thetruthtobetold
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 509
- 561
Sio kila single maza aliachwa wengine waliacha
even worse
Sio kila single maza aliachwa wengine waliacha
watoto n matunda tosha,tungekua matasa sidhan kama tungekua tunaongelewa dailyMna matunda gani sasa
OwkySingle mothers ni hatari...
I will never suggest for anyone to marry a single mother by any means neccessary!
Sasa sio kuzaa zaa hovyowatoto n matunda tosha,tungekua matasa sidhan kama tungekua tunaongelewa daily
Thread yako haina uhalisia 100%. Ukumbuke siyo single mother wote. Wengine walijitolea kwa kila kitu lkn mwisho wa siku wakazalishwa na kuachwa. Rudia kufanya utafiti upya ila ulichoandika hapa hakina uhalisia![]()
Povu Ruksaaa
Owky
Sana mkuu,,hayo maneno hata wazee wanashauri ivo,,, akisikia unaleta story za kudate au kumarry single mother lazma akutzame kwa jicho la hurumaSingle mothers ni hatari...
I will never suggest for anyone to marry a single mother by any means neccessary!
Thread yako haina uhalisia 100%. Ukumbuke siyo single mother wote. Wengine walijitolea kwa kila kitu lkn mwisho wa siku wakazalishwa na kuachwa. Rudia kufanya utafiti upya ila ulichoandika hapa hakina uhalisia
Mkuu hayaa maneno tu unasema kuwa utablock,, bt in real situation haipo ivo,, Ukwel unaujua vzrSio Kweli,na ujue hiyo inategemea mahusiano yalopta yalkuaje kama uliumizwa sana kihisia hata kumpa mtu mwngne chance inakua ngumu mno..na hlo swala et unajdai kumpenda mtto il umpate mamake inategemea pia unaeza ukafanya hayo af unapoleta tu issue za mapenz unaishia kua blocked..kwa Kweli achen kukariri sio wote warahis hvo
Wengi wamefikia hatua ya kuwasakama single mother kwa sbb ya ile ''YA WAO KUJILINDA DHIDI YA WANAUME WAKWARE NA HUWA NA MAHABA YA DHATI KWA WANAUME WALIOZAA NA ILA SIYO WOTE" Ila alichoandika mtoa thread hakina uhalisia wwte. Wapo single mother wazuri tu.Owky
So na ww unapita tu,, haujengi kibanda,, muonee hurumaKuna single mother mmoja nimekutana naye kama miezi mi3 sahz yupo poa sana full maadili, humble, mtulivu yaan alifanya tu mistake moja ikawa goal!
Baada ya jamaa kumpa mimba akamkataa kabsa, ingekuwa sina mchumba ningemuoa aisee
Uchi siyo tatizo. Unajua wanaume tulio na true love tunavumilia mengi sana mwisho wa siku unaamua kuondoka kimya kimya.Kuna tatizo atakua nalo.
Ataweza kua na kila kitu,tabia nzuri nk.Ila maybe uchi mbaya,etc.
Aisee kuna sababu muhimu sana.
Na pia hata kama akiwa hana tatizo lolote,basi inaonesha ana very poor sense of judgement about maisha yake.Ila kama mtu anataka kuoa mtu wa namna hiyo,hey you are free!
Uchi siyo tatizo. Unajua wanaume tulio na true love tunavumilia mengi sana mwisho wa siku unaamua kuondoka kimya kimya.