Qu'ran haijaletwa kwa lengo kukariri ,lengo kuu la Qu'ran kusoma mafundisho yake kuielewa na kumfanyia kazi.
Na hilo la kutilia mkazo zaidi kwenye kukariri imepelekea kufeli pakubwa kwa umma huu haswa kipindi hiki matokeo yake unakuta mtu amekariri Qu'ran nzima lakini lakini mtu wa hovyo mfano wakina Mbosso , Lavalava wale usikute ni wasomi wazuri wa Qu'ran kea kukariri ila wanachofanya ni kinyume na Qu'ran sababu ni kukuriri tu.Na watu wa namna hiyo wanaosoma kibubusa wamekemewa vikali katika Qu'ran yenyewe
View attachment 2430654
Mimi nilianza kuona mabadiliko mengi katika maisha baada ya kuanza kusoma ujumbe wa Qu'ran moja kwa Moja na kutilia mkazo zaidi kwenye maudhui yake , sio siri kama waislamu wote tungefuata yaliyomo mule kea usahihi wake na uhakika mabadiko makubwa yangetokea miongoni mwetu na Duniani kwa ujumla kwani kuna muongozo katika kila jambo tena kwa wepesi kabisa hadi jinsi ya kumdai mtu na kutunza kumbukumbu tatizo wengi wetu tumeghafiika.
View attachment 2430650
View attachment 2430653