Kwanza ni nani angethubutu hata kama ingekuwa ni utani!?Dah..kila kitabu na dhama zake... Wiki mbili zilizopita mwenyewe angeambiwa hivi asingeelewa mtu..
Mimi sijapingana nae mkuu, nimeandika kuwakumbusha watu kwamba every thing under the sun is temporalyAgizo hilo linatakiwa liwe la nchi nzima na litekelezwe mara moja kwani wewe unataka picha ya marehemu iendelee kubaki ukutani ya kazi gani?
Unaonea wivu maiti!!???Ukishalibakiza ofisni hiyo picha ya Magufuli,picha ya Samia suluhu hasa utaiweka wapi?au mnataka tuchafue tu ofisi zetu na mapicha mengine ya ajabu
Watakuwa wamemwonea huyo RAS, hebu fikria tukae na li picha la marehemu anayeitwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati tuna Rais mwingine hiyo imekaa akilini kweli? Tena wamezichelewesha, zilitakiwa zitoke siku hiyo hiyo aliyodanja!Who is RAS.....hii habari haikutakiwa kuletwa kipindi hiki cha maombolezo.......
kwa heshima walitakiwa watoe kimya kimya...
atumbuliwe huyu RAS
Mapicha Kama yale ya nini Tena jamani?Unaonea wivu maiti!!???
Ana kihere here huyo RAS......Watakuwa wamemwonea hugo RAS, hebu fikria tukae na li picha la marehemu anayeitwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati tina Rais mwingine hiyo imekaa akilini kweli? Tena wamezichelewesha, zilitakiwa zitoke siku hiyo hiyo aliyodanja!
Ukweli ubaki kwamba Magufuli ni marehemu full stop! Picha zake hazina maana tena kwenye ofisi za serikali!Ana kihere here huyo RAS......
atumbuliwe tu
Unadhani aliyepo atapenda hayo yaliyofanyika!!?Ukweli kubaki kwamba Magufuli ni marehemu full stop! Picha zake hazina maana tena kwenye ofisi za serikali!
mbona za baba wa taifa zipo kwenye kuta au yeye siyo marehemu?agizo hilo linatakiwa liwe la nchi nzima na litekelezwe mara moja kwani wewe unataka picha ya marehemu iendelee kubaki ukutani ya kazi gani?
Ulishasema Baba wa taifambona za baba wa taifa zipo kwenye kuta au yeye siyo marehemu?