Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,009
- 74,643
Hebu tuache unazi kidogo tujadili jambo hili maana kesho ni jingalao au Chakaza anaweza kushambuliwa na hao magaidi/majambazi.Kama unatishika endelea kuwapa ushirikiano taarifa muhimu kama unazo ili waweze kuuawa!
Nachoshindwa kuelewa ni kuwa Polisi walizingira hiyo Nyumba na mapambano yakaanza. Wakaua sita na "wanasema" wawili wamekimbia. Wamekimbiaje toka Nyumba iliyozingirwa? Wamejuaje kuwa ni wawili tuu waliokimbia wakati wenzao hawakuweza kusema kwani wamewaua?
Ndio hapo woga unapotuzidia