Ni kweli, Lowassa alipora kiwanja cha KKKT Mbezi Beach!

Nimepata hii toka kwa Askofu mmoja mstaafu na kutoka idara ya miliki ya kkt, ni kuhusu kiwanja kilichojengwa kanisa la KKT Mbezi Beach. Kiwanja kile waliuziwa na TBL kwa msukumo wa mzee Arnold Kilewo mkurugenzi TBL wakati huo.

Wakati huo Lowassa alikuwa Waziri wa Ardhi. Kwa kutumia wadhifa wake huo, alilizimisha kiwanja kile kikagawanywa mara mbili, yeye akajimilikisha sehemu na nyingine ikabaki kwa kanisa. Kwa ushahidi, ni kuwa sehemu aliyojimilikisha ndiyo amejenga supermarket anayomiliki yeye na Adam kimbisa.

UFISADI KWA HUYU MZEE ULIANZA ZAMANI

-----------
On JF - July 11, 2011

acha upuuzi we nani kulisemea kkkt.wivu wa kijinga huo
 
Eneo la kiwanja alilopora ndipo palitakiwa kujengwa makazi ya Askofu mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, michango ya ujenzi ilianza kukusanywa na michoro ya jengo ilikuwa tayari kwa ujenzi kuanza, uporaji wa huyu mzee ukasimamisha kila kitu.
 
Nimepata hii toka kwa Askofu mmoja mstaafu na kutoka idara ya miliki ya kkt, ni kuhusu kiwanja kilichojengwa kanisa la KKT Mbezi Beach. Kiwanja kile waliuziwa na TBL kwa msukumo wa mzee Arnold Kilewo mkurugenzi TBL wakati huo.

Wakati huo Lowassa alikuwa Waziri wa Ardhi. Kwa kutumia wadhifa wake huo, alilizimisha kiwanja kile kikagawanywa mara mbili, yeye akajimilikisha sehemu na nyingine ikabaki kwa kanisa. Kwa ushahidi, ni kuwa sehemu aliyojimilikisha ndiyo amejenga supermarket anayomiliki yeye na Adam kimbisa.

UFISADI KWA HUYU MZEE ULIANZA ZAMANI

-----------
On JF - July 11, 2011

Udini, wangefanya waislam haya pasingetosha hapa
 
watanzania wengi tu ni wapuuuzi sana eti mtu anakwambia "mi nita mchagua Lowasa ingawa ni mwizi sana, lakinini mchapa kazi" kwahiyo ata wanaomkubalu huyu bwana wana jua jama ni mwizi vibaya mno...lakini tatizo njaa mbaya, ukihongwa kidogo unaachia kila kitu mpaka visivyo achiwa
 
Nimepata hii toka kwa Askofu mmoja mstaafu na kutoka idara ya miliki ya kkt, ni kuhusu kiwanja kilichojengwa kanisa la KKT Mbezi Beach. Kiwanja kile waliuziwa na TBL kwa msukumo wa mzee Arnold Kilewo mkurugenzi TBL wakati huo.

Wakati huo Lowassa alikuwa Waziri wa Ardhi. Kwa kutumia wadhifa wake huo, alilizimisha kiwanja kile kikagawanywa mara mbili, yeye akajimilikisha sehemu na nyingine ikabaki kwa kanisa. Kwa ushahidi, ni kuwa sehemu aliyojimilikisha ndiyo amejenga supermarket anayomiliki yeye na Adam kimbisa.

UFISADI KWA HUYU MZEE ULIANZA ZAMANI

-----------
On JF - July 11, 2011

Siyo kuwa KKKT walimfata awafadhili kukinunuwa akakubali kuwa atakinunuwa na kuwapa bure nusu ya kiwanja?

Hebu muulize tena huyo aliyekupa hizi habari, vipi kiwanja wapewe KKKT Lowassa akikate nusu? walikuwa wamelala?
 
Walale nini? Lugha gani hii Mpenzi unatumia kwenye majukwaa ya Siasa? Tena mchana kweupe mwezi wa Ramadhani?

BTW: Pasco , hebu tolea hili swala ukweli maana huyu SHEMEJI yako FF anazungusha tu habari.

Una hamu?
 
Back
Top Bottom