ugisi za nzise
Member
- Oct 6, 2026
- 41
- 119
Ni hatari sana
Epuka single mother
Tuwe makini sana wazee
Epuka single mother
Tuwe makini sana wazee
Single mothers akili zao fyatu mkuu, kaa nao mbaliFictitious story anyway, but ina funzo.
Mimi nimeikuta huko IG na mhusika mwenyewe alikuwepo kwenye comment sectionHiyo story ni ya uongo. Mnatunga vitu ili kufanya single mother wachukiwe.
Lakini, katika kila uongo kuna chanzo chake na maana yake.Hiyo story ni ya uongo. Mnatunga vitu ili kufanya single mother wachukiwe.
Soma kichwa cha uzi mkuu 😁Lakini, katika kila uongo kuna chanzo chake na maana yake.
Aliyekuwepo kwenye comment section ni mtunga story au ambaye kakutwa na jambo?Mimi nimeikuta huko IG na mhusika mwenyewe alikuwepo kwenye comment section
Lisemwalo lipo mkuuHao ni wajinga hua wanatunga stori ili wapate wachangiaji, ila kuhusu single mother wana tabia hiyoo ukiona single mother ishi nae kimastar sana
Ni huyo singo maza mwenyeweAliyekuwepo kwenye comment section ni mtunga story au ambaye kakutwa na jambo?
Kichwa cha habari kimekaa kihitimisho zaidi kuliko kumuacha msomaji aamue lake.Soma kichwa cha uzi mkuu 😁
Hapa wahusika wanapewa taarifa tu, kwasababu tumeshawajua mambo yao tukiwasikiliza wataanza ngonjera zao kama kawaidaKichwa cha habari kimekaa kihitimisho zaidi kuliko kumuacha msomaji aamue lake.
KabithaaLisemwalo lipo mkuu
Kwamba, hakuna walio wema hata wachache tu?Hapa wahusika wanapewa taarifa tu, kwasababu tumeshawajua mambo yao tukiwasikiliza wataanza ngonjera zao kama kawaida
tukifanya utafiti, kati ya singo mothers 100 unaweza kuambulia wema watano au chini ya hapo, haina afyaKwamba, hakuna walio wema hata wachache tu?
Unaamini kila unachokutana nacho kwenye mitandaoMimi nimeikuta huko IG na mhusika mwenyewe alikuwepo kwenye comment section
Huwa wanakuwa wakorofi kwa sababu ya kutendwa na njemba zao za awali.tukifanya utafiti, kati ya singo mothers 100 unaweza kuambulia wema watano au chini ya hapo, haina afya
Siyo mtunzi?Ni huyo singo maza mwenyewe