Ni kweli Kiarabu ndio lugha pekee ya Peponi?

Ni kweli Kiarabu ndio lugha pekee ya Peponi?

Sisi hatuendi mbinguni kut*mbana. Sisi tunaenda mbinguni Kumwabudu Mungu. Ndivyo Biblia inatuambia.

1. Pepo ya Biblia ni ya kwenda kumwabudu Mungu peponi
2. Pepo ya Quran ni ya kwenda kut*mbana na kunywa pombe.

See the difference.
Pepo ya kwenda kufanya ushenzi au uchafu.
 
Asalaam Aleykhum warahmatullah Wabarakatul....!

Wadau hasa Waislam (Ndugu katika Imaan) naomba kujuzwa kuwa ni kweli Kiarabu ambacho kilitumika katika Quran iliyoshushwa na katika Hadith ndio pekee itatumika Peponi?

Hii ni kwasababu kuna Ustadh mmoja huwa anasisitiza Waislam waache kusoma lugha zingine na badala yake wasome Kiarabu ambacho ni Lugha ya Peponi

Aidha leo katika ukurasa wa Twitter nikaona Mdau mwingine akisisitiza hilo.
View attachment 2310321
Dhana ya pepo ni roho sio mwili
 
Ukiamini hili,ukapimwe akili
 
Yaani utadhani ameshafika huko. Yaani bana mwafrika kwa kweli mpaka naumia kuishi afrika. Inakuwaje Hawa jamaa mangozi ya nguruwe wakatufanya ivi lakini.
Inabidi waafrika tuamke sio lazima uitwe John kuwa ndio utaiona pepo. Pia na wao wanaitana majina ya Marehemu zao sema sie tunaaambiwa haifai
 
Uislamu ni mila na desturi za waarabu na ukristo ni mila na desturi za wazungu, wachina wana mila na desturi zao inaitwa juche, wajapan wana mila na desturi zao, waafrika walikua na mila na desturi zao za ibada na ilikua kuomba Mungu watu hukusanyika chini ya mrumba au mti mkubwa na kufanya ibada ikiwamo kuwaomba wazee waliotangulia ili mambo yafunguke kama ilivo kwa waroma wanavowaomba watakatifu wao waliokufa wawaombee ( mtajatifu michael utuombee) , kwahiyo walipoingia waarabu na wazungu ili kuhalalisha mila zao ili watutawale vizuri ikabidi mila zetu waziite za kichawi, kishirikina, mizimu na kadhalika nasi tukakubali ikaishia hivo, tukawa watumwa wao rasmi, ndio maana watu wajanja huomba kimya kimya hata ndani wakiwa wametulia, mazezeta ndio kama hao kutwa kanisani na misikitini, kutwa kwa mwamposa, yaani Mungu awaumbe kwa mfano wake , halafu apeleke imani kwa watu wengine, halafu wale watu ndio wawaletee ninyi hiyo imani ili muifuate!
 
Kwa kua zilikua tamaduni ndio sasa waarabu wakapata soko la kanzu na baraghashia, baibui na hijabu, na wazungu wakapata soko la kudumu kwanza la mitumba yaani zawadi walizowaletea wa umini wao ilikua mitumba na kuwagawia wavae hivo hadi leo wazungu huleta mitumba kuuza,
 
Weusi tulikua na elimu yetu ya vitendo, wakaamua kuiua makusudi ili tuwe wajinga wakaleta madarasa, unapotezewa miaka 24 darasani halafu hupati chochote kijana hajifunzi kuwinda, hajifunzi kufua vyuma kama zamani, hajifunzi kulima chakula cha kutosha, yaani bendera fuata upepo wakati wao elimu ya vitendo wanayo hadi leo, messi na ronaldo walifunzwa mpira tu toka wadogo na wanaheshimika sana kwao, leo mweusi akisema hana cheti cha shule lakini anaweza kutengeneza ndoo ya chuma au sufuria hatumuheshimu kasumba hiyo
 
Na ukikuta mazezeta wanavibishana juu ya hizo dini ndio utajua sii waislamu au wakristo wengi wao wamechanganyikiwa kabisa
 
Pinga kwa Facts.
Leta ukweli unaoujua wewe. Nenda hata Google ukitaka.

Huko madrasa huwa mnadanganyana kuwa uislam ndiyo dini kubwa duniani?

Toka uislam uanzishwe kipindi cha mohamad karne ya 7, Uislam HAUJAWAHI kuwa dini ya kwanza kwa ukubwa.

Ukristo ulikuwa na umeendelea kuwa ndiyo Dini yenye idadi kubwa ya watu kwa zaidi ya toka mwanzo mpaka sasa.

Nb: Nakupa uhuru wa kwenda Google au popote pale unapoweza kupata evidence kupinga hoja yangu
We ndo unadanganywa hata Israel hyo dini yako hawaijui!!
 
Wewe maamuma una IQ ndogo sana. Yaani reasoning capacity yako ipo low sana. Jamaa amekupa facts na kukutaka umpe ushahidi kuonesha kuwa islam ndio dini kubwa ila hujajibu na wala huwezi kuja na ushahidi huo
Upewe facts zipi wakati kichwa bi empty? Una cognitive skills ,sawa na kumuelewesha chizi utaonekana chizi.

Wala sipotezu muda kwa vichaa..Nenda Asia kwanza kaangalie dominant religion n ipi? Then uje hapa na ujue kwamba huko kwa wazungu hata iyo mitume haijawai kufika so hawana husiano na dini yeyote ile labda upagani.
 
Sisi hatuendi mbinguni kut*mbana. Sisi tunaenda mbinguni Kumwabudu Mungu. Ndivyo Biblia inatuambia.

1. Pepo ya Biblia ni ya kwenda kumwabudu Mungu peponi
2. Pepo ya Quran ni ya kwenda kut*mbana na kunywa pombe.

See the difference.
basi mmedanganywa duniani upate tabu kuabudu nambinguni pia ukapate tabu? ndomana nasemaga wakiristo nimachizi.
 
Asalaam Aleykhum warahmatullah Wabarakatul....!

Wadau hasa Waislam (Ndugu katika Imaan) naomba kujuzwa kuwa ni kweli Kiarabu ambacho kilitumika katika Quran iliyoshushwa na katika Hadith ndio pekee itatumika Peponi?

Hii ni kwasababu kuna Ustadh mmoja huwa anasisitiza Waislam waache kusoma lugha zingine na badala yake wasome Kiarabu ambacho ni Lugha ya Peponi

Aidha leo katika ukurasa wa Twitter nikaona Mdau mwingine akisisitiza hilo.
View attachment 2310321
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji119]
 
Pepo yenu wakristo mnaingia wanawake watupu na wanaume watupu.kazi mnayo.
Hiyo pepo ya waislamu Ina maajabu Sana.
Kila mwanaume mmoja mbele yake Kuna mabikra 70 wote wamekaa mkao wa kutumbuliwa bikra.
Kuna mito ya pombe na maziwa (shehe kipozeo) yaani unatoboa bikra Kisha unachota pombe mtoni. Kumbe hata lugha watu walishafika huko na kujua Ni kiarabu. Nyie wasukuma msiojua kiarabu shauri yenu.
 
Ushindwe kuoa wanawake wanne hapa, usubiri kujilipua ukape 72. Hakuna kitu kibaya kama kukosa akili na maarifa
weefala unawaza kujilipuatu walimlipua bashako nini. hadi kufikiri kilamtu anajiripua? unamatatizo yaakili wewe.
 
Back
Top Bottom