Ni kweli 'single mothers' wengi hawana maadili?

Ni kweli 'single mothers' wengi hawana maadili?

Inategemea Ntu na Ntu.



Ila ukweli ni huo GENERALLY singo maza wengi maadili hawana.... Bila kujalisha aliacha au aliachwa....tena akiwa katika huu umri wa 19-39 ,, tena awe na mtoto chini ya miaka 10 ...

Wanakujaga kua wakubwa wakifikisha miaka 45 ambao watoto wao wamekua wakubwa kiumri
 
Back
Top Bottom