Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,048
- 3,417
Ukiona Gentamycine amekikubali kitu, ni lazima kiwe cha kweliii tuIla ni wepesi sana Kutongozeka na Kubaiolojika / Kungonolewa / Kubanduliwa / Kukanyagwa / Kutinduliwa / Kufanywa.
Ukiona Gentamycine amekikubali kitu, ni lazima kiwe cha kweliii tuIla ni wepesi sana Kutongozeka na Kubaiolojika / Kungonolewa / Kubanduliwa / Kukanyagwa / Kutinduliwa / Kufanywa.
Ukiona Gentamycine amekikubali kitu, ni lazima kiwe cha kweliii tu
Ni kweli yani alaf cjui kwann..me nnachowapendea zaidi wanaweza mbio ndefu..yan anaweza wakuhimili mikiki adi ukasema yeah im now okey.Single mother nawapenda hasa nikitingwa na genye.
Ni rahisi kuwatafuna kama msosi wa msibani!!!
Ukiongeza neno baadhi yao itapendeza do not includeSingle mother nawapenda hasa nikitingwa na genye.
Ni rahisi kuwatafuna kama msosi wa msibani!!!
Mkuu hizo mbio ni kujinadi tu!! Usije ukarogwaNi kweli yani alaf cjui kwann..me nnachowapendea zaidi wanaweza mbio ndefu..yan anaweza wakuhimili mikiki adi ukasema yeah im now okey.
Tukisema tunaambiwa tunahira,, mbona hatusemi juu ya MA single dad,, ila UKWELI ndo huu,, wengi wao wanakuwa wameathirika kisaikolojia wanakuwa wanatafuta sehemu yoyote ya kujshkizaMkuu hizo mbio ni kujinadi tu!! Usije ukarogwa
Ngoja nikusikitikie kisukuma mapema "Heeeeeeeeeh!!"
Kuna single mother mmoja alinambia anakuja kunitembelea nyumban nikamwambia bwana usije saivi mke wangu hayupo, akirudi ntakuambia ili uje mfahamiane.
Akadai wakati huo hatopata nafasi atakua busy hivyo aje wakati huo wakati nafas ipo.
Nikamwambia sina nauli, akasema anayo yeye.
Wakati huo tupo marafiki kawaida tu na anawasiliana na baba wa mtoto wake vizuri.
Nikaona nisionekane roho mbayonikamwambia wife kwa simu akagoma asije nae mpaka yeye wife akija ndio aje. Lakin yule dada alikata katakata!!
Wakati huo ndio nimetoka kuanza maisha nipo kwenye single room.
Ikabidi nimwambie aje nikiwa na matumaini ya Kulala kwa jiran yangu., na yeye mtoto ananyonya japo Alikuwa mkubwa kidogo. Lengo la kumwambia aje ni kuogopa kuvunja urafiki wetu wa mda mrefu na kuonekana roho mbaya.
Na ilinibidi nimfiche wife kwa kumwambia kukubaliana kutokuja.
BWANA eee akaja siku ya kwanza naenda kulala kwa jiran aliekuwa single, kumbe kavuta demu bhana, mbaya nilienda nimechelewa!!
ikabidi nirudi tukalala wote kitanda kimoja siku mbili bila tatizo, siku ya Tatu alinikanyaga kwa mbaaali nikiwa bado niko macho!! daaaaah hisia zikaja nikasigea tukamaliza kazi halafu ndio tukaanza kuongea what happened!
Nasimulia kama vile napenda, BIG NOT!!
Alimwachisha mtoto kunyonya usiku uleule, na tukaendeleza mchezo.
Bila kujua kumbe alikuwa kanitegea ndio maana aling'ang'ana Kuja!!alidaka mimba yangu na mpaka hivi sasa Ana mtoto wangu bila wife Kujua, na mzazi mwenzie hajui alimkwepa mbaya hadi kajifungua, ndio akaenda wakaonana akiwa amemwacha mtoto wangu ndan bila kujua!!
Ilinibidi nihamie mbaaali Kwenda kupanga chumba nikihofia majirani watamwambia mke wangu Akija.
Bahat kodi ilikuwa mwishon.
Sasa hadi leo japo natao support kimya kimya kwa mtoto ila nimemchukia Sana yule dada.
Mtoto Ana miezi mitatu hadi Sasa wakati mke wangu ndio kwanza mjamzito.
Nimejaribu kufupisha stor ila ni ndefu Sana.
Lengo la kushare ni kuonesha kwamba single mother hawaonewi wanavyosemwa ni kweli kabisa hawa watu [emoji21] [emoji21]
Poleni wakina mama. .mlioachwa ...japo mnaa act km mabinti ..niwakumbushe tuu nyie tayari n mamaMti wenye matunda ndo upigwao mawe
Utawatetea sana wenzako lakini ukweli uko pale pale. . ukishazalishwa na kuachwa huwa MNA athirika sana kisaikologiaSio Kweli,na ujue hiyo inategemea mahusiano yalopta yalkuaje kama uliumizwa sana kihisia hata kumpa mtu mwngne chance inakua ngumu mno..na hlo swala et unajdai kumpenda mtto il umpate mamake inategemea pia unaeza ukafanya hayo af unapoleta tu issue za mapenz unaishia kua blocked..kwa Kweli achen kukariri sio wote warahis hvo
OwkyUtawatetea sana wenzako lakini ukweli uko pale pale. . ukishazalishwa na kuachwa huwa MNA athirika sana kisaikologia
Alokataa nan kwamba n wamama n nan mpaka utukumbushe???ni wa mama ndiyo ndo mana tunaitwa mama fulan..Poleni wakina mama. .mlioachwa ...japo mnaa act km mabinti ..niwakumbushe tuu nyie tayari n mama
ni hao wachache ulokutana nao usitake kujumlisha kila mtu. kuwa singo maza haimaanishi we ni luzi bol hiyo ni tabia ya mtu husikaSana mkuu,,,tyl mambo yanakuwa yeshawachanganya so kla mwanaume anaekuja mbele yake anamwamwini mwsho WA sku anamvulia sketi
Hahah yani utoto unachekesha sana na hujui ndoa ni niniHebu kua serious mzee MacMahon!
Tena kwenye Prison Break uliniua Wyatt Mathewson!Spy mkali kama McMahon hatakiwi kua namna hii!
Uchi ni ishu kubwa sana mzee.Kuna uzi humu jamaa alikua anaomba ushauri wa kumuacha mke wake maana dem alivunga sana mpaka kaolewa jamaa kuja kugusa dem ana maji kiama!Jamaa alikua anaongea kwa machungu sana na alikua anaonesha amechoka kabisa hawezi kuendelea na ndoa.
Ni very serious ishu mkuu!