Ni kweli 'single mothers' wengi hawana maadili?

Single mother wanamapenzi ya kweli na wavumilivu, ila tatizo ni kuwa usimuamini coz anaweza kuitomb.. muda wwte kwa mwanaume aliezaa nae, apo mm ndio wanaponirejesha nyuma
 
Hahah yani utoto unachekesha sana na hujui ndoa ni nini
Unaoa coz of uchi??uchi only?.
Hujui kuna kuzaa na kuzeeka?.,
Make it a complementary factor isiwe sababu moja tu ndoa itakushinda

Dada hujui lolote about a human male towards K!
Im a male,I know how males feel!
Kama K ni mbaya,my friend count men off!
Na K mbaya,you even do not know its meaning!
 
Single mother wanamapenzi ya kweli na wavumilivu, ila tatizo ni kuwa usimuamini coz anaweza kuitomb.. muda wwte kwa mwanaume aliezaa nae, apo mm ndio wanaponirejesha nyuma
Japo sio wote mkuu,, lkn huu ni udhaifu mkubwa sana walionao
Bado pia inategemea na historia ya uhusiano wao ilivokuwa kabla hawajaachana
 
Mi naona hali ya usingle mother haina uhusiano na maadili inategemea na asili ya mama mwenyewe kuna wengine wana waume lakin maadili yao hayako vzr.
 
Mama,

K uliyoipenda ujanani unazeeka nayo bila shida...

Wanawake wanaolewa kwa K kiwango eti. Ni sababu mojawapo!

Mfano mdogo tu,unajua kuna K ina-smell kwa kiwango cha juu naturally?Unalijua hilo?Hamna mwanamme halioni hilo!

Hata uwe na adabu vipi,kama k ina mapungufu makubwa kuolewa ni bahati my dear dada!

Waulize wanaume,wewe ni mwanamke huwezi lijua hilo.Na hua hawasemi lolote ni kimya!

Nakumbuka shost yangu mmoja ni age mate wangu siku moja akaniambia katika vitu vilikuwa vinamuuma akiwa msichana ni suala la mtu kumgonga mara moja tu halafu hamuulizii tena.''NILIKUWA NAJIULIZA AMEKUTA NINI HUKU CHINI JAMANI''
 
Hahaha kma vile ambavyo wanawake wanakaaga kimya kuhusu wanaume pia
Ushaambiwa una kibamia?au huna nguvu za kiume? Au p.umbu ndogo kuliko mboo au zina uvundo au u come quick? au ukishakojoa mara moja huwezi tena?..au mkojo mwepesi?
Hihihi kila mtu kimyaaaaaaa
 
Hahaha kma vile ambavyo wanawake wanakaaga kimya kuhusu wanaume pia
Ushaambiwa una kibamia?au huna nguvu za kiume? Au p.umbu ndogo kuliko **** au zina uvundo au u come quick? au ukishakojoa mara moja huwezi tena?..au mkojo mwepesi?
Hihihi kila mtu kimyaaaaaaa

Dada LadyRed,

Sio kwamba ni kwa upande mmoja tu....ni kwa pande zote mbili!

Usidhani nimeongea hivi ku-bash women...noooo pleaseee...ni kwa pande zote mbili....

Mwanamke hawezikubali kuolewa na mwanaume asiependa vitu vyake vya sirini....atafanyaa juu chini wa-break up tu...

Kuolewa ni mkataba wa maisha,huwa watu mnaangaliana mambo mengi!

Ni kwa pande zote,please relax!
 
Nakubali was js emphasizing ndoa is more than sex kuna compromise...a lot of compromise
 
huu uzi naweza kujikuta mwenyewe nipo upande wa singo maza
kwann?
single mother ukikaa nao vzr wanamengi sana ya kujfunza toka kwao, wanastory nzuri sana,,, tatzo ni jamii inawachukulia ndivyo sivyo
 
Nakumbuka shost yangu mmoja ni age mate wangu siku moja akaniambia katika vitu vilikuwa vinamuuma akiwa msichana ni suala la mtu kumgonga mara moja tu halafu hamuulizii tena.''NILIKUWA NAJIULIZA AMEKUTA NINI HUKU CHINI JAMANI''
Hakuwai kukwambia sababu ilikuwa nini hadi wampotezee?
 
Nakubali was js emphasizing ndoa is more than sex kuna compromise...a lot of compromise
Sana ndoa sio Sex pekee,,, ndoa imebeba siri nzito sana
Kuamua kuwa kitu kimoja tena kwa maisha na mtu mliyekutana nae tu ukubwani, haujui malezi yake utotoni, baadhi ya tabia zake haufahamu
 
Back
Top Bottom