Ni kweli 'single mothers' wengi hawana maadili?

Ni kweli 'single mothers' wengi hawana maadili?

kuna dhana dunia inaanza kuikataa dhana ya "One blanket covers all" Huwezi kuwalaimu "Single Mothers" bila kuwajadili waliosababisha hali hiyo. Mwanamke anapenda saka kuolewa na kuishi katika familia yake zadi ya mwanaume anavyofikiril. Mateso na manyanyaso wanayokumbana nayo ndani ya ndoa zao ndio yanawafanya waishi hivyo Kwanini tuwe na single mothers na sio single fathers? Hapo ujue wanaume ndio wana tabia mbaya kuliko wanawake. Ulishasikia visa vya single mother kumbaka mwanae lakini vya single father kumbaka bintiye ni vingi zaidi.
 
ahsanteni Mungu awaongoze kila sehemu ni kunyanyapaliwa ila naamini ipo siku yataisha
 
Nilidate na dada mmoja single mama.. alikuwa mzuri, asee nilivutiwa nae.. ila kukaa nae mwezi mmoja alionesha tabia ambazo hafai kuwa mke japo siezi elezea.. japo alikuwa mwanamke mtafutaji mwenye bidii..
Apart na single mothers wengi kupambana kulea familia zao ila hili haliondoi uhalisia kuwa single mothers ARE NOT WIFE MATERIAL!
 
Ni kweli mkuu,, na hii sio kwa wote kuwa single mother hawafai,,, wapo wanaofaa ila ni wachache sana
 
narudia tena ni hao uliokutana nao! kuwa singo maza hakumbadilishi mtu tabia yake. shida yenu mnakutana na kina Mwajuma ndala ndefu mnafosi kujumlisha kila mtu humo hivi unajua kuwa singo mama ni choice? vinginevyo ningeweza kushikilia mahusiano yasiyo kuwa na kichwa wala miguu ili nipate kufurahisha wakina nyinyi ‘society’
Ni wew umeandika hapa au kuna mtu amekusaidia?
 
narudia tena ni hao uliokutana nao! kuwa singo maza hakumbadilishi mtu tabia yake. shida yenu mnakutana na kina Mwajuma ndala ndefu mnafosi kujumlisha kila mtu humo hivi unajua kuwa singo mama ni choice? vinginevyo ningeweza kushikilia mahusiano yasiyo kuwa na kichwa wala miguu ili nipate kufurahisha wakina nyinyi ‘society’
He he he et ni choice[emoji13] [emoji13] [emoji13] ..keel kila mtu anayo njia yake yakujufariji
 
Povu lako linaashiria kama vile na Wewe ni Singo Mazeri na bado unatafuta Mwanaume lakini pengine ' Karata ' zako bado hajizakubali. Hata Mimi ni Singo Faza pia kama vipi tutengeneza ' Kolabo ' na tupeane ushirikiano uliotukuka wa ' Kibaiolojia ' Mkuu.

Mkuu unavibweka na vituko sana.
baiolojia iliyotukuka
 
Back
Top Bottom