Ni kweli 'single mothers' wengi hawana maadili?

Ni kweli 'single mothers' wengi hawana maadili?

Wengi wamefikia hatua ya kuwasakama single mother kwa sbb ya ile ''YA WAO KUJILINDA DHIDI YA WANAUME WAKWARE NA HUWA NA MAHABA YA DHATI KWA WANAUME WALIOZAA NA ILA SIYO WOTE" Ila alichoandika mtoa thread hakina uhalisia wwte. Wapo single mother wazuri tu.
Mbona huwajawauliza kuhusu single father? Wanaume waliotelekeza familia wako wapi? Hebu waulize
Thank u
 
Mbona umejibu kinyonge namna hiyo my dear?

Sio vibaya kua single mother,ni kwamba tu chances za kua married sinakua slim ghafla like Eminem!
Sifikiri hayo Mimi na wala hayanipi headache,nachofikiri only kupambana na hali yangu bas!so nyie hata msemeje mineno yenu nachukulia poa tu
 
Sio kweli kwamba hawana maadili.

ILA WENGI WAO WANAMAUMIVU MAKALI.

sasa niwachache tu ambao wataingia katka mahusiano na akakupenda kweli kweli.
 
Hebu kua serious mzee MacMahon!

Tena kwenye Prison Break uliniua Wyatt Mathewson!Spy mkali kama McMahon hatakiwi kua namna hii!

Uchi ni ishu kubwa sana mzee.Kuna uzi humu jamaa alikua anaomba ushauri wa kumuacha mke wake maana dem alivunga sana mpaka kaolewa jamaa kuja kugusa dem ana maji kiama!Jamaa alikua anaongea kwa machungu sana na alikua anaonesha amechoka kabisa hawezi kuendelea na ndoa.

Ni very serious ishu mkuu!
Ndiyo maana ni kasema uchi siyo tatizo. Wanaume wenye akili na tunajua nn tunafanya tunatafuta tiba kwa ajili ya mke. Tatizo siku hizi wanadamu tunatafuta shortcut kuliko kupambana na matatizo ndiyo maana siku hizi mapenzi yametushinda.
Kwa mfano siyo kweli ila ni mfano tu wala usichukulie serious
Kwa mfano mke wako akipata ajali akapoteza miguu au mikono utamuacha?
Tatizo vijana wengi wanapenda shortcut sana
Pambano lako na Balor umejiandaaje?
 
Mmmh single maza inaumiza sana kichwa angu
 
Umemaanisha nn hpa?
Sidhan kama mtu amezaa mtto mmoja atakua amezaa hovyo badl kaul yako
kweli anayekuwa amezaa hovyo ni mwanaume. Mimi nina mwanamke kanizalia mtoto ila amekataa kuwa mke wa pili. Namtunza yeye na mtoto akipata wa kumuoa ruksa. Nampenda hadi kesho na angekuwa hana maadili asingeona kafanya jambo baya. Kuna wakati mazingira yanasababisha kuchepuka na hao wadada halafu mambo yanakolea ndom mnaacha anapata mimba anaona dhambi kutoa anazaa. Ni mrembo sana na hajachuja. Unaona zari ana wa 5 bado dogo kakomaa nae tu.
 
Back
Top Bottom