Ni kweli waliouawa Mwanza walitoka Kibiti?

Ni kweli waliouawa Mwanza walitoka Kibiti?

MUNGU NIPE HEKIMA NIONGEE KIDOGO KUHUSU WAUWAJI WA KIBITI.

Zipo taarifa kwamba kwamba wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza baada ya majibizano ya risasi na askari wetu.

Pia ziko taarifa kwamba akipatikana mtu mgeni kwenye eneo fulani kwa maana ya kwamba serikali ya eneo Hilo kutokumtambua basi atauwawa.

Kama taarifa hizi ndivyo zilivyo basi tunazo sababu za kujiuliza maswali mengi.

Kwamba, kama wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza kwenye majibizano ya risasi na askari, ni nani alitoa taarifa za uwepo wa watu hao Mwanza wakitokea KIBITI?

Je, aliyetoa taarifa ya watu hao kuwa wametoka KIBITI alizithibitihaje taarifa hizo na yuko wapi mpaka sasa?

Jeshi la Polisi linasema nini juu ya mtoa taarifa huyo ambaye kimsingi atalisaidia sana Jeshi letu la Polisi kufanya upelelezi?

Je, ni sahihi kwamba mtu yeyote mgeni kwenye eneo fulani anatakiwa kuuwawa? Na kama ndivyo mbona serikali yetu imekuwa na uoga wa kiwango hiki kwa wahalifu?

Je, hakuna namna nyingine ya kushughulika na wanaodaiwa kuwa ni wageni kwenye maeneo fulani zaidi ya kuwauwa?

Hii ni Tanzania ile ile tunayoisifia kwamba inaongozwa kwa misingi ya sheria?

KIBITI KIBITI KIBITI
MCHEZO WA SINEMA USIOTABIRIKA.
Haya ni mawazo tu lakini ya mjinga mmoja.

Endelea kuwaza kuna siku utapatia!!!!
 
Hii indiscriminate killings inahitaji international attention! Upinzani achana na kusemea ndani, paza sauti UN, AU, EU etc, vinginevyo tunakwisha.
Ni waijibu wa yeyote anayeona tatizo apaze sauti siyo wapizani tu, wewe pia uawajibika.
 
Siamini na sitaamini kuwa kazi ya polis I imegeuka name kuwa kuua na kupachika kila inayemuua ni jambazi tena Wa kibiti. Aliuawa mwanafunzi Wa chuo,na wanaendelea kuuawa,.Polis I warudi kwenye mstari,yaani kulinda usalama Wa RAIA na kuwakamata wahalifu kwa mbinu yoyote ile na wafikishwe mahakamani si kuwaua
 
Rose Mayemba wewe binti una matatizo, peleka mgeni nyumbani kwako basi uone kama atapigwa risasi ?
Mmeishiwa hoja hadi mpo radhi kutetea wauaji, hivi kuna raia mwema yoyote anayeweza kurushia polisi risasi kama si jambazi ?

Majambazi wakiua watu Kibiti mnafurahia na kuanzisha nyuzi za kejeli, polisi wakiua majambazi mnaleta nyuzi za maswali ya kijinga kijinga, nyie ni binadamu wa aina gani mnaofurahia mauaji ?
Ni kweli siasa imewatoa hata utu tu wa kuheshimu uhai wa wengine ? Inaonekana amekosekana mtu wa kuwapa muongozo huko ndio maana mnaropoka ovyo ovyo.
mkuu kwanini usijibu swali je how sure are they kuwa wale ni wauwaji wa kibiti ??? wale wahalifu hakuna anayekataa swali je how can you verify kuwa ni wa kibiti
 
Inasikitisha,huu ni uoga uliopitiliza,watu wakamatwe wapelekwe mahakamani,wakithibitika wanyongwe
 
Kama unatishika endelea kuwapa ushirikiano taarifa muhimu kama unazo ili waweze kuuawa!
kwahiyo wakiwa kibiti hamuwezi wakamata ila wanakamatika wakiwa nje ya kibiti ndio wanaoenakana!!!! hivi maigizo haya yataisha lini??
 
hahahhahhahha hajakataa wauwaji ni majambazi au magaidi hoja yake ne je kivp wametokea kibiti???? kma ni intelijensia imejuaje wako nje ya kibiti afu wauwaji waliopo kibiti wasijulikane??? yaani kibiti hawapati kitu afu wakitoka nje ndio wanawajua!!!

embu kuweni serious mtoa hoja ana swali zito sana
Ngoja nikupe scenario ndio utaelewa swali lake is irrelevant. Polisi wameshakamata watu wengi tu wanaohisiwa ni wauwaji huko kibiti, katika mahojiano, wakagundua ni network ya wauwaji na kwasababu serikali ipo katika operesheni kali baadhi wameamua kukimbilia sehemu mbalimbali ikiwamo Mwanza na sehemu nyingine. Mfano harisi ni yule aliewapeleka polisi polini kuwaonyesha wenzao polisi wakaweza kuuwa hao wauwaji 2 kama ulikuwa unafuatilia taarifa ya habari. Sasa kama haya mauwaji yamekimbia labda polisi waka trace mawasiliano yao au labda wananyumba za kujificha "safe heaven" polisi wasifuatilie just because hao watu wamekimbilia Mwanza na hawako kibiti? ? Jamani mbona akili ndogo sana hapa? ? Kwanza human instinct hata wewe ukiiba ukaona huo mkoa ulioiba dora inakusaka kwa udi na uvumba akili ya Kwanza ni kukimbia mbali na tukio uende sehemu hawakujui kabisa ndio utahisi uko salama, unfortunately serikali ina mkono mrefu. Kama sijaeleweka basi shule za kata zitakuwa zimeleta madhara makubwa sana kwenye mfumo wa ubongo.
 
Sidhani Kama kuna agizo la kuua mgeni kwenye eneo Fulani huo ni upotoshaji na pili taifa lina intelijensia hivo kuwa trace Hao watu kuwa wametoka kibiti ni kazi ya intelijensia
Na ukiwa mgeni mahali sidhani Kama utapigwa risasi tu hapana utasimamishwa utahojiwa na kuulizwa vitambulisho Ndio utaratibu ila wewe ukisimamishwa ukaanza kukimbia na kurusha risasi lazima utauawa
Mkuu OSOKONI umemtendea haki mtoa mada. Sijui ni uandishi gani huu? Mtoa mada anaandika ili mradi aandike.
 
MUNGU NIPE HEKIMA NIONGEE KIDOGO KUHUSU WAUWAJI WA KIBITI.

Zipo taarifa kwamba kwamba wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza baada ya majibizano ya risasi na askari wetu.

Pia ziko taarifa kwamba akipatikana mtu mgeni kwenye eneo fulani kwa maana ya kwamba serikali ya eneo Hilo kutokumtambua basi atauwawa.

Kama taarifa hizi ndivyo zilivyo basi tunazo sababu za kujiuliza maswali mengi.

Kwamba, kama wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza kwenye majibizano ya risasi na askari, ni nani alitoa taarifa za uwepo wa watu hao Mwanza wakitokea KIBITI?

Je, aliyetoa taarifa ya watu hao kuwa wametoka KIBITI alizithibitihaje taarifa hizo na yuko wapi mpaka sasa?

Jeshi la Polisi linasema nini juu ya mtoa taarifa huyo ambaye kimsingi atalisaidia sana Jeshi letu la Polisi kufanya upelelezi?

Je, ni sahihi kwamba mtu yeyote mgeni kwenye eneo fulani anatakiwa kuuwawa? Na kama ndivyo mbona serikali yetu imekuwa na uoga wa kiwango hiki kwa wahalifu?

Je, hakuna namna nyingine ya kushughulika na wanaodaiwa kuwa ni wageni kwenye maeneo fulani zaidi ya kuwauwa?

Hii ni Tanzania ile ile tunayoisifia kwamba inaongozwa kwa misingi ya sheria?

KIBITI KIBITI KIBITI
MCHEZO WA SINEMA USIOTABIRIKA.
Haya ni mawazo tu lakini ya mjinga mmoja.
Uko sawa sana , nchi ndivyo ilivyo kwa ss ili watu wafe neno kibiti ni la kwanza mazara yake muda c mrefu he majambazi ka majambazi yameisha? na yanayotembea kwa ss ni is kibiti? MUNGU ndo ajuaye.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Sidhani Kama kuna agizo la kuua mgeni kwenye eneo Fulani huo ni upotoshaji na pili taifa lina intelijensia hivo kuwa trace Hao watu kuwa wametoka kibiti ni kazi ya intelijensia
Na ukiwa mgeni mahali sidhani Kama utapigwa risasi tu hapana utasimamishwa utahojiwa na kuulizwa vitambulisho Ndio utaratibu ila wewe ukisimamishwa ukaanza kukimbia na kurusha risasi lazima utauawa
Wepi watanzania wenye vitambulisho mkuu ni wachache sana hata walionavyo saa ingine hawatembei navyo intelijensia ipi kwa nchi hii mkuu au utetezi wa zero uliona?.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
kama majambazi waliouawa ni ndugu zako unakaribishwa katika postmortem halafu ukawazike kwa heshima.

Polisi ikishatangaza vita maana yake hakuna majadiliano ni action tu.

Hapa mtaani kwangu kuna wageni kibao sijaona wakiuawa na Polisi.

Wanaouawa ni Majambazi...na waendelee kuawa tu.
Sio kila jambo kulichukulia kirahisi ndugu, kuna siku atauawa ndugu yako na sidhani kama unaweza kukaa kwenye key board na kuandika ulichokiandika. Ni vema Vyombo vyetu vya usalama vikatoa Taarifa zisizotiliwa shaka na mtu yeyote ebu jiulize kuna ile orodha ya watu 10 iliyotolewa kuwa wale ndio wahusika wakuu na wengine hadi picha zao zimeonyeshwa kuwa wanatafutwa.
Hadi sasa Jeshi la Polisi limeishauwa watuhumiwa wanaodhaniwa kuhusika na mauaji ya Kibiti 12 yaani 6 wameuawa Kibiti na 6 kule Mwanza, Nafikiri ingependeza na kuvutua sana na kututia moyo sisi wananchi juu ya juhudi hizi za Jeshi letu tukufu kama tungefahamisha kati ya hao 12 waliouawa fulani na fulani ni miongoni mwa wale waliokuwa wakitafutwa hapo tungefurahia hizi juhudi na kulipongeza jeshi letu pasipo na mashaka yeyote.

Na Mwamvua Mwinyi,Pwani

JESHI la polisi mkoani Pwani ,limewabaini baadhi ya mtandao wa watuhumiwa wa mauaji yanayoendelea wilayani Mkuranga, Kibiti na Rufiji wapatao kumi na mbili akiwemo mwanzilishi wa mauaji Abdurshakur Ngande Makeo .

Aidha jeshi hilo linaendelea na msako kuwatafuta watu hao ambao wanne picha zao zimepatikana .

Akizungumzia hali ya kiusalama ya Mkoa kutokana na vitendo vya mauaji vinavyoendelea katika wilaya hizo ,Kamanda wa polisi mkoani hapo,Onesmo Lyanga ,alisema wanaendelea na mapambano na upelelezi kuwapata wahusika wote .

Alieleza ,jeshi la polisi limewabaini kwa majina na picha kwa baadhi yao .

Kamanda Lyanga ,aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni

  1. Faraj Ismail Nangalava
  2. Anaf Rashid Kapera
  3. Said Ngunde
  4. Omary Abdallah Matimbwa
  5. Shaban Kinyangulia
  6. Haji Ulatule
  7. Ally Ulatule
  8. Hassan Uponda
  9. Rashid Salim Mtulula
  10. Sheikh Hassan Nasri Mzuzuri
  11. Hassan Njame

Kamanda Lyanga ,alieleza kwamba ,Saidi Ngunde inadaiwa anaishi Ikwiriri na Omar Abdallah Matimbwa anaishi Dar es salaam ambapo picha zao wanazo pamoja na ya Faraj na Anaf .

Alieleleza wengine nane bado picha zao hazijapatikana hadi sasa .

“Jeshi letu limebaini hayo kwa kushirikiana na wasiri wetu huku tukiendelea na uchunguzi zaidi ” alibainisha .

Kamanda Lyanga alisema ,watuhumiwa hao ,wamegundulika kuwa hupendelea kutembelea maeneo ya kisiwa cha Simbaulanga ,kisiwa cha Saninga kijiji cha Nchinga .

Kamanda huyo ,alifafanua kijiji kingine ni cha Mfesini kata ya Nyamisati na maeneo mbalimbali ya wilaya za Kibiti ,Rufiji na Mkuranga.

Jeshi hilo linatoa wito kwa jamii kutoa ushirikiano kwa siri kufichua watuhumiwa kwani wanahatarisha hali ya usalama kimkoa .

Limetangaza bingo ya kumpatia sh. mil .tano yeyote atakaefanikisha zoezi hilo

Hivi karibuni jeshi hilo lilitangaza kuwa kuna mtandao wa majina ya wauaji 102 ambao wanawasaka hadi sasa ili kudhibiti vitendo vya mauaji vinavyotia hofu wananchi.

f756162d50a56ef109e6eee210179ddd.jpg

d23a3356bd20fd54f8a0a75bb0b7b760.jpg
 
Inasikitisha sana lakini mbona mmoja ametambuliwa ni muuza kahawa ktk maeneo yale?
 
Wepi watanzania wenye vitambulisho mkuu ni wachache sana hata walionavyo saa ingine hawatembei navyo intelijensia ipi kwa nchi hii mkuu au utetezi wa zero uliona?.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Hata Kama huna kitambulisho kusimama na kujieleza umetoka wapi unakwenda wapi nani mwenyeji wako etc hakuwezi kusababisha upigwe risasi

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Acha kumtisha. Yeye katoa maoni yake una hiyari ya kuyakubali au kuyakataa.
Basi mwambie baba yako na mama yako ndio wamwambie ukweli

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Rose, usalama wa RAIA hauko hivo unavosema. Ww ulishawahi kuwa mbunge tungetegemea uwe na uelewa mpana wa mambo lakin sio hivo.

Ukiangalia hali ilivokuwa kipindi cha kikwete utagundua kuwa waovu wengi walijijenga kipindi hicho. Na hapo namaanisha waovu wa kila aina. Wezi, mafisad wajambazi magaid nakadhalika nakadhalika.

Vita ya kupambana nao sio lelemama kama akili yako inavokutuma. Kule kibiti ni kama kulikuwa na kikosi kabisa cha majambazi au magaid. Ukikisambaratisha kile nacho kinasambaa kila kona ya nchi. Na ndo maana wengine wamekamatwa kule songea, wengine nachingwea, wengine mwanza, of course wengine watakuwa apo apo kibiti na hata dar na mikoa mingine.

Ni suala la kutumia tu akili ili uelewe kuwa hawa magaid sio wajinga kama nyie wapinzan mnavotaka ieleweke. Sasa kwa taarifa yenu hawa wote watakamatwa na kupotezwa wote. Jeshi letu sio la mzaha mzaha.
Aiseee!! Kumbe alikuwa mbunge!!?? Ndio mbunge gani mpumbavu kiasi hiki?
Hawa ndio wabunge njaa . na kiuhalisia wale wauaji wa kibiti wanaudhamini mkubwa sana . huyu bwege anatakiwa achunguzwe kwa ukaribu sana

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Na wewe unaona umeandikaa, yani akili yako inajichenga yenyewe, yani umeanza vizuri "wameuwawa baada ya majibizano ya risasi" Sasa kama umeandika mwenyewe walikuwa wanajibizana risasi na askari wetu ulikuwa unata wao askari wafanyeje? Cz kama wangekuwa raia wema wasingekuwa na sababu ya kuwarushia risasi polisi. Ukimrushia askari risasi it means you r ready to kill or being killed, isn't that logical? Haya umeongelea kuhusu wamejuaje wametoka kibiti? That's called intelligence. Marekani walijuaje Osama yupo Pakistan while Makao Makuu ya CIA yapo Virginia? Anyways ndio maana kwenye mitihani wengine wanapata division 1 na wengine Division 5. Ni mambo kama haya.

Mkuu kuna baadhi ya Watanzania ambao ni vigumu kuwaelewa - mleta mada ameanza na pre-amble nzuri akiwa na lengo la kuchoka akili za wasomoji kwanza, kumbe hidden agenda yake ni kujenga hoja ya kuwalahumu Polisi!! Sijui wanaishi Dunia gani - hawajui waharifi hawa ni tishio la usalama wa Taifa letu, wanacho kusudia ni kuvuruga amani yetu tuliyo zoea kwani wahenga walio sema vita haina macho ni wajinga, hapa wanajitia kubeza beza juhudi za jeshi letu la Polisi hawajali askali wetu wanavyo ji-sucrifice kwa ajili yetu - tuna roho za aina gani lakini - Taifa tunapaswa kushikamana na kusaidiana na Jeshi letu kutokomeza hatari inayo tunyemelea.

Hapa Polisi wanatumia diplomatic language wanapo sema wahusika ni waharifu, lakini deep down Polisi wanajua wana deal na kundi la type gani - binafsi sijali hata Polisi waki-shoot first na ku- ask questions later kwani najua Polisi hawakurupuki wana intelligensia mahili, kwanza naona kamanda aliye ongoza operation ya Mwanza ana huruma za Kipadri Padri ingekuwa vizuri kama jengo lingelipuliwa na anti tank missiles, hilo likawa fundisho kwa waharifu waliobaki kwamba crime does not pay.

Polisi wa Mwanza wamesema kwamba wame identify waharifu wawili kwamba wametoka Kibiti lakini watu wenye ajenda zao wanawapigia debe waarifu eti Polisi hawasemi ukweli!!
 
Hata Kama huna kitambulisho kusimama na kujieleza umetoka wapi unakwenda wapi nani mwenyeji wako etc hakuwezi kusababisha upigwe risasi

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
We?tena komea hapohapo hujawahi kutana nao hao watu harafu ukutwe hata una pesa,zahabu au madini ndo utawajua,omba mungu akusaidie ukutane nao tena uwe na kiasi siku hiyo ndo utakuwa ushuhuda wako.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
MUNGU NIPE HEKIMA NIONGEE KIDOGO KUHUSU WAUWAJI WA KIBITI.

Zipo taarifa kwamba kwamba wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza baada ya majibizano ya risasi na askari wetu.

Pia ziko taarifa kwamba akipatikana mtu mgeni kwenye eneo fulani kwa maana ya kwamba serikali ya eneo Hilo kutokumtambua basi atauwawa.

Kama taarifa hizi ndivyo zilivyo basi tunazo sababu za kujiuliza maswali mengi.

Kwamba, kama wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza kwenye majibizano ya risasi na askari, ni nani alitoa taarifa za uwepo wa watu hao Mwanza wakitokea KIBITI?

Je, aliyetoa taarifa ya watu hao kuwa wametoka KIBITI alizithibitihaje taarifa hizo na yuko wapi mpaka sasa?

Jeshi la Polisi linasema nini juu ya mtoa taarifa huyo ambaye kimsingi atalisaidia sana Jeshi letu la Polisi kufanya upelelezi?

Je, ni sahihi kwamba mtu yeyote mgeni kwenye eneo fulani anatakiwa kuuwawa? Na kama ndivyo mbona serikali yetu imekuwa na uoga wa kiwango hiki kwa wahalifu?

Je, hakuna namna nyingine ya kushughulika na wanaodaiwa kuwa ni wageni kwenye maeneo fulani zaidi ya kuwauwa?

Hii ni Tanzania ile ile tunayoisifia kwamba inaongozwa kwa misingi ya sheria?

KIBITI KIBITI KIBITI
MCHEZO WA SINEMA USIOTABIRIKA.
Haya ni mawazo tu lakini ya mjinga mmoja.
Chanzo cha taarifa yako ni ipi ? Chunga kuropoka kusije kuwa kitanzi.
 
We?tena komea hapohapo hujawahi kutana nao hao watu harafu ukutwe hata una pesa,zahabu au madini ndo utawajua,omba mungu akusaidie ukutane nao tena uwe na kiasi siku hiyo ndo utakuwa ushuhuda wako.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Na wewe kwa nini utembee na fuko la pesa au dhahabu mtaani? Hujui taratibu za kubeba vitu vya thamani Kama HVO??

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom