji mauaji ya Kibiti yakomeshwe!
Na tujue sababu hasa ya haya mauaji ni nini?

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Don't mix up issues man you are losing the focus, deal with the thread on table otherwise nobody can attend all these at once! Hope you get my point man!

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
ok boss then can u prove beyind reasonable doubt that those criminals who where gunned down in mwanza are connected to the extermist terrorists who are causing havoc in kibiti??? do you have enough proof or its just hearsay from so called POLICE INTELIGENCE???
 
Hii nchi bwana kwahyo mmeweka wazi kuwa muuaji wa kibiti ndio hao wa mwanza ila hamtaki kusema mmejuaje?? hahahhahahahah kma ni hivo basi swali la mtoa mada lina mashiko sana kma hakuna kati yenu anayeweza kuelezea kivp mtandao umejulikana basi kivp ssi tuwe wapumbavu nyie muwe waerevu???

yaani mnaamini taarifa za intelijensia ambazo zimeshindwa jua haya

ben saanane yukwapi
muuaji wa mvungi
waliozima flow meter
watoroshaju twiga
wakiochukua lumbesa stanbic
wauza madawa list ya makonda

afu eti leo mnaiaminu hii tena kwa kigezo cha msamaria mwema
Uelezwe ww nani?
Unatuletea mambo ya Ben saanane wakat amejiteka.

Ww ukijua yatakusaidia nn?
Mambo yasiyokuhusu waachie wanaohusika nayo

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Wale ni wahalifu hakuna anayekataa swali langu ni unaweza leta ushahidi wa hayo unayodai kuwa wametokea kibiti?? je mmegundua kwanni wanauwa watu kibiti au kuua mhusika ndio kumaliza tatizo??? leta ushahidi mkuu sio kutukejeli kma unatuona akili ndogo au tunapingana na serikali basi tuumbue kwa ushahidi ili tufumbe mdomo ila kejeli haisaidiii lolote
Askari hiyo ndio kazi yao na wana ujuzi wa utambuzi, kama hawana ujuzi kwanini hawakukufuata wewe wakasema umetokea Kibiti? Kama wewe una utaalam zaidi kwa nini usijiunge za jeshi la polisi ili kuleta ufanisi zaidi? Tatizo jeshi linafanya kazi kwa umakini ili lisiharibu uwezekano wa kuwakosa wengine. Ikiwa wewe unahimiza wataje waliwajuaje unatia shaka, labda na wewe ni mhusika unataka kujua kuwa watawezaje kukupata? Kama sio mhalifu acha kazi ifanyike, ila ukiendelea kuhoji ambayo hata ukijua waliwajuaje haikusaidii unatia shaka kidogo
 
Ukifuatilia maelezo yanayotolewa unaweza question elimu na weredi wa watoa taarifa.
 
ok boss then can u prove beyind reasonable doubt that those criminals who where gunned down in mwanza are connected to the extermist terrorists who are causing havoc in kibiti??? do you have enough proof or its just hearsay from so called POLICE INTELIGENCE???
Yes the proof is available but not for share! How do we know you are not among them , please allow our intelligence and security systems to do their home work our main objective is to crack down the criminals
When the mission is accomplished every item will be available for you and others but now it is still premature

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Police ndo wanajua kila kitu wacha wafanye kazi yao hizi story zinapita tu na lisemwalo lipo
 
Back
Top Bottom