Aende kule jukwaa la Mikeka, niliweka na ushahidi Paripesa walinipiga 17m na sina cha kuwafanyaKuna mawili, inawazekana hujui lolote kuhusu betting na makampuni yake yalivyo, au ni ngumbaru
Kuna kampuni mfano sportybet au betpaw hawana kona kona ukiwapiga pesa kubwa, Ila kampuni zingine hizi za ndani au zile za kirusi, huwezi kulipwa hiyo hela hata ufanye nini na uende wapi