Private shule nzuri huwa hawataki kabisa mwanafunzi asome tuition inamchanganya mtoto .shule anafundishea hivi tuition vile.Mshauri huyo mjomba wako hizo pesa za kumsomesha private azielekeze kwenye kumsomesha tuition kwa sana.
Unforgetable
BTW kwa nn aende private? Shule za advance za government zinafanya vzr sana. Pia advance huwa ni wewe mwenyewe plus tuition kwa sana.
Mshauri huyo mjomba wako hizo pesa za kumsomesha private azielekeze kwenye kumsomesha tuition kwa sana.
Unforgetable
mimi O Level nilisoma private na A Level serikari ila sijapata mkopo na pia marafiki zangu wengi niliosoma O Level nao hawajapata labda uwe yatima au mlemavu unaweza ukapata
Priority haipo Siku hiziHiyo ya priority course sijui kama inafanya kazi. Mimi mdogo wangu
alisoma engineering na hakupata mkopo.
O' level alisoma private alisomeshwa na shirika na advance alisoma private na alisomeshwa na mtu baada ya kuona ana uwezo darasani Ila hana mtu wa kumsomesha advanced level.
Labda niseme maskini huwa hakopesheki husaidiwa bure.Kama seriksli inataka kusaidia watoto maskini isasomeshe bure kuwakopesha Ni kuwaonea mokopo wapewe watoto wa Wenye uwezo ili pesa zirudi wakimaliza.Chukulia mtoto wa mwenye uwezo.mfano kadomeshwa na Mzazi wake anamaliza chuo anaajiriwa yeye Hana Deni hata moja hivyo.mshahara mnono wote wake ,maskini aliyekopeshwa Alianza kazi anaanza na madeni makubwa ya mkopo.wa elimi ya juu anaanza maisha ya mateso kuanzia Mwezi anaoajiriwa.Mwenzie anatembea kitua mbele hadaiwi hata Mia.Serikali isomeshe bure tu hai watoto wa maskini siprndi binafsi kitendo Cha kuwakopeshaKma mnajua hamuwez kumudu gharama za chuo mpelekeni gov
Labda niseme maskini huwa hakopesheki husaidiwa bure.Kama seriksli inataka kusaidia watoto maskini isasomeshe bure kuwakopesha Ni kuwaonea mokopo wapewe watoto wa Wenye uwezo ili pesa zirudi wakimaliza.Chukulia mtoto wa mwenye uwezo.mfano kadomeshwa na Mzazi wake anamaliza chuo anaajiriwa yeye Hana Deni hata moja hivyo.mshahara mnono wote wake ,maskini aliyekopeshwa Alianza kazi anaanza na madeni makubwa ya mkopo.wa elimi ya juu anaanza maisha ya mateso kuanzia Mwezi anaoajiriwa.Mwenzie anatembea kitua mbele hadaiwi hata Mia.Serikali isomeshe bure tu hai watoto wa maskini siprndi binafsi kitendo Cha kuwakopesha
Kma mnajua hamuwez kumudu gharama za chuo mpelekeni gov
Maan priority inaanza kwa wale waliopiga gov kwa sabab tunaamin wanahitaj back up
Kweny suala la koz ni hvyo hvyo hata kma umesoma priority kozi za serikal kama umesoma private school tutakupunguzia mkopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli kwamba hawaendi serikali eti kwakuwa.huwapa wengine nafasi ukweli ni kwambaPrivate shule nzuri huwa hawataki kabisa mwanafunzi asome tuition inamchanganya mtoto .shule anafundishea hivi tuition vile.
Ila hili la bodi kupendelea wanaosoma shule za Serikali Lina madhara makubwa Sana nitatoa mfano .Shule za msingi za private ndizo hufaulisha Sana watoto kuliko za Serikali.Hivyo wengi huchaguliwa kwenda shule za sekondari za Serikali Lakini huwa hawaendi wanaamua kwenda sekondari za private.Wakienda huwapa nafasi wale ambao wasingeenda sekondari kuchukua nafasi zao.sasa Kama bodi inapendelea wa sekondari za Serikali Hawa wanasoma shule za msing priivate wakiamua kuwa tunaenda soma za Serikali ili tupate mikopo mbeleni kundi kubwa la watoto maskini litakosa elimu ya sekondari.
Tunahofia kutokana na matokeo yake kuna uwezekano mkubwa mtoto akapangiwa tena shule za day hapa hapa Dar. Mfano Jangwani, Kibasila, Benjamin Mkapa nakadhalika.
Sasa huyu binti kwa kweli amechoka sana kusoma day Dar. Purukushan za usafiri kutoka Tegeta au Bunju mpaka posta kwenda kurudi. Ukizingatia PCB mzee sio mchezo.
Na tukisema tusubiri apangiwe Day kisha tumfanyie uhamisho usumbufu wake sio mchezo kupata shule ya boarding.