Ni kweli 'single mothers' wengi hawana maadili?

Kumbe hujaacha ushoga toka siku ile tukukalishe kikao ukasema utaacha naona imeshindikana

Mkuu yameshakuwa haya tena? Kumbe aliyekuzalisha hakukosea Kukuacha / Kukutema / Kukutupa / Kukucheua / Kukubwaga / Kukutosa / Kukukinai.
 
Za uso zinakuja pale unapo kubali kuwa na mmaza na anakuweka kwenye himaya yake unakuwa kama una lelewa mkuuu
Sana mkuu,,,ila ujue single mother hasa yule mwenye elimu na pia akajaariwa kupata Ajira akamudu life na kumpeleka mtt skul,,huwa wanaact km life wamelipatia tatzo lnakuja kwenye suala zima la kuliwa hapo ndo stress huwa full,, unaweza kukuta single mother WA dzain hyo analiwa na vibenten maana anataka mwanaume wa kumcontrol,, end of day anakuwa mtu wa kuliwa na kupigwa chini
 
Hapo ndo huwa wana feli kwasababu kule kutumika anajikuta anajazwa tena na kabenten kana jali mda na kuachiwa kifurushi kingine bila hata kujua amekipata kwa mikakati gani na hatimaye hajui unakuwa kama kamche ambako hakana mwisho
 
Kamchezo ambako hakana mwisho endless game
 
Ahahaha eti kamchezo mwsho wanafika watatu,,dingi tofauti
 
Hapo ndo huwa wana feli kwasababu kule kutumika anajikuta anajazwa tena na kabenten kana jali mda na kuachiwa kifurushi kingine bila hata kujua amekipata kwa mikakati gani na hatimaye hajui unakuwa kama kamche ambako hakana mwisho
Halafu wanahasira Hawa usipime
 
Uzuri wao ukionesha unampenda mwanae tu,,kama unamsukuma mlevi,, game unapewa kiulaini tena unapanga na ratiba,,,
 
Hakuna mwanamke mrahisi wakat wa kutongoza km single mother,,, na Wanaume tushawajua huwa tunaelekezea Nguvu nyingi kwa mtt wake,, vizawad vya hapa na pale,, mwsho wa siku mtu akishamvua sket anakaa juu
Sio Kweli,na ujue hiyo inategemea mahusiano yalopta yalkuaje kama uliumizwa sana kihisia hata kumpa mtu mwngne chance inakua ngumu mno..na hlo swala et unajdai kumpenda mtto il umpate mamake inategemea pia unaeza ukafanya hayo af unapoleta tu issue za mapenz unaishia kua blocked..kwa Kweli achen kukariri sio wote warahis hvo
 
Back
Top Bottom