BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 3,741
- 9,818
Mimi binagisi ni Yanga, Ila nimekaa chini nikatafakari sana nikagundua Magoma ana point, Magoma sio kichaaa, shida kuu iko kwa wanachama na Mashabiki na hii pia iko Simba.
Yanga na Simba ili hawa wawekezaji wapige pesa hadi washindwe kubeba na mtu asiwaulize chochote wawekeze tu kwanye timu kushinda basi hapo watajizolea pesa sana. Magoma ana point sana hasa kuhusu Raisi wa Yanga kuwa na uhusiano wa karibu sana na Mdhamini GSM na hivyo kukosekana kwa check and Balance pale Yanga, hili wanachama hawalioni kwa sababu timu inafanya vizuri, ila kuna wakati wataliona tu walivyo wajinga.
Simba kule nako kumejaa wajinga tupu, ndio maana mfumo wa kampuni haueleweki kabisa kwamba mwenye share chache ndio ana sauti kuliko mwemye share nyingi.
Mo anaweza vuna pesa sana pale Simba the same na Engenear na GSM wake.
Yanga kuna siku watamuelewa Magoma ila sio sasa watamueleqa kipindi timu inafanya vibaya hapo watamuelewa sana Magoma, kwa sasa tuendelee na ujinga kama kawa.
Magoma ana point sana shida ni ile ile ya kiwango cha juu cha ujinga katika hili Taifa.