Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,347
- 20,046
KWa mtu anayebet kwenye michezo anaoufuatilia, sio michezo mgumu actually ni fun huku unapiga hela.Pamoja na hayo bado ni mchezo mgumu mno, kati ya watu elfu kumi wanaweza shinda 10 au 20, ningekuwa na mamlaka ningezifuta kampuni zote za kamari, ni mchezo unaoathiri watu kihisia, kisaikolojia na kiuchumi ni namna ya michezo ya pata potea ambayo kwa hakika ni hatari kwa mustakabali wa mtu binafsi, ni uraibu mbaya pengine kuzidi pombe au zinashabihiana kabisa,
There's no free lunch in economy
Ugumu wake mkubwa ni kwenye self control, nidhamu, hapa inakuwa mtihani mkubwa sababu wengi wanabetia njaa na utajiri wa fasta, atakuwa anabet hata game ambazo hajazifanyoa utafiti mzuri ili apate hela ya matumizi
Ndio maama kauli mbiu ni Bet responsibly